Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Mke/ demu wako avae cheni, mwanao wa kike avae cheni, naww nawe uvae cheni?

Dooh. Sasa tofauti yako iko wapi?.

Hope you see the difference ImageUploadedByJamiiForums1400767725.421681.jpgImageUploadedByJamiiForums1400767736.143093.jpg
 
Hakuna hasara yoyote niliyokula.

Well, huwa sipendi sana kujadili hypotheticals....but oh well.....

Okay......

Alrighhhht.........

Naam.........

Right back at ya! Hivi, mpaka mwanao anaamua kukupasulia mbarika tena mbele ya kadamnasi ya wengine inamaanisha nini? Je, haina maana kwamba tayari atakuwa anaujua msimamo wako kuhusu hayo mambo? Manake kama hajui, kwa nini afanye hivyo mbele ya wote hao? Karukwa na akili?

Okay, tuseme anakwambia hivyo, wewe utamfanya nini? Utampiga? Utamuua? Utachimba ardhi ujifukie? Utachukua kamba ujinyonge? Utasaga sumu unywe?

Utafanya nini wewe kama mwanao wa kiume, aliye mtu mzima mwenye kujitegemea mwenyewe, endapo ataamua kuwa na mwelekeo huo?

Mimi najua nitakachofanya nacho ni sitamfanya chochote. Nitamwacha aishi apendavyo. Si kataka mwenyewe kuwa hivyo.....sasa kama kataka mwenyewe mimi nimfanye nini?

Ndiyo, ni maisha yake na wala sitapiga miruzi, nderemo, hoihoi, wala vifijo. Nitasikitika tu, basi.

Wewe utafanya nini? Utampiga ngumi? Makonzi? Mtama au frankiki?
ndo tunachosema hapa kama hilo hutalikubali, ni lazima uhakikishe jamii inayomzunguka haikubali hilo pia..sasa ukisema ni maisha yao hayakuhusu labda na watoto wako uwafungie kwenye sanduku wasiusike kwenye jamii..!
 
Siafu dume,kama kuna mtu ameshindwa kuelewa comments zako ni tabia za uboishi na kutafuta kuhalalisha visivyo halali.

Nimefanya ~"job interviews" nyingi sana sijawahi ona mtu wa kiume kaja na pete,cheni,hereni,na utumbo mwingine.Hata hao wamasai hawavai lubega,wote wanakuwa smart kwani ndivyo jamii inataka hata kama malezi na makuzi yako wazazi wako walikuruhusu kuvaa hayo makitu.

ILA KUPAMBANA NA USHOGA KAZI KWELI KWELI.
Mkuu mm unajua nashangaa sana mtu vitu obvious kabisa anavipinga pinga tu kisa mtu anataka kutetea kitu flani...mimi si kiongozi wa dini.. ila nmegundua huwa tunawaomba viongozi wa isadie jamii, lkn si kazi ndogo kama tunavyofikiria..
Aisee inashangaza kweli.!!!
 
Majibu mengine bana..kwa hiyo wewe unakubali ushoga..!?

Hapa ndio unapoonyesha hata hujui unachokisimamia! Umekubali kwamba mtu kuvaa cheni, bangili haimanishi kwamba yupo irresponsible au Ana tabia za kishoga! Mbona kuna watu wengi tu hawavai hivyo vitu na ni mashoga! Mkapa anavaa cheni ni shoga?!!! Ushoga ni tabia ya mtu. Are you suffering from personality disorder?
 
Kama mwanamme lazima uoneshe utofauti wako. Wewe na mke wak/mpenzi wako.
Ni kweli mkuu mkee anatenga hela ya kununua mikufu na hereni na mme anatenga hela ya kununua mikufu na hereni..kazi ipo kwenye huu utandawazi..
 
Hapa ndio unapoonyesha hata hujui unachokisimamia! Umekubali kwamba mtu kuvaa cheni, bangili haimanishi kwamba yupo irresponsible au Ana tabia za kishoga! Mbona kuna watu wengi tu hawavai hivyo vitu na ni mashoga! Mkapa anavaa cheni ni shoga?!!! Ushoga ni tabia ya mtu. Are you suffering from personality disorder?
Personality disoder ipi inaendana na clinical symptoms nazo zionesha..?!
 
