Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

Kwangu mimi mke wangu hajawai kwenda kujifungulia kwao aiseee, hata kama nilikua nimebanana kwa kiwango gani lazima ni pate upenyo wa kumhudumia wife walau kwa wiki mbili za mwanzo baada ya kujifungua
FaizaFoxy ya kweli haya ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Huyu ndie waubani wangu..๐Ÿ˜Š na niyeye ndie anautakatisha moyo wangu...๐Ÿ˜‹
Punguzeni wivu basi...๐Ÿคจ
Sema inaonyesha unavyomgonga yy anawazaga dp world tu na Q'uran ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Sipati picha unavyomkojoleaga ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Tena nasikia alidomea electrical engineering itakuwa ana integrate X kwenye sex huko aseee noma sana
 
Ndio ili achukue majukumu yake, Mpe mtoto Alee mwenyewe kama Mama unaona huwezi kumtunza mtoto.
Mbona Sisi wanaume tukiwalea Watoto pekeetu hatupigi kelele wala kuwasumbua matumizi.

Unataka Baba awajibike, Mpe mtoto wake Alee. Sio ung'ang'anie mtoto Wakati uwezo wa kumtunza huna. Huo ni uchizi.
Kulea mtoto sio pesa tu ndugu yangu,mimi nazungumzia ushiriki wa wazaz katika malezi ya watoto
Pesa ni ziada sana katika Malezi , hata ukilea baba bado mama atahitajika katika malezi mema ya mtoto,ni ustawi mzuri wa mtoto anapomuona baba na mama katika malezi yake hata kama ikiwa sio siku zote ila anajua wazazi wangu wapo
 
Kwa Akili yako, unafikiri Kwa nini Mwanamke anakalenda Wakati mwanaume Hana? Kwa uelewa wako.

Yaani mwanaume awaze mimba ilhali mimba haikai kwake. Hivi hizi Akili mnazitolea wapi?
Hujiulizi ni kwanini kwenye zile Aina za uzuiaji mimba nyingi zimewekwa Kwa Wanawake kuliko wanaume. Hujiulizi tuu Kwa sababu ya ujinga.

Weka kitanzi, tumia vidonge, tumia Kalenda, tumia kijiti n.k

Yaani unataka mwanaume afikiri mambo ya Mimba unafikiri wanaume ni Wanawake?
Mind set za wanaume wa Kiafrika hufikiri Mimba ni kosa la Mwanamke na sio mimba tu hata kuzaa watoto wa kike hudhaniwa kua ni makosa ya mwanamke ,baki hapo hapo Bro
 
Mtego wa mimba upo mkuu, hasa ukiwa wewe ndo mwanaume wa ndoto zake, alafu uyo mwanamke awe si mwanamke wa ndoto zako, anakuwahi kwa kukutegea mimba, akiamini kuwa atakufunga kwa kutumia mtoto, sasa kumbe wanajidanganya maskini, mwanaume afungwi kwa kutumia mtoto, Hii ni moja ya sababu kubwa katika nyingi inayopelekea wanawake wengi kulea watoto peke yao.
Nimeyaona haya maneno yako kwa vitendo na ushahidi mzito kabisa ndugu. Nakielewa sana.
 
Kunipenda sana sio excuse ya kunizalia bila ridhaa yangu.

Kuzaa ni mwanamke hupanga,yeye ndio mbeba mimba. Kuzaa hovyo ni makosa yao wenyewe.

Imagine kuna watoto hawana baba, sio kwasababu mama hakupigwa pipe ila ni kwasababu alipigwa na wengi so hajui baba halisi ni yupi, kila anaempa mpira anamkacha coz anajua huyu dem ni kicheche ananipiga.

Singo maza kwa asilimia kubwa ni makosa yao wenyewe, ni wachache wanaume tunahusika mkuu, wasikudanganye na vilio vyao uchwara.
Kuna mdogo wangu daily tunampa mawaidha ya mienendo yake lakini kichwa kaweka makalioni, hasikii wala haambiliki ni wa kike huyo, siku akiyakanyaga ni singo maza mpya huyo, maana anaotoka nao wengi ni madogo ambao hawana maisha. Ni wanyoa uduku waongo waongo tu.

