Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

Punguza Upumbavu dada % ndogo sana ya singo maza wamebakwa wengi wao wamezalishwa kwa kujitakia wenyewe,

Wao si wanaendekeza mapenzi tena wanavyopenda kukojolewa ndani sasa, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aseee,
Hapa hatuzungumzii mimba ya kutaka au kuto kutaka ,ili mradi tu umeshakua mzazi unatakiwa kuchukua majukumu yako
Hivi nchi kama za Ulaya kwani hayapo hayo unayoyasema?mbona wenzetu wanabanwa na sheria kali za malezi na mimba huwa haionekani kama ni makosa ya mwanamke pekee? Ni sisi tu Afrika mwanamke akipata mimba huonekana kua ndio mwenye kosa na sio wanaume
 
ndio atakwambia uvue na utavua tu, unaongelea mfumo dume tena! kama ulinielewa , hapo akuna suala la mfumo dume, ni harakati za mapenzi tu.
Yes ,mfumo dume
Mfumo uliopo haumuwajibishi mwanaume katika malezi ,malezi yanaonekana kua ni masuala ya wanawake na ndio maana sio ajabu hata wanawake wenye ndoa huwajibishwa kufanya majukumu ya malezi ya kuhakikisha watoto wanapata mahitaji ingawaje baba zao wapo humo humo na hawawajibiki.
 
Hapa hatuzungumzii mimba ya kutaka au kuto kutaka ,ili mradi tu umeshakua mzazi unatakiwa kuchukua majukumu yako
Hivi nchi kama za Ulaya kwani hayapo hayo unayoyasema?mbona wenzetu wanabanwa na sheria kali za malezi na mimba huwa haionekani kama ni makosa ya mwanamke pekee? Ni sisi tu Afrika mwanamke akipata mimba huonekana kua ndio mwenye kosa na sio wanaume
🤣🤣🤣 Mwenye kosa ni mwanamke maana mwanamke ndiye mpokeaji

1.Anapokea mtongozo,
2.Anapokea kuhongwa,
3.Anapokea dushe,
4.Anapokea shahawa,
5.Anapokea mimba,

Hivi vyote vipo kwenye maamuzi yake akubali au akatae sasa mtu imagine anakubali hivyo vyote kwa kapuku asiye na hela au asiye na vision ya maisha

What do you expect? Muda mwingine na nyie mjifunze kuwa selective aseee

Nyie mnavyosema mnataka midume yenye hela huwa mnafikiri haiumizi wale maskini, mkuki ni huo huo kwa singo maza

😃😃😃😃😃, hakuna mtu anayependa kununua vitu used hata siku 1
 
Yes ,mfumo dume
Mfumo uliopo haumuwajibishi mwanaume katika malezi ,malezi yanaonekana kua ni masuala ya wanawake na ndio maana sio ajabu hata wanawake wenye ndoa huwajibishwa kufanya majukumu ya malezi ya kuhakikisha watoto wanapata mahitaji ingawaje baba zao wapo humo humo na hawawajibiki.
Kama nimekuelewa dada LadyAJ , unapigania haki sawa, Sio kitu kibaya ni sawa, Ungependa hata kuona mwanaume amefunga mbeleko kabeba mtoto mgongoni, utakuwa shahidi kwa wanaume wengi wakijaribu kufanya hivyo uko mitaani watu uwashangaa, sasa hiyo ndo asili yetu dada angu, Kwa tanzania mwanaume akiwa mtu wa watoto sana kama utakavyo lazima awe kituko, ndio nature yetu na ndivyo tulivyolelewa tangu karne. Mambo ya malezi ni ya mwanamke, watoto ni wa Mama siku zote. Uchungu wa mwana aujuae ni Mama na sio Baba.
 
Awali, nilikuwa na huruma kama wewe lakini baada ya kuufahamu uhalisia wa asilimia kubwa ya hawa dada zetu(single moms) nimejikuta nafurahia kutangatanga kwao
Single mama wengi akili zako si nzuri, maamuzi,mitazamo na fikra zao huwa tofauti sana na hii inasababishwa na mambo waliopitia na wanayopitia huwa inavuruga sana akili

So obvious huwa mienendo yetu inakuwa ya ajabu na tofauti

Mtuvumilie na kutuelewa pia
 
Kwamba mwanamke utakapovaa Condom atakukaba uivue ili yeye apate mimba ,
Hii ipo Afrika tu,kwamba kupatikana kwa mimba huwa ni makosa ya mwanamke,mwanaume hana cha kuwajibika kwenye hilo na ndio maana hatuna sheria kali za kuwabana wanao kimbia majukumu kwa sababu inaonekana sio makosa yenu kutokana na mfumo dume uliopo

Kwa Akili yako, unafikiri Kwa nini Mwanamke anakalenda Wakati mwanaume Hana? Kwa uelewa wako.

