Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
What responsibility, unaposema responsibility lazima uwe wazi. Anamhudumia nani, mke, hawara nani?
Kwann unajijengea mfumo wa maisha nje ya ule ambao jamii imeshaujenga then unataka upate benifits sawa na za wale wanaoishi ndani ya mfumo rasmi?
Ulishaambia mtoto wa kike hatakiwi kutolewa bikra na mwanaume ambaye hatakuja kumuoa, ukakaidi.
Ukaambiwa usiwe na mahusiano nje ya ndoa, ukakaidi.
Ukaambiwa usijezaa nje ya ndoa, ukakaidi.
Sasa umeshaza na umeshavunja miiko yote hiii inatujia hapa na Nyoko nyoko nyoko nyoko nyoko nyoko nyoko responsibility nyoko nyoko nyoko fulfill responsibility.
Ungeyataka haya ya kufulfil responsibility ungeheshimu masharti ya jamii yaliyokutaka ujiheshimishe na kuwa ndani ya ndoa kama wenzako.
Wenzako wameolewa na wakitaka matunzo wanapata vizuri tu na hawapati shida za kulalamika utadhani wendawazimu. Beba msalaba wako kwa kutokuwa serious na Maisha yako tokea ukiwa binti mbichi.
Mtajifunza , kizazi hiki cha wanaume wa sasa hawana muda wa kutetea upumbavu kila mtu abebe mizigo yake kulingana na ujinga ujinga wake.