Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Ukisikia uwiiiii....Ujue jiwe limempata...Sasa mada ya mleta uzi ni jiwe liliokupata gizani..

Wacha kuvaa hayo macheni na mahereni...

tedo namke unataka nini
 
♥Mwanaharakati kama B-) ₩ shingoni nina cheni ya gold.
♥Bora cheni na pete ila hereni ni shidaaaaa.
 
Na mwanamke aonekaneje?

Mimi ninachojua ni kwamba u-sexy ni kwa ajili ya wanawake tu--mwanaume anasifiwa kwa kazi na pesa sio kwa kuonekana SEXY! Kama kuna aliye handsome, hiyo inatosha. Mikufu, vidani na bangili kwa wanaume vya nini?

Babashopu unaenda huendi, au hata saluni basi unaendaga? Ukifika huko bila shaka huwa unamwambia huyo kinyozi wako jinsi gani akunyoe sio, ni kwa nini basi unachagua mtindo wakati wewe mwanaume... kwa nini usitenge tu hilo bichwa lako kama kifuu... lol.
 
Kwenye hereni sipazungumzii lkn kwenye cheni na saa ya maana hapo hunitoi hata kwa winchi, lkn pia unadhifu wa mtu ni vile anavofeel kupendeza yeye kama yeye
 
yalishatimia..!! upo nyuma sana ndugu., DIAMOND PLUTNUM alivaa what you call 'skirt'!!!.
 
Sasa tukikueleza habari za kuosha kucha kitaalam, scrubing kama sio mask, facial levent na pimpos disout , hair sprayin, tutakua tumekutukana sana pole aseeeee mutuwache sie wavaa cheni tuendeleeee na yetu mbona hatujasema msiovaa mnatuudhi?
 
Kwenye hereni sipazungumzii lkn kwenye cheni na saa ya maana hapo hunitoi hata kwa winchi, lkn pia unadhifu wa mtu ni vile anavofeel kupendeza yeye kama yeye

Ku-feel kupendeza kunaongeza confidence, ila kwenye heleni naona tusubiri kidogo, tuwaachie wanaopanda stejini.
 
Kweli kabisa hereni na kata K tuwasubiri wengine watasemaje hapo maana sie zetu ni cheni za kiume tu tena kama mimi silver tu



Ku-feel kupendeza kunaongeza confidence, ila kwenye heleni naona tusubiri kidogo, tuwaachie wanaopanda stejini.
 
Yani mkuu hata saa kuva inakuwa ni balaa...!! We kweli upo hii 2014 au 1940? Sasa naona mwishoe utatuambia ukibeba mobile nikama umebeba pochi la wanawake. Haaahaa.... Wacha hizo..
 

Ngja nivae INVICTA yangu mkuu
 
Aonekane sexy eeh...! akishkwa taiko na wale jamaa wa madevu asije kulalamika wajamen... mwanaume inakubid utokelezee kibedui arawaa...
Ndo zenu hizo mna shindwa hata kujiweka smart kisa mnaogopa kutongozwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…