Wanaume wanaoweza kuoa Mwanamke mwenye watoto/single mothers wanaroho nzuri na ya kipekee sana, Mungu awabariki

salamu ziwafikie kokote waliko....real men
Sema wanaume tuna huruma sana na watoto wa kufikia mara chache sana utakuta kuna baba wa kambo katili

Ila wanawake hamjawahi kupenda watoto sio wenu hata kama mliowakuta
 
Sema wanaume tuna huruma sana na watoto wa kufikia mara chache sana utakuta kuna baba wa kambo katili

Ila wanawake hamjawahi kupenda watoto sio wenu hata kama mliowakuta
sio wote mydia kama ilivyo kwa me kupenda watoto wa me wengine
 
Ni circumstance tu uliyokutana nayo. Kila mtu ana tabia yake.
 
BRO,
KWENYE KUNDI LA WANYAMA WALAO NYAMA KUNA WANAO WINDA(KAMA SIMBA, CHUI) NA WALAO MIZOGA (KAMA FISI, MBWA MWITU).
WOTE HAO WANYAMA UWEPO WAO NI FAIDA. WASIPO KUWAPO FISI, MIZOGA, MABAKI YANGELETA UGONJWA KWA WAWINDAJI.

BIG UP KWA MAFISI WOTE.
 
Ni rahisi mwanaume asiye na mtoto kuoa single mother kuliko mwanamke asiye na mtoto kuolewa na single father USINIULIZE KWA NINI MAANA HATA MIMI SIJUI
Wanawake especially wa kisasa wapo kimasilahi zaidi katika mahusiano. Sababu inayofanya kuchukia kulea mtoto asiye damu yake ni kwasababu wanataka watoto wao ndio wawe warithi wa mali za baba yao.

Watoto ambao sio wake wana haki sawa kama watoto wake sasa wengi hawapendi kuzigawana mali kati ya watoto wake na watoto wa mwanamke mwingine.

Nje ya hapo hawana sababu nyingine ya msingi ya kushindwa kulea mtoto ambaye hatokuwa akilipa pesa za matumizi wala kuingia gharama ya bili kubwa za huyo mtoto.
 
Usidhubutu [emoji777]

Usithubutu [emoji3581]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…