Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Unakutana na mkaka mzuri umempenda kwasababu ni msafi, shati limepigwa pasi au t-shirt aliyovaa imeendana na rangi ya suruali. Mnaanza kuongea, unamwambia mfano kwa wale wa chuo, niko chuo mwaka wa tatu, ninasoma science, hapa confidence inaanza kupungua anakwambia mimi baba yangu ni mkuu wa mkoa wa DSM, hivi mimi ninampango wa kumdate baba yako unavyonianzia hivyo?
Imetokea umempenda, mmedate, sasa muda umefika unamwambia kabisa kuwa plan yako ungependa uolewe uzae angalau mtoto mmoja kabla hujafikiria kufanya maters. Anaahidi kabisa ni yeye atakae kuoa. Unampeleka kwenu anaongea na baba yako, kijana unafanya kazi gani, anaanza mimi baba yangu ni ambassador jamani hapa anaetaka kutoa posa ni baba yako au ni wewe?