DON YRN
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 606
- 1,453
Siku ukiutambua ukweli kamwe hutakaa uropoke. Hakuna mwanaume aliye na akili atataka kutelekeza mtoto, lakini inafikia mwanaume anasema hakuna namna.
Binafsi nina experience na hii kitu na sitakaa nilaumu mwanaume mwenzangu kisa katelekeza mtoto na hapa siwezi tetea ujinga... Tatizo linaanzia pale ustawi wa jamii na sheria zetu za 60's zisizoendana na wakati. Maboresho ya sheria yakifanyika mara kwa mara kamwe hutakaa uone mtoto wa mtaani.