Mwingine alikua beki tatu mtiifu, aloo kumbe kuna kajamaa kamemchanganya huko, kameshampa kibendi na kameikataa. Wakati tunampa mawaidha huyu dogo wa kike kumbe beki tatu nae alikua na yake ya chinichini na yeye alikua ni mmoja wa watoa info za mwenzie.

Singo maza ni endelevu hawaishi leo wala kesho na hawapungui wanazidi kuongezeka daily.
 
Mabinti wa kibongo hovyo sana yupo tayari kumuacha mwanaume aliyemzalisha eti kisa amecheat na mwanamke mwingine ili akadange na wanaume wengi ili alee mtoto. Huu ni ujinga wao acha wavune wanachopanda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huwa wanajiona wapo sahihi kwa 100% hadi pale muda unapowaacha na kuanza kuzeeka ndipo wanajua kosa halafu anamrejea tena mwanaume yule yule ambaye alimletea ujuaji na akimkuta ana maisha na mwanamke mwingine anaanza kuleta fujo akitaka kurudi kwenye maisha ya huyo mwanaume, ujinga ni mzigo kwa wanawake wa kisasa ambao wanaubeba kwa hiyari kabisa.
 
Habari!? Kumekuwepo na ongezeko la wadada wengi ambao hawako kwenye ndoa ila tayari wana watoto, wengine wanaishi nao na wengine wamewapeleka vijijini kwa wazazi, unakuta anayehusika kwa malezi ya mtoto ni Dada peke yake (single mom) unakuta mdada hana kipato Cha maana Matokeo yake anaamua kujikita kwenye biashara mbalimbali haramu Kama ukahaba ili aweze kukidhi mahitaji ya mtoto.

"Wanaume wenzangu hii tabia sio nzuri tumewafanya wanawake waishi mazingira Magumu na unajua mtu Mpaka anaamua kukuzalia amekuheshimu na kukupenda Sana kwa hyo suala la kumtelekeza si Jambo jema hata Kama alikukosea lakini mtoto anakua hana hatia unatakiwa umpe huduma zote. Ukikutana na wanawake waliotelekezwa hawatamaniki, kucha kwa waganga, kwenye maombi nk lengo kutafuta unafuu wa Maisha then anatokea mwanaume anasema "Tusioe single mother" wakati sisi ndio Main cause!

Na badae tuseme wadogo zetu hawaolewi na bra bra! Malipo duniani ndugu zangu! Naumiaga sana nikiona Mama anahangaika na mtoto kwenye hali ya uduni wakati muhusika wa mtoto yupo. Tubadilike.
Kwa mwanamke yoyote ambaye anajitambua hawezi kutelekezewa mtoto au watoto except for a unique, rare and exceptional cases only.
 
Na wao waache kutegesha na kugawa gawa hovyo. Waulize wanaume zao, upo tayari kuwa na mtoto? Sio unatanua tu miguu halafu baadae unasema usimwage ndani nipo kwenye hatari.
WANAWAKE WAACHE UMALAYA NAO.

Halafu Wapo ambao mimba inampa kazi kuitambua kuwa ni ya nani. In one week katembea na watu watatu

