Wanaume wanaoweza kuoa Mwanamke mwenye watoto/single mothers wanaroho nzuri na ya kipekee sana, Mungu awabariki


Inahitaji moyo
 

Inahitaji moyo
 
Acha nionekane nina roho mbaya tu

Mechi ianze 0-0

The same[emoji1374]

Mimi kelphin wacha nionekane nna roho mbaya[emoji1374]

Siongei kwa kufata maneno ya jf
Me nlifikia stage ya kutaka kupeleka hadi nyumbani
Nlichokutana nacho hapana.....
Kama kuowa single mother(ambae mzazi mwenzie yupo hai) ni uanaume basi naomba niwe un qualified man[emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Ila single mother ambae mzazi mwezie hayupo
Yess ntalea tu mwanangu na atasoma ,atavaa na atakula kama mwanangu


Ila kama jamaa yupo yaan anapumua vizuri tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna siku utalea watoto wa wenzako ukiwa huko huko kwenye ndoa, unajikuta tu vitoto viizi, vina kiburi unatafuta hata mfanano kwenye familia yenu huoni, so kuanza 0-0 sio kigezo cha wewe kutokuoea watoto wa watu
Aiseee
 
Tupe mkasa mkuu, tujifunze. Kilikupata nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…