thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 264
Ukisikia uwiiiii....Ujue jiwe limempata...Sasa mada ya mleta uzi ni jiwe liliokupata gizani..
Wacha kuvaa hayo macheni na mahereni...
tedo namke unataka nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia uwiiiii....Ujue jiwe limempata...Sasa mada ya mleta uzi ni jiwe liliokupata gizani..
Wacha kuvaa hayo macheni na mahereni...
we ni shoga
Kwani kutongozwa dhambi?
Na mwanamke aonekaneje?
Mimi ninachojua ni kwamba u-sexy ni kwa ajili ya wanawake tu--mwanaume anasifiwa kwa kazi na pesa sio kwa kuonekana SEXY! Kama kuna aliye handsome, hiyo inatosha. Mikufu, vidani na bangili kwa wanaume vya nini?
yalishatimia..!! upo nyuma sana ndugu., DIAMOND PLUTNUM alivaa what you call 'skirt'!!!.Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona mjanja! Huu ni ujanja au ni dalili za kukengeuka?
Tangu dunia hii ilipoumbwa, inajulikana kwamba urembo ni kwa ajili ya wanawake. Mwanaume hata ukiwa rafu ni pouwa tu--hakuna mtu atakayekushangaa, tofauti na ilivyo kwa wanawake. Mwanamke ni kiumbe anayejisikia kuonekana nadhifu na mrembo nyakati zote. Hivyo hupenda kuvaa vifaa vya urembo kama vile hereni, mikufu, pete, vidani, bangili, nk. Sasa wale wanaume wanaovaa vifaa hivi vya KIKE tuwaweke fungu gani? Si wavae na sketi kabisa ili tujue moja?
Kwa kweli wanaume wenzangu wanaovaa pete, hereni na mikufu wananiudhi sana. Mimi siwezi hata kuvaa saa kwa kuwa inanifanya nijihisi nimevaa bangili! Sasa iweje wanaume na ndevu zao watamani kuvaa urembo wa kike?
Naomba tujadiliane BILA JAZBA hadi jibu lipatikane. Samahani sana, najua hata humu JF wavaa hereni wamo.
Nami nikukuona utaning'oa kama sio kunichimba make napenda cheni....
Kwenye hereni sipazungumzii lkn kwenye cheni na saa ya maana hapo hunitoi hata kwa winchi, lkn pia unadhifu wa mtu ni vile anavofeel kupendeza yeye kama yeye
Ku-feel kupendeza kunaongeza confidence, ila kwenye heleni naona tusubiri kidogo, tuwaachie wanaopanda stejini.
Yani mkuu hata saa kuva inakuwa ni balaa...!! We kweli upo hii 2014 au 1940? Sasa naona mwishoe utatuambia ukibeba mobile nikama umebeba pochi la wanawake. Haaahaa.... Wacha hizo..Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona mjanja! Huu ni ujanja au ni dalili za kukengeuka?
Tangu dunia hii ilipoumbwa, inajulikana kwamba urembo ni kwa ajili ya wanawake. Mwanaume hata ukiwa rafu ni pouwa tu--hakuna mtu atakayekushangaa, tofauti na ilivyo kwa wanawake. Mwanamke ni kiumbe anayejisikia kuonekana nadhifu na mrembo nyakati zote. Hivyo hupenda kuvaa vifaa vya urembo kama vile hereni, mikufu, pete, vidani, bangili, nk. Sasa wale wanaume wanaovaa vifaa hivi vya KIKE tuwaweke fungu gani? Si wavae na sketi kabisa ili tujue moja?
Kwa kweli wanaume wenzangu wanaovaa pete, hereni na mikufu wananiudhi sana. Mimi siwezi hata kuvaa saa kwa kuwa inanifanya nijihisi nimevaa bangili! Sasa iweje wanaume na ndevu zao watamani kuvaa urembo wa kike?
Naomba tujadiliane BILA JAZBA hadi jibu lipatikane. Samahani sana, najua hata humu JF wavaa hereni wamo.
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona mjanja! Huu ni ujanja au ni dalili za kukengeuka?
Tangu dunia hii ilipoumbwa, inajulikana kwamba urembo ni kwa ajili ya wanawake. Mwanaume hata ukiwa rafu ni pouwa tu--hakuna mtu atakayekushangaa, tofauti na ilivyo kwa wanawake. Mwanamke ni kiumbe anayejisikia kuonekana nadhifu na mrembo nyakati zote. Hivyo hupenda kuvaa vifaa vya urembo kama vile hereni, mikufu, pete, vidani, bangili, nk. Sasa wale wanaume wanaovaa vifaa hivi vya KIKE tuwaweke fungu gani? Si wavae na sketi kabisa ili tujue moja?
Kwa kweli wanaume wenzangu wanaovaa pete, hereni na mikufu wananiudhi sana. Mimi siwezi hata kuvaa saa kwa kuwa inanifanya nijihisi nimevaa bangili! Sasa iweje wanaume na ndevu zao watamani kuvaa urembo wa kike?
Naomba tujadiliane BILA JAZBA hadi jibu lipatikane. Samahani sana, najua hata humu JF wavaa hereni wamo.
Aonekane sexy eeh...! akishkwa taiko na wale jamaa wa madevu asije kulalamika wajamen... mwanaume inakubid utokelezee kibedui arawaa...Cheni inamfanya mwanaume aonekane sexy....
Sio dhambi kulingana na jinsia yako.
Mwanaume aonekane sex ili iweje? Atongozwe?
Ndo zenu hizo mna shindwa hata kujiweka smart kisa mnaogopa kutongozwaAonekane sexy eeh...! akishkwa taiko na wale jamaa wa madevu asije kulalamika wajamen... mwanaume inakubid utokelezee kibedui arawaa...
Kama ulikuepo na hua nang'oa madem wakali na hata mwanadada nikiwa nimekaa na nmetokelezea bac mnapenda sana