NB: HII SI SABABU YA KUTELEKEZA MTOTO WAKO.
Wanaume wengi wanalala na wanawake wakijua kuwa wanamahusiano na wanaume wengine. Na wana assume kuwa huyu mtu hawezi pay attention kwenye mahusiano ni kula bata na kupotezeana. Sasa binti anapoamua kwa akili zake kushika mimba ya mojawapo ya hawa wanaume ndipo vita vya 3 hutokea.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Inaonekana Afrika ni kama vile ndipo mahali palipo zaliwa zinaa ,dhulma na ujinga
Na kwa kua viongozi wetu pia ni wahanga wa hayo yote basi tumejikuta hatuwezi hata kutunga sheria kali za kuwawajibisha wazazi wanaokimbia wajibu wao kwa sababu dhaifu dhaifu sana ,
Hili tatizo la kutelekeza malezi lipo zaidi Afrika kuliko mahali popote Duniani ,je wanawake wa Afrika ndio kusema kwamba ni wakosefu ,sio wasikivu na wakorofi wasio faa kuliko wanawake wengine wowote Duniani !?
Unasema afrika, fuatilia kule Marekani habari ni hii hii. Ukitazama hili swala lina uhusiano na race ya watu weusi. Kwa wazungu, wachina, wahindi na waarabu hii issue sio kubwa sana na wanajua kuishi kwa kanuni.

Ni wanawake wa kiafrika ndio wanasumbuliwa na kirusi hiki cha single motherhood na ni matokeo ya kufuata ideology za maisha ya kimagharibi na ufeminist. Wewe mtu ni mweusi unaanzaje kutaka kulazimisha kuishi kizungu katika jamii ya mwafrika tena yenye tamaduni zake za kiafrika si upumbavu huo?
 
Hapa hatuzungumzii mimba ya kutaka au kuto kutaka ,ili mradi tu umeshakua mzazi unatakiwa kuchukua majukumu yako
Hivi nchi kama za Ulaya kwani hayapo hayo unayoyasema?mbona wenzetu wanabanwa na sheria kali za malezi na mimba huwa haionekani kama ni makosa ya mwanamke pekee? Ni sisi tu Afrika mwanamke akipata mimba huonekana kua ndio mwenye kosa na sio wanaume
Wewe hebu kuwa serious basi. Unasemaje "Hapa hatuzungumzii mimba ya kutaka au kutokutaka"? Aliyekwambia kupata ujauzito ni jambo la kukurupuka ni nani?!

Yaani wewe ukurupuke kufanya starehe zako na kuwa careless halafu matokeo yake utake jamii ikutengenezee mfumo wa kukulinda na upumbavu ulioamua kwa utashi wako?! Wewe vipi wewe Ebo.

Maisha yana utaratibu. Kama kuna mabinti wenzako walifuata taratibu na kuwa na maisha ya kueleweka na wanaishi kwa heshima wewe ni nani hadi jamii ikutetee kwa upumbavu wa maamuzi yako binafsi na huyo mwendawazimu mwenzako?!

Yaani tutumie kodi zetu kulipa watu Mishahara kwenye taasisi za Kisheria ili watunge miswaada ya Sheria kujadili namna ya kuprotect watu walioamua kuishi kwa kukengeuka?

Wewe usitafute namna ya kuescape kuwajibishwa. Ulipokuwa unaona wenzako wanajisitiri miili yao, wanashika ibada wanakwenda nyumba za ibada kusali na kuswali kwa bidii kumuomba MUNGU baraka wewe ukiwa busy kuhudhuria nyumba za starehe ukifurahia kuweka rehani usichana wako kwa kupewa offer za bure za nyama na beer kulala na wanaume tofauti huku ukichafua status yako ulitegemea kupata mema ya ulimwengu baada ya kumaliza upuuzi wako?

Wenzako walipojizuia kudate na wanaume hovyo kila mwezi na mwanaume mpya, wakajiweka mbali na wanaume za watu uliwaona washamba wewe ndie mjanja wa kuonja kila dudu ili uitwe slay queen, ulihisi wewe ni mwerevu sana na mjanja?!

Sasa kwann utake wanaume walaumiwe kwa upuuzi wa maamuzi yako binafsi na kwann utake jamii iwajibike kukutetea wewe as if u are so special na unamchango positive kimaadli katika jamii hii?

