Wanaume wanaoweza kuoa Mwanamke mwenye watoto/single mothers wanaroho nzuri na ya kipekee sana, Mungu awabariki

Wanaume wanaoweza kuoa Mwanamke mwenye watoto/single mothers wanaroho nzuri na ya kipekee sana, Mungu awabariki

salamu ziwafikie kokote waliko....real men
Sema wanaume tuna huruma sana na watoto wa kufikia mara chache sana utakuta kuna baba wa kambo katili

Ila wanawake hamjawahi kupenda watoto sio wenu hata kama mliowakuta
 
Sema wanaume tuna huruma sana na watoto wa kufikia mara chache sana utakuta kuna baba wa kambo katili

Ila wanawake hamjawahi kupenda watoto sio wenu hata kama mliowakuta
sio wote mydia kama ilivyo kwa me kupenda watoto wa me wengine
 
Popote ulipo ikiwa uliweza au umeweza kuoa mwanamke ambaye ulimkuta na mtoto au watoto tayari, basi una roho ya nzuri sana na Mungu akubariki sana.

Binafsi mwanamke nispomkuta na usichana wake tu inakuwa tabu sana kumuwazia ndoa, naona kabisa napita tu hapa haolewi mtu, lakini kuna wanaume wengine anamkuta mtu ana watoto na baba yao yupo hai, anamuoa huyo mwanamke aliyezalishwa na anawahudumia watoto wake bila shida.

Na wakati mwingine kama jamaa mwenye watoto yupo hai, huyo mwanaume anaweza mruhusu kabisa jamaa aje kuwaona watoto au huyo mama awapeleke watoto "kwao". Au anaweza simuliwa na mkewe, baba fulani alipiga kuomba kuongea na wanae na mwanaume anaruhusu bila shida. Mnawezaje? Binafsi nikiwa na mahusiano na mwanamke tu halafu ikatokea akaongelea habari za ex wake tu roho inaniuma sana. Sasa najiuliza hawa wanaume wanawezaje?

Yaani uko na evidence kabisa mpaka watoto wa mwanaume Mwenzako? Unawahudumia, unamruhusu kuja kuwaona, unaruhusu mkeo aongee nae na saa zingine mpaka anakusimulia.....aaaah mbarikiwe sana ndugu zetu maana mnaroho za kipekee.

MUNGU AWABARIKI.
BRO,
KWENYE KUNDI LA WANYAMA WALAO NYAMA KUNA WANAO WINDA(KAMA SIMBA, CHUI) NA WALAO MIZOGA (KAMA FISI, MBWA MWITU).
WOTE HAO WANYAMA UWEPO WAO NI FAIDA. WASIPO KUWAPO FISI, MIZOGA, MABAKI YANGELETA UGONJWA KWA WAWINDAJI.

BIG UP KWA MAFISI WOTE.
 
Ni rahisi mwanaume asiye na mtoto kuoa single mother kuliko mwanamke asiye na mtoto kuolewa na single father USINIULIZE KWA NINI MAANA HATA MIMI SIJUI
Wanawake especially wa kisasa wapo kimasilahi zaidi katika mahusiano. Sababu inayofanya kuchukia kulea mtoto asiye damu yake ni kwasababu wanataka watoto wao ndio wawe warithi wa mali za baba yao.

Watoto ambao sio wake wana haki sawa kama watoto wake sasa wengi hawapendi kuzigawana mali kati ya watoto wake na watoto wa mwanamke mwingine.

Nje ya hapo hawana sababu nyingine ya msingi ya kushindwa kulea mtoto ambaye hatokuwa akilipa pesa za matumizi wala kuingia gharama ya bili kubwa za huyo mtoto.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Ni dhahiri Kwamba Kama utaamua kuoa ama kudate na mwanamke mwenyewe mtotobasu jiandae kuchapiwa Sana mkeo na mwanaume aliyemzalisha( assuming baba mwenye mtoto angali hai).

Hili Jambo nimelifanyia utafiti wa kutosha na nikagundua watu waliowahi kuwa kwenye mahusiano na wakafanikiwa kupata mtoto/ watoto Kisha wakatengana kwa sababu kadha wa kadha huwa haimanishi eti wameachana mazima.
Wanaweza tu wakatofautiana na wakatengana ili baadae huanza kuwasiliana na kuanza kupeana habari kuhusu maendeleo ya mtoto/watoto wao.Na hapo ndipo wanapoanza kupanga miada na mwishowe wakapasha viporo.

Sasa tuchukulie kwamba wewe umeoa mwanamke ambaye alishazaa mtoto na njemba nyingine Kisha wakatengana kidizaini.Brother, mkeo Wala hajaachana na huyo jamaa na ukifuatilia vizuri utakuta Ana number ya jamaa kwenye simu Yake huwaga wanachart kwa kupeana habari za mtoto wao mixer message za M- pesa.Jamaa anamtumiaga hela za matumizi take mtoto wao.

Mkeo atakuwa anapigiwa simu na mzazi mwenza afu ukimuuliza Nani huyo atakujibu Ni baba X alikuwa anauliza kuhusu maendeleo ya mtoto wake.Eboo!
Sasa jamaa atakuwa anamuomba mkeo mechi na mkeo anamwambia Kama vipi jamaa atafute location yenye lodge nzuri Kisha amtumie nauli Kisha aliamshe waende wapashe kiporo[emoji23]

Kwa hiyo Ni dhahiri Kwamba wanaume asilimia 98 walioa wanawake wenye watoto wanachapiwa wake zao na wanaume waliozaa nao.

Ushauri wangu; Kama huwezi kuhimili maumivu ya kuchapiwa mkeo Basi usidhubutu kuoa mwanamke mwenye mtoto ambaye mzazi mwenza angali hai.
Usidhubutu [emoji777]

Usithubutu [emoji3581]
 
Back
Top Bottom