Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Sasa mimi na watu kama mtoa uzi ndo tunachosema hapa ..maana naona km mnasema ni kawaida kwa mwanaume kuvaa hivyo then mnasema ni sawa then mnasema tena ni utandawazi..!? Which is which..
cc:OLESAIDIMU
Ndugu yangu sidhani kama nimesema ni sawa tu. Kama utarudia comment zangu utaona kwanza sikuwahukumu wavaaji bali nilisisitiza kuwa mjadala huu ni mzuri hasa tukijikita kujua chimbuko la hayo aliyoeleza mtoa mada. Na imapct yake kwenye jamii yetu ikoje na mwisho tutoe ushauri. Nia yangu ilikua njema tu sihukumu mtu anaevaa au asiyevaa. Hapo mwisho nimegusia utandawazi kwani nao naona umechangia mabadiliko ya tamaduni zetu. Kumbuka kuna watz waliooa wajamaica na mataifa mengine je hawa unawaweka kundi gani, je tuseme si watz. Unakumbuka huko nyuma ilikua haiwezekani kuoa/kuolewa nje ya kabila lako kwani wazee walikua wanaogopa muingiliano wa tamaduni , kuna walioona wenzao wana tamaduni zisizo na heshima n.k. Kwa hiyo tuendelee kuelimishana nini chimbuko la haya yote na je jamii tunaishauri nini, kumbuka kuwa tunaishauri na si kuilazimisha ifuate mtazamo wetu.
 
Embu soma ulichoandika kwa makini utaona majibu ya maswali uliyouliza yapo humo humo..Dunia inabadilika either positively au negatively( kwenye tabia za kijamii) sasa hayo mabadiliko sisi tunaargue hapa ni positively au negatively.. Na standard yetu tunaangalia norms za kwenye jamii husika( na dini zitaaingia hapa kwa wanao amini kuset standard).. Ndo maana mtoa uzi alifikiaa kusugest kama tunakubadi kuvaa mapambo ya mwanamke ni positive change kwenye jamii(ni kitu kizuri)..basi kinachofuata ni kukubali ukameruni ...kwa sababu tumeona ni sawa vijana wa kiume kwenye jamii yetu kuvaa mapambo ya kike na kujilinganisha na wanawake basi watakubali mengine.. Maana kuvaa mapambo ya mwanamke si tumeona ni positive change..ndo maana nkakuuliza kwa mfano diamond na hemedphd ni sawa wao kuvaa hereni na mapambo ya kike....?!
Na inabidi labda tukubaliane kwanza kwenye jamii yetu kwa ujumla toka zamani je..?!
kutoga maskio na kuvaahereni ni pambo la kilke au hata wanaume wanarusiwa
kusuka na kupaka rangi nywele ni pambo la kike au hata wanaume twende..?
Kuvaa mikufu-chain ni mapambo ya kike ..?
Kuvaa mipete ya rangi kwenye vidole ni mapambo ya kike..!?
Tukijibu haya maswali ya msingi pia ndo tutajua tunaelekea wapi...
Na swali la mwisho ukikutana na mzaramo mwanaume kasuka na mmasai kasuka wote utawachukulia sawa au mzaramo utamshangaa(be honest)..tuongee vitu ambavyo vipo practically mkuu..
 
Embu soma uzi wake vizuri basi..?!

Nisome nini? Na wewe ndio uliotoa maelezo ya kwamba tusilete hoja za mababu zetu, wamasai na ukaenda mbele zaidi kwa kudai tunaelewa mtoa mada amemaanisha hereni na mikufu Ipi! Wakati Mimi naona ni general topic tatizo lako you're trying to put ur world in everybody's mouth, your way ain't my way and vise versa! Wearing a necklace doesn't make a guy irresponsible! We all have choices in life. Moral values hazina mahusiano na personality ya mtu! Kama ni mzazi lea watoto wako katika misingi uitakayo lakini uache kuwapangia watu jinsi ya kuishi maisha Yao nimekuambia NEVER USE YOUR OWN. MORALS TO JUDGE OTHERS! Watu Kama nyinyi hamna tofauti na al shabab au boko haram.
 

Ukitaka tujadili hayo yote usiweke mipaka tuanze wamasai wanaume wanavaa necklace, hereni, wanatia nywele rangi na kuvaa mabangili mikononi na miguuni! How do you explain that? Does it make them lesser men? Wote tunajua ujasiri wa wanaume wa kimasai.
 