Yaani mwanaume awaze mimba ilhali mimba haikai kwake. Hivi hizi Akili mnazitolea wapi?
Hujiulizi ni kwanini kwenye zile Aina za uzuiaji mimba nyingi zimewekwa Kwa Wanawake kuliko wanaume. Hujiulizi tuu Kwa sababu ya ujinga.

Weka kitanzi, tumia vidonge, tumia Kalenda, tumia kijiti n.k

Yaani unataka mwanaume afikiri mambo ya Mimba unafikiri wanaume ni Wanawake?
 
Hapa hatuzungumzii mimba ya kutaka au kuto kutaka ,ili mradi tu umeshakua mzazi unatakiwa kuchukua majukumu yako
Hivi nchi kama za Ulaya kwani hayapo hayo unayoyasema?mbona wenzetu wanabanwa na sheria kali za malezi na mimba huwa haionekani kama ni makosa ya mwanamke pekee? Ni sisi tu Afrika mwanamke akipata mimba huonekana kua ndio mwenye kosa na sio wanaume

Ndio ili achukue majukumu yake, Mpe mtoto Alee mwenyewe kama Mama unaona huwezi kumtunza mtoto.
Mbona Sisi wanaume tukiwalea Watoto pekeetu hatupigi kelele wala kuwasumbua matumizi.

Unataka Baba awajibike, Mpe mtoto wake Alee. Sio ung'ang'anie mtoto Wakati uwezo wa kumtunza huna. Huo ni uchizi.
 
Kwahio tusiseme usioe SINGLE MOTHER kisa wanateseka kulea watoto wacha ujinga wewe kuwa mwaume ushawahi sikia wanawake wanasema "Tuwavumilieni wanaume wasio na pesa ipo siku watapata"

Single mother ni yeye sisi tunaoa wanawake wapya hata wateseke vipi sisi haituhusu
 
Fullfill your responsibility

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu penzini kuna mambo mengi sana, mtatumia condom siku ya kwanza ya pili ya tatu hamtotumia kwa madai ya kuaminiana na mmeishi kwa uaminifu kwa kipindi kirefu... Bro iyo ukubali ukatae ipo, hamtotumia tena condom kwa siku zinazoendelea, na ni kweli mabalaa ndo yanaanziaga apo.. Mara UTI sugu, mara gono, mara mimba... Shida tupu
Penzi kitovu cha uzembe....
 
Ni kweli. Unapaswa kuwa makini. Ila pia tukumbuke akili ya mwanaume inavyofanya kazi akishaona utupu. Inarudi almost zero, ukishamaliza ndo akili inarudi.

Ni jukumu la mwanamke pia kuwa wazi kuhusu mipango yake ya uzazi kabla hajafika eneo la tukio ili mwenzake ajiandae na KUKATAA KATA KATA kuingia kwenye himaya ya mwanaume akiwa kwenye siku za hatari na hakuna protection. Jamani, kina dada wapunguze kuwa warahisi kutumika.

Unakuta mtu kazalishwa mimba 3 unawaza huyu hajifunzi?
Jifunze kumpigia hesabu mpenzi wako siku zake akiwa danger... lakini pia wahenga tunasemaga.... penzi kitovu cha uzembe
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Ni sawa na mwanaume anaoa harafu mke akipata mimba tu anamwambia kazalie kwenu
Kwangu mimi mke wangu hajawai kwenda kujifungulia kwao aiseee, hata kama nilikua nimebanana kwa kiwango gani lazima ni pate upenyo wa kumhudumia wife walau kwa wiki mbili za mwanzo baada ya kujifungua
 
We ni Mwanaume wa Shoka.

Mimi na wewe huenda tumezaliwa na Baba mmoja si unajua tena😆😆
 
Back
Top Bottom