Wanaume wanaoweza kuoa Mwanamke mwenye watoto/single mothers wanaroho nzuri na ya kipekee sana, Mungu awabariki

Wanaume wanaoweza kuoa Mwanamke mwenye watoto/single mothers wanaroho nzuri na ya kipekee sana, Mungu awabariki

Maisha ukiyafahamu hayakusumbui....wanaume tu ndo wanayaweza haya mambo I mean wanaume.Ndoa ni mume na mke,watoto ni kama ndugu wengine home kwako utawahudumia tu kama unavyohudumia wengine.Kama una roho ya uchoyo na ubinafsi si watoto tu hata nduguzo hutopenda huwaone kwako.Haya ni maisha tu[emoji120]
Aliyetoa hii comment angekuwa mwanaume, ingekuwa mwake sana.
 
SIWEZI KUANZA MECHI NA GOAL MOJA MKONONI AISEE

Tuanze 0-0 itapendeza zaidi...
Jambo la ajabu umeoa bikra lakini mkiwa ndani ya ndoa ataliwa na house boy kitandani mwako.
Maumivu yake bora kuoa mwenye mtoto ambaye hana ulimbukeni wa mb..o..o tena.
Huyo atakuheshimu sana.
Mwisho wa yote haya makitu hayanagq kanuni.
Antonnia
 
Maisha ukiyafahamu hayakusumbui....wanaume tu ndo wanayaweza haya mambo I mean wanaume.Ndoa ni mume na mke,watoto ni kama ndugu wengine home kwako utawahudumia tu kama unavyohudumia wengine.Kama una roho ya uchoyo na ubinafsi si watoto tu hata nduguzo hutopenda huwaone kwako.Haya ni maisha tu🙏
Yaani hii comment umeandika kama wewe ni mwanaume mtu mzima yaani mbaba kumbe ni kibinti

Hii comment yako imejaa hekima sana bila shaka roho ya ubaba ilikuingia wakati wa kuiandika
 
Jambo la ajabu umeoa bikra lakini mkiwa ndani ya ndoa ataliwa na house boy kitandani mwako.
Maumivu yake bora kuoa mwenye mtoto ambaye hana ulimbukeni wa mb..o..o tena.
Huyo atakuheshimu sana.
Mwisho wa yote haya makitu hayanagq kanuni.
Antonnia
Abeeeeeee!!
Kweli Hayanaga formula Kabisa!!
 
Jambo la ajabu umeoa bikra lakini mkiwa ndani ya ndoa ataliwa na house boy kitandani mwako.
Maumivu yake bora kuoa mwenye mtoto ambaye hana ulimbukeni wa mb..o..o tena.
Huyo atakuheshimu sana.
Mwisho wa yote haya makitu hayanagq kanuni.
Antonnia
Tatizo lipo kwako kama unajidanganya kuwa a piece of paper ndio itamzui mwanamke au mwanume kuonja nyama nyingine
 
Yaani hii comment umeandika kama wewe ni mwanaume mtu mzima yaani mbaba kumbe ni kibinti

Hii comment yako imejaa hekima sana bila shaka roho ya ubaba ilikuingia wakati wa kuiandika
😉🙏
 
Jambo la ajabu umeoa bikra lakini mkiwa ndani ya ndoa ataliwa na house boy kitandani mwako.
Maumivu yake bora kuoa mwenye mtoto ambaye hana ulimbukeni wa mb..o..o tena.
Huyo atakuheshimu sana.
Mwisho wa yote haya makitu hayanagq kanuni.
Antonnia
SASA SI MPAKA ALIWE NA HUYO HOUSEBOY😀
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Ni dhahiri Kwamba Kama utaamua kuoa ama kudate na mwanamke mwenyewe mtotobasu jiandae kuchapiwa Sana mkeo na mwanaume aliyemzalisha( assuming baba mwenye mtoto angali hai).

Hili Jambo nimelifanyia utafiti wa kutosha na nikagundua watu waliowahi kuwa kwenye mahusiano na wakafanikiwa kupata mtoto/ watoto Kisha wakatengana kwa sababu kadha wa kadha huwa haimanishi eti wameachana mazima.
Wanaweza tu wakatofautiana na wakatengana ili baadae huanza kuwasiliana na kuanza kupeana habari kuhusu maendeleo ya mtoto/watoto wao.Na hapo ndipo wanapoanza kupanga miada na mwishowe wakapasha viporo.

Sasa tuchukulie kwamba wewe umeoa mwanamke ambaye alishazaa mtoto na njemba nyingine Kisha wakatengana kidizaini.Brother, mkeo Wala hajaachana na huyo jamaa na ukifuatilia vizuri utakuta Ana number ya jamaa kwenye simu Yake huwaga wanachart kwa kupeana habari za mtoto wao mixer message za M- pesa.Jamaa anamtumiaga hela za matumizi take mtoto wao.

Mkeo atakuwa anapigiwa simu na mzazi mwenza afu ukimuuliza Nani huyo atakujibu Ni baba X alikuwa anauliza kuhusu maendeleo ya mtoto wake.Eboo!
Sasa jamaa atakuwa anamuomba mkeo mechi na mkeo anamwambia Kama vipi jamaa atafute location yenye lodge nzuri Kisha amtumie nauli Kisha aliamshe waende wapashe kiporo😂

Kwa hiyo Ni dhahiri Kwamba wanaume asilimia 98 walioa wanawake wenye watoto wanachapiwa wake zao na wanaume waliozaa nao.

Ushauri wangu; Kama huwezi kuhimili maumivu ya kuchapiwa mkeo Basi usidhubutu kuoa mwanamke mwenye mtoto ambaye mzazi mwenza angali hai.
 
Tupe mkasa mkuu, tujifunze. Kilikupata nini

Acha tu mkuu....me sitak hata kusikia
Nmepitia wakati mgumu sana

Na hi n kitu nlichokuj kukigundua kua
Hata wao wenyewe wameshaharibika ki fikra (ile kuitwa single mother! Ukifanya kitu chochote yeye anaki judge kua yeye n single m
Hawamwamimi mwanaume yoyote
Ukitaka kuwawin wewe wapende watoto wao na sio wao hapa utakula hadi uchoke

By the way wanaume ndio tunawazalisha hivyo ushauri wangu ikiwa huna malengo na dada wa watu usimpe matumaini yoyote
2 wadada waacha tamaa!
 
Back
Top Bottom