Kuna makala moja ya fred macha ya gazeti la mwananchi jumapili alikuwa anaeleza baadhi ya mabadiliko ya
ya tamaduni zetu kwa sababu ya media alikuwa akifanya reference pia kwa kumtumia lupita nyon'go..alielezea mambo mengi sana lkn mojawapo ni kuwa media inachangia pia kwa kuaminisha watu wadhani utamaduni umebadilika sana hasa kwetu africa na hata tanzania..kwa mfano hilo swala la kuoa bado lipo sana, tafuta vijana kumi wanaojitambua na kuoa kwa right reason kama hujakuta saba hawajakwambia wameoa kufuata trend ya makabila yao yanavyosema, so hizi mila na desturi zipo...lakini ukiacha sababu nyingi zinazosababisha mila ziporomoke ni hii ya kukosa watu wanaosema wazi kabisa hizi sio mila zetu..( lakini) unakuta watu wanajustfy kwa kusema jamii imebadilika, hata wamasai wanasuka( wakati tofauti inajulikana), oohoo mbona kanyewest anavaa hereni..jamii imebadilika na sababu ka hizo bila kujali mabadiliko ni positive au negative..kwa ujumla tunazipa negative changes -positive reinforciment ...na hii inaanza kwa mtu mmoja mmoja..kwa mfano hapa jf forum kwenye uzi kama huu kama watu wanakutana na watu wenye msimamo wa kutetea maadili inaleta impact na kwingine na kwingine..na hata kama mtu ana hivyo vielement anajiuliza mara mbili mbili..
 
Haya kama unaona mimi ni kama alshabab na boko haramu tena dah huko mbali sana..
 

Tofauti unayoizungumzia kwa wamasai ni ipi? Wao ni wanaume Kama wengine! Kwanini iwe sawa kwa Masai kufanya hivyo ila ni dhambi kwa mtazamo wako kwa wanaume wengine? Wewe Kama wewe na maadili yako inawezekana ukawa mtu wa hovyo kuliko anayevaa cheni na hereni usitake tuongopeane hapa! Morals values is got nothing to do with physical appearance.
 
Ukitaka tujadili hayo yote usiweke mipaka tuanze wamasai wanaume wanavaa necklace, hereni, wanatia nywele rangi na kuvaa mabangili mikononi na miguuni! How do you explain that? Does it make them lesser men? Wote tunajua ujasiri wa wanaume wa kimasai.
Unajua tunashidwa kuelewana kitu kidogo sana..kwanza unaanglia lengo la mmasai kuvaa ni nini..? Na wamasai wanavyovaa wana associate na nini..? Alafu unakuja kuangalia mtu ka diamond au hemedphd kwa nini anavaa na anaasociate na nini..? Tuongee kweli mtu kama hemed na diamond kwa mfano kaiga kwa wamasai au kwa pdidy na kina lilwayne..? Halafu ni kuulize ukikuta mwanaume wa kimasai kasuka nywele na mzaramo kasuka nywele hapo mjini dar wote utawaoma sawa..? Ukivaa hereni na mapambo ya kike uanaume haupungui lakini swali ni kwa nini mwanaume avae mapambo ya kike..? Na mwenye uzi akauliza kama umekubali kutoga maskio ukavaa hereni, kuvaa mkufuu, kuvaa mipete kama hadija kopa..utashindwaje kuhalalisha mambo mengine ambayo yameingia kwenye jamii yetu na yanaiharibu..!? Mkuu embu jiulize unaweza kwenda kwa mkwe wako umevaa hereni..? Kama na ikachukuliwa nia kawaida mbona wamasai wanavaa ..?!
 
Unaangalia quality au quantity..unaangaliwa anagombewa na watu waaina gani na kwa nini..

Quality gani unayozungumzia ndugu? Kama kazi anajituma kuendesha maisha, and he's living big, what are you doing? Hata Kama Ana tabia za kutembea na wanawake tofauti, what his physical appearance is got do with his behavior? Tunajua kuna watu wanavaa suti na tai Kila siku ni walevi mpaka wanajikojolea kwenye suruali zao, wanapiga wake zao na tabia nyingi za hovyo.
 
Yaani kama ni kweli hiyo sentnce ya mwisho watu waingekuwa wanaangaika kutafuta shati kwenda kwa wakwe au kanisani wangepiga majinsi na t shirt tu, wanaovaa hereni wangeenda kuposa wamevaa hereni kwa sababu wameiga wamasai na hawajamwiga kanyewest au lil wizo, apperance inaeleza mambo mengi sana mkuu acha kujidanganya..sehemu nyingine apperance inaeleza kabisa tabia ya mtu kama ni mtu makini wa kusoma tabia za mtu..mifano iko mingi sana ..halafu kuna mambo yapo obvious kwenye jamii nashangaa watu hapa wanapinga pinga tu...sijui nini hii..inamaana polisi wakuta wawili wewe imetoboa maskio na kuvaa hereni na mtu mwingine yupo kawaida nania atakamatwa..? Ni obvious unajua jibu na ni kawaida na ndo jamii ilivyo..!
 

