sokwe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,022
- 1,059
Co mbaya twende kwa evidence.
Unaweza kutupia macho kwey bible kumb la torati 22:5b inasema;
Wala Mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.
Angalia na wewe ulivyoishiwa hoja! Sasa cheni au bangili ni mavazi? Dah kazi ipo!