Ifike wakati wanawake mnavyotuambia sisi wanaume tuwajibike na ninyi mjitazame na muanze kuwajibika, ninyi si watoto wadogo kusema hamjui matokeo ya matendo yenu. Na ni bora muendelee hivi hivi kupitia magumu bila msaada wa jamii ndipo akili zitawajia mtaweza hata kuwashauri wadogo zenu wakike kujitambua.

Sio kulia lia ujinga wakati tunawaona huku mitaani mambo yenu mkifanya upumbavu mchana kweupe.

Mkiwa mnashika zile simu zenye masikio ya sungura, mnavaa fulana ndefu usawa wa mapaja, na zile taiti na sendo za manyoya, halafu mnapanda boda boda mlizoitiwa na wanaume za watu na hawa wahuni wa mjini,mnabinua viuno ili kutuonyesha matako na mapaja yenu zikiwapeleka Lodge na pubs kula bata huwa mnajikutaga maisha m'meyapatia sana si ndio?!

Yaani wakati mnatumia 100% ya usichana wenu kuyafanya haya halafu mnataka reward iwe ni ninyi kupata mwanaume anayejielewa, mwenye maisha mazuri, anaye jiheshimu, asiye na mtoto wa nje ya ndoa, amejinga nyumba, ana mali, halafu wewe mdangaji mkosa akili uje ghafla ghafla kuwa mke rasmi wa huyu mwanaume na mama wa familia?! SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NINYI MABINTI WA SASA AISEEEEEEE NI WAJINGAAAAAAAAA MBURAAAAAAAAAAAAAAA
 
Yes ,mfumo dume
Mfumo uliopo haumuwajibishi mwanaume katika malezi ,malezi yanaonekana kua ni masuala ya wanawake na ndio maana sio ajabu hata wanawake wenye ndoa huwajibishwa kufanya majukumu ya malezi ya kuhakikisha watoto wanapata mahitaji ingawaje baba zao wapo humo humo na hawawajibiki.
Mfumo dume ungekuwa unauwelewa usingeandika haya maneno hapa. Mfumo dume unahusiana vipi na uzembe? Hivi kwa akili zako na utashi unaamini kabisa kuna kitu kinaitwa mfumo dume na kuna taasisi zinausimamia na watendaji wake kuhakikisha zinawafunza wanaume namna za kuwaumiza wanawake na kuwadhuru like really?

Mfumo dume ni mfumo wa maisha unaoelekeza uongozi wa familia unaomtambua mwanaume kuwa kiongozi na mwanamke chini ya mwanamke akiwa kama msaidizi wake.

Haimaanishi mwanamke hana maana katika mfumo dume bali anakwenda kulingana na mfumo unataka. Huu usingle mother ni matokeo ya mfumo jike, fuatilia utagundua familia ambazo mabinti huzaa hovyo na wanaume tofauti na watoto kuelelewa hovyo kiholela huwa hakuna mfumo thabiti wa kiume na hata kama kuna baba basi anakuwa ni dhaifu na hana uwezo wa kusimamia mamlaka yake by 100%.

Wanaume huwa hatucheki na upumbavu na ndio maana tunaogopwa na kuhofiwa na hawa mafeminist hawa mashetani wa kike na wanaume wanaowasapoti wanaume madhaifu a.k.a feminized males au simpletons a.k.a wanaume suruali wanasimama mbele ya hadhira na kusema "wanawake hoyeee,wanawake wakiwezeshwa wanawezaaaaaa" wanaoishi kwa kubebelea mawazo ya kimagharibi na kuja kulazimisha yaingie kwnye jamii zetu za kiafrika ambazo hazinaga mambo ya kishenzi kama ya kimagharibi hawa ndio huwa wanaupa jina baya mfumo dume na matokeo leo jamii ya muafrika inakuwa dhaifu sana kwa kuacha mwanamke awe kwenye maamuzi ya mwisho akisaidiana na hawa wapumbavu wa kiume wanoajiita wanaume watetezi wa haki za wanawake na hata ukiwauliza wanazijua hata hizo haki zenyewe za Wanawake wanabakia kumangamanga kama mabata kwenye bustani ya mauwa wakilia [emoji443][emoji443][emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445] [emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445]"kwa kwa kwa kwa kwa kwaaaaaa kwa Kwa kwa kwa kwa kwaaaaaa kwaaaaa kwaaaa kwaaaaaa kwaaaaaaa kwa kwaaaa kwaaaaaaaa kwaaaaaaaaaaaaaa"[emoji444][emoji444][emoji445][emoji344][emoji444][emoji443][emoji444][emoji443][emoji445][emoji443][emoji443][emoji445][emoji444]

