Kuna makala moja ya fred macha ya gazeti la mwananchi jumapili alikuwa anaeleza baadhi ya mabadiliko ya
ya tamaduni zetu kwa sababu ya media alikuwa akifanya reference pia kwa kumtumia lupita nyon'go..alielezea mambo mengi sana lkn mojawapo ni kuwa media inachangia pia kwa kuaminisha watu wadhani utamaduni umebadilika sana hasa kwetu africa na hata tanzania..kwa mfano hilo swala la kuoa bado lipo sana, tafuta vijana kumi wanaojitambua na kuoa kwa right reason kama hujakuta saba hawajakwambia wameoa kufuata trend ya makabila yao yanavyosema, so hizi mila na desturi zipo...lakini ukiacha sababu nyingi zinazosababisha mila ziporomoke ni hii ya kukosa watu wanaosema wazi kabisa hizi sio mila zetu..( lakini) unakuta watu wanajustfy kwa kusema jamii imebadilika, hata wamasai wanasuka( wakati tofauti inajulikana), oohoo mbona kanyewest anavaa hereni..jamii imebadilika na sababu ka hizo bila kujali mabadiliko ni positive au negative..kwa ujumla tunazipa negative changes -positive reinforciment ...na hii inaanza kwa mtu mmoja mmoja..kwa mfano hapa jf forum kwenye uzi kama huu kama watu wanakutana na watu wenye msimamo wa kutetea maadili inaleta impact na kwingine na kwingine..na hata kama mtu ana hivyo vielement anajiuliza mara mbili mbili..