Hapa ndio unapoonyesha hata hujui unachokisimamia! Umekubali kwamba mtu kuvaa cheni, bangili haimanishi kwamba yupo irresponsible au Ana tabia za kishoga! Mbona kuna watu wengi tu hawavai hivyo vitu na ni mashoga! Mkapa anavaa cheni ni shoga?!!! Ushoga ni tabia ya mtu. Are you suffering from personality disorder?

Mkuu hapa nilipatoka zaman kumbe bado upo basi mi nachungulia tu maana hoja hazijibiwi kwa hoja
 
Kama mwanamme lazima uoneshe utofauti wako. Wewe na mke wak/mpenzi wako.

Utofauti upo kwenye maumbile tayari. Hata chupi zipo za wanawake na wanaume lakini zote ni chupi.
 
Mkuu hapa nilipatoka zaman kumbe bado upo basi mi nachungulia tu maana hoja hazijibiwi kwa hoja

Nipo na hawa ndugu hata hawana hoja isipokuwa ni stigma tu zinawasumbua mkuu.
 
Hapa ndio unapoonyesha hata hujui unachokisimamia! Umekubali kwamba mtu kuvaa cheni, bangili haimanishi kwamba yupo irresponsible au Ana tabia za kishoga! Mbona kuna watu wengi tu hawavai hivyo vitu na ni mashoga! Mkapa anavaa cheni ni shoga?!!! Ushoga ni tabia ya mtu. Are you suffering from personality disorder?
Unajua mambo yanayozungumzwa kwenye jamii kuhusu benjamin.. sitaki kuongelea sana maana hakuna uthibitisho..angalia na mifano yako pia
 
Mnaiga mambo huko mnaona ni kawaida tuu fuatilieni, fanyeni utafiti kwanin wenznu wanavaa.

Co unavaa tuu ukiulizwa unajib ooh mbona wamasai wanavaa, watu wa Europe wanavaa naww unavaa.
Achen ujinga.
 
Mnaiga mambo huko mnaona ni kawaida tuu fuatilieni, fanyeni utafiti kwanin wenznu wanavaa.

Co unavaa tuu ukiulizwa unajib ooh mbona wamasai wanavaa, watu wa Europe wanavaa naww unavaa.
Achen ujinga.

That makes a lot of sense mkuu. Tumewaambia waishi kadili ya mapenzi Yao lakini wasilazimishe kila mtu aishi hivyo hawataki! These people are disgusting.
 
Mnaiga mambo huko mnaona ni kawaida tuu fuatilieni, fanyeni utafiti kwanin wenznu wanavaa.

Co unavaa tuu ukiulizwa unajib ooh mbona wamasai wanavaa, watu wa Europe wanavaa naww unavaa.
Achen ujinga.

Tembea uchi mkuu au vaa magome ndio tujue huigi vinginevyo utakuwa unapiga blah blah
 
Do I need to explain that? Just do ur own homework.
Unajua kuna swali mengine mtu akikuuliza inabidi uangalie mara mbili mbili..nlijua hutanijibu kwa sababu hamna and u know that..ni kawaida ya watu wakishidwa kueleza hukimbilia kuwambia watu unakichaa, mnywa viroba wewe nk..as exit loop..
 
Huna unachokisimamia ktk huu mjadala unakubali upande mmoja unaruka upande wa pili mkuu! Pengine kweli unasumbuliwa na personality disorder au kwa jina lingine borderline disorder kwani watu wenye tatizo Hilo moja ya dalili zake huwa hawaoni zaidi ya wanachokiona na hata uwezo wao wa kuchanganua mambo hauendi nje ya mawazo Yao! Pole sana.
 
Embu jisome mara mbili mbili utaelewa tatizo lako..naona ww kuniambia hivyo inakufanya wewe ujiskie vizuri na uone umetoa point sana..by the way ni kweli mimi nasimamia mawazo yangu..na toka mwanzo kwenye uzi huu ndo nlichoganya na sibadilishi..
 
Co mbaya twende kwa evidence.
Unaweza kutupia macho kwey bible kumb la torati 22:5b inasema;

Wala Mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.
 
Back
Top Bottom