[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] Mnakera sana ujue aaaaah mnatufanya hadi watu tunaimba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huwa wanajiona wapo sahihi kwa 100% hadi pale muda unapowaacha na kuanza kuzeeka ndipo wanajua kosa halafu anamrejea tena mwanaume yule yule ambaye alimletea ujuaji na akimkuta ana maisha na mwanamke mwingine anaanza kuleta fujo akitaka kurudi kwenye maisha ya huyo mwanaume, ujinga ni mzigo kwa wanawake wa kisasa ambao wanaubeba kwa hiyari kabisa.
Mabinti wa Zanzibar wapo tofauti atamuacha sharobaro ambaye haeleweki na kwenda kuolewa mke wa tatu kwa mbaba na anatulia tuli kwenye ndoa ila bongo ni kinyume chake. Hovyo kabisa mabinti wa kibongo
 
Yes ,mfumo dume
Mfumo uliopo haumuwajibishi mwanaume katika malezi ,malezi yanaonekana kua ni masuala ya wanawake na ndio maana sio ajabu hata wanawake wenye ndoa huwajibishwa kufanya majukumu ya malezi ya kuhakikisha watoto wanapata mahitaji ingawaje baba zao wapo humo humo na hawawajibiki.
Unataka mfumo umuwajibishaje mwanaume kwa lipi kwa mfano?!

Umwambie afumbe macho akiona binti anapita amevaa tight inayomfanya avutie?

Mfumo dume kila siku unawalinda ukitaka kujua mfumo dume unamsaada zaidi kwa mwanamke kuliko mwanaume tazama vitu unavyosimamia.

Mfumo dume ndio unakukataza usitoke nje usiku yaani uwe ndani mapema jua lizamapo, je wewe unatii hiyo sheria, si huwa mnasema ni ukoloni,unoko,ukatili na unyanyasaji wa kijinsia na kupangiana maisha au sio ninyi wanawake?

Mfumo dume ndio ule mfumo unaokukataza mwanamke kwenda Bar kukaa na kulewa ukicheka cheka na wanaume wakiwa wanakushika shika mwishowe unaenda kuliwa kizembe ule ndio mfumo dume sasa unaokukataza kuyafanya yale ila mfumo jike kupitia mafeminist unakwambia usikubali kupangiwa Maisha ishi ukijiachia kama wanaume.

Mfumo dume ndio ule unaokataza binti kutoka kwao na kwenda kupanga ila mfumo jike kupitia feminist unasema hapana nenda kapange upambane na maisha mwisho wake uliwe na wanaume hadi uchakae upate na mimba juu halafu ulaumu mfumo dume ila mfumo jike ulikutetea sana, hizi ni akili au matope?

Mfumo dume unaouponda ndio ule huwa unahoji mfumo wa maisha wa mtoto wa kike kukaa shule tokea ukiwa na miaka 6 hadi 25 akiwa hajengwi kuwa mke, wakati mfumo jike kupitia mafeminist unakukazania kupambania ndoto zako sijui ndoto gani hizo halafu ukifika miaka 30,huna kazi, huna familia ya mume na watoto, huna mji wako, umevurugwa, unastress na MaX zaidi ya 50 katika historia ya mahusiano, ni mfumo jike huu huu na mafeminist wanakaa kimya na kukwambia laumu mfumo Dume ndio umekusababishia haya unayopitia, hivi kweli?

