Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

Kama wewe.
Kwahiyo dada, kumbe kuwakubali watoto wangu wasi tolewe wakingali tumboni na kisha leo kuwalea ni umalaya kumbe...🀣🀣
Umewahi kujiuliza wapo wangapi humu ambao wamewakataa hata kuwalea watoto wao wenyewe..πŸ€”
Ama wangapi humu wamewatelekeza watoto wao huko wakiishi na bibi na babu zao...🀣
Gichando wajomba gi nyithin gi kagin to giliero mende gi ei longe daslam..πŸ˜‚
 
Ute uchalru🀣🀣
 
Bora wewe umebarikiwa,hao wengine ulowasema hapo juu WAMEROGWA!
 
Its better to tell some one truth and make him or her cry than a lie and make him smile
Wanaume wan
Si mama tu kuna wanaume wameachiwa watoto na wake zao baada ya kufariki watuambie changamoto zake

Mtu kama ujaamua kuzaa vaa kondom na kama utaki basi akojoe nje ongezeko la single. Mother source ni sisi wanaume
 
chanzo kikubwa utakuta ni wanawake. kwanza single mothers au hata wale wa kwenye ndoa kuendekeza migogoro, pili wamama wa kambo kuzuia waume zao wasinze watoto waliozaa nje. audi wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. hata hivyo, sheria ipo kali sana, ukiamua kumburuta mwanaume huyo makahakani anashitakika vizuri tu.
 
Kwa kweli inatia huruma sana! Mimi nashangaa mwanamme unazalisha harafu unatelekeza hata mtoto,damu yako?
 
Sheria pia zipo wadada wengi hawajui kama kuna utaratibu wa kwenda kudai stahiki zao ustawi wa jamii na vyombo vya sheria za kulinda haki za watoto. tuhamasishane. Hii tabia ya kutelekeza watoto ikomeshwe..
 
Naona wengi wanawashutumu wanaume utadhani wakati uzinifu au wanajamiiana alikuwa muhusika mmoja au alipewa mayai atumbukize huku akipewa ubini wa baba mwenye mayai.

Naomba tuache hiyo tabia why, sababu wengi wanazalishana pasipo malengo au kujiandaa pia mahusiano mabaya kati ya wanaopeana ujauzito na kingine ushirikishwaji wa wazazi wa pande zote ni zero.

Nini kifanyike?
Wakati wazee wa miaka ya nyuma waliweza kutulea hadi kufika hapa, bado hata sisi tunaweza kutumia mbinu zao walizoishi na kutulea kufanikisha malezi ya watoto.

By now wanawake, mabinti wana ubabe sana, issue ya haki sawa wameshindwa kuielewa matokeo yake inawanyanyua masikio na kujiona wananweza kila kitu so vijana wanasepa na kung'oa nanga.

Angalia sasa hawa vijana wa kiume, anamtongoza binti na hata wakikutana kwenye giza la kujificha hajui kumlinda au kujilinda na mimba zisizotarajiwa.

Si hapo tu, huyu boy anashindwa kujua jukumu la kuwa baba anaamua kutoroka na kumuacha binti alone na ndiyo haya mnayoyaona huko mitaani.

Wale wababa kama mimi mzee wenu ukiona situnzi familia usinilaumu, unapaswa kujiuliza why this?.
Unaweza ukapata muda uniulize why this uncle, Bro or Camaraderie happen? NITAKWAMBIA TU!.
 

Wanawake wenzako asilimia 99% wanajua Kulea mtoto ni Pesa Kutoka Kwa mwanaume.
Hayo maelezo yako ni mazuri Ila unatakiwa uwaambie Wanawake wenzako
 
Mind set za wanaume wa Kiafrika hufikiri Mimba ni kosa la Mwanamke na sio mimba tu hata kuzaa watoto wa kike hudhaniwa kua ni makosa ya mwanamke ,baki hapo hapo Bro

Hata Ulaya iko Hivyo hivyo. Mwanaume kama Hana Mpango na wewe unambebea mimba ya nini?
Ndio maana Huko Ulaya kuna option ya abortion.
Kama mimba imeingia bila kukusudia Kwa nini msiitoe?
 
Sheria pia zipo wadada wengi hawajui kama kuna utaratibu wa kwenda kudai stahiki zao ustawi wa jamii na vyombo vya sheria za kulinda haki za watoto. tuhamasishane. Hii tabia ya kutelekeza watoto ikomeshwe..
Siku wakizijua, waambie wampeleke huyo baba halisi wa mtoto sasa[emoji23][emoji23][emoji23] sio mababa. Watu wenyewe hawamjui nani kawabebesha mimba ndio ajiloge kwenda huko ustawi, wakiambiwa DNA wanazikataa. Let them take accountability of their actions!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…