Lengo la Masai kuvaa nini? Na Lina associate na kitu gani? Whatever reason that u might come up with, je inawapa haki/uhalali gani tofauti na wanaume wengine? Kuna matatizo gani hata Kama wameiga kwa lil wayne? Kwani dhambi kuiga! Hata hizo suruali na suti tumeiga. Kwann usivae magome ya miti? Nimekuambia usichanganye muonekano wa mtu na tabia lakini hutaki kuelewa! Ivi hujui kuna watu wa hovyo wengi tu na wanavaa suti na mavazi yanayokupendeza wewe! You do have ur own moral code that's okay lakini lazima utambue wengine wana moral code zao pia, ni vyema ukapima watu kwa tabia sio muonekano.
 
Umeona mkuu kwa namna ulivyochangia lazima mtu apate kitu hapa kwani hukulalia upande flani bali unaeleza fact. Hapo nilipobold kuna changamoto kweli kwani kile huyu anakiita maadili mwingine anaona ni upotofu and vice versa kazi ipo . Anayway mimi najifunza tokana na michango kwani nina mipaka kiimani na kimtazamo kamwe silazimishi wengine waone ninavyoona au ninavyoamini. Si unajua mkuu ukiongelea jambo kiimani waweza sababisha ubishi na kuharibu hali ya hewa.
 
 
 

Sasa kuvaa cheni kwake kuna uhusiano gani na bao alizokuwa anakugonga? Mbona sikuelewi dada yangu! Huyo ni mgonjwa hakuna uhusiano na cheni, ivi woteee wenyewe upungufu wa nguvu za kiume wanavaa cheni kweli?! Au kuvaa cheni kunasababisha low testosterone? Dah!
 
siafu dume..time and again unaambiwa your view of the world is not everyone's view..ila huelewi bado. Huu mjadala kwa sie wengine umeshafika mwisho sema unalazimisha tu hoja hapa bila mashiko.Soma analysis za sokwe OLESAIDIMU na Ablessed utajifunza kitu namnanya kujadili mada kwa nguvu ya hoja na sio hoja ya nguvu.... OLESAIDIMU kakupa reference kibao sijui hata kama umatake time kuzisoma ili uje na counter argument ila ww umeng'ang'ania tu kama mtu anaweza kwenda kwa wakwe amevaaa hereni na cheni...bila hata kujiuliza ni wakwe wa aina gani...hataa kama unazungumIa jamiii yetu ya kitanzania...hivi BWM angekuwa na mtoto wa kike maana sina uhakika angeshangaa kupata mkwe anayevaa cheni? Go THINk
 
Last edited by a moderator:

We komaa kuwa na miss point!!!!!!!Ila mjadala ndio unaenda hivyo! !!!!!!!

Jamii yetu ni ipi???!!!!Wafanyakazi???!!! Wa umma au private, kada gani????!!! Elimu yao ni ipi, western orientation au African kama Africa ni class gani ya maisha! !!!!!!!!?????Jamii ya kufunga ndoa au kufanya harusi, jamii gani hiyo unayoita yetu?????!!!!

Jamii yetu we na nani ya miaka ipi unazungumzia, miaka ya afya na elimu bure au hii ya kukatwa bima ya afya na dawa hakuna???!!!! Jamii gani unazungumzia hapa?????!!!!Ya wanaolala chini hospitali au wanaitibiwa nje????!!!!! Jamii gani mkuu ya kulipwa 300k kwa siku au 450k kwa mwezi bado huoni jamii ni kitu kipana sana?????!!!!!

Qualitative enquiry haina generalization basing on numbers ila kuna saturation thus saturation haiji kwa kutaja majina ya wahusika mind you!!!!!!
 

Umeanza kuelewa sasa kuwa Mzaramo na Maasai ni watu wanye picha tofauti za maisha!!!!!!

Lakini pia ujue Maasai msomi na yule wa kwenye emanyata ni vitu tofauti na Mzaramo tajiri na masikini ni watu tofauti achilia level za elimu na dini zao!!!!!

Sasa unaposema jamii yetu unaanzia wapi na kuishia wapi???????!!!!!!

Weka characteristic features za "jamii yetu" then tuhitimishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…