Mfume dume ndio ambao unawaambia wanaume kujitoa sehemu kubwa ya mapato yao kuhudumia familia maana ndio uanaume na hauwafudishi wanaume kuwachukia wanawake pale kuwahudumia kama sehemu ya ushujaa na kuwa mwanaume ila mfumo jike kupitia mafeminist unawafunza watoto wa kike kuchukia wanaume ila kuhitaji jitihada zao, pesa zao, mali zao, mamlaka yao, nguvu zao, ila wasishirikiane na wanaume kwa lolote na ni kupitia hawa hawa mafeminist na mfumo jike wao wamesaidia sana kulifanikisha hili kwa kuwafanya wanawake mzae nje ya ndoa na kuishi kama digidigi.
 
Kwa Akili yako, unafikiri Kwa nini Mwanamke anakalenda Wakati mwanaume Hana? Kwa uelewa wako.

Yaani mwanaume awaze mimba ilhali mimba haikai kwake. Hivi hizi Akili mnazitolea wapi?
Hujiulizi ni kwanini kwenye zile Aina za uzuiaji mimba nyingi zimewekwa Kwa Wanawake kuliko wanaume. Hujiulizi tuu Kwa sababu ya ujinga.

Weka kitanzi, tumia vidonge, tumia Kalenda, tumia kijiti n.k

Yaani unataka mwanaume afikiri mambo ya Mimba unafikiri wanaume ni Wanawake?
Ukiona mwanamke kapata ujauzito jua aliamua kwa 90% hakunaga mwanamke anastukia tu ana mimba na hajui imeingiaje ni swala la kuamua.
 
Ndio ili achukue majukumu yake, Mpe mtoto Alee mwenyewe kama Mama unaona huwezi kumtunza mtoto.
Mbona Sisi wanaume tukiwalea Watoto pekeetu hatupigi kelele wala kuwasumbua matumizi.

Unataka Baba awajibike, Mpe mtoto wake Alee. Sio ung'ang'anie mtoto Wakati uwezo wa kumtunza huna. Huo ni uchizi.
Hapa ndipo utaona unafiki wa hawa viumbe kuwa ndani ya malalamiko yao wamebeba ujumbe mwingine kwa siri. Wanawake wanajua by nature mahitaji yao yapo ndani ya ndoa. Na ndio maana wakishagundua wamezaa nje ya ndoa wanaanza kung'ang'ania watoto huku wakilazimisha kupewa matunzo ya mtoto kumbe wanachokitaka ni mwanaume atoe matunzo kuanzia ya mtoto na ya kwake binafsi.

Asikwambie mtu, hakuna mwanamke asiyependa kupewa matunzo na kujaliwa na mwanaume, tamaa hizi ndizo huwa zinawaponza na kuwaacha vibaya.

Mwanamke hata awe na kazi au kipato ili furaha yake ya kuishi na kuwa mwanamke ni lazima kuwepo mtu wa kumlinda na gharama za kimaisha. Wanaume halisi tumeumbwa kitofauti, huwezi furaia kutumia au kuspend ambacho haujatafuta au kukitengeneza, ndio maana hata wale wanaume wanaokubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mali zake then yeye anakuja huwa wanakosa ile male authority ndani ya nyumba, anapokuwa anapiga mkwara anajua hawezi pewa uzito.

Ila wewe mwanaume uwe ndie mlipa bili jicho lako tu likimtazama mwanamke anapokosea utaona anajistukia na kujirekebisha haraka hautatumia sauti maana ina mamlaka makali sana ndani yake.
 
Kwahio tusiseme usioe SINGLE MOTHER kisa wanateseka kulea watoto wacha ujinga wewe kuwa mwaume ushawahi sikia wanawake wanasema "Tuwavumilieni wanaume wasio na pesa ipo siku watapata"

Single mother ni yeye sisi tunaoa wanawake wapya hata wateseke vipi sisi haituhusu
[emoji110][emoji110][emoji110] i'll drink [emoji482][emoji485] to this brother.
 
Back
Top Bottom