wanaume,wanaume,mmmh!!!

Mwanaume ni Kama Simba Mwindaji. kama ushawahi angalia zile picha jinsi SIMBA anavyowinda utaona kama mnyama hakimbii hata SIMBA anashtuka anaogopa lkn mnyama akikimbia basi SIMBA ile inakuwa ni kitoweo halali kwake na haachi mpaka akamate atafune. Ndivyo ilivyo kwa Mwanaume, wewe ukimzungusha sana ndo unamuongezea stimu na hamu ya kutaka kukupata so HATUKATI TAMAA NG'OOOO. hahahahahah na tunaona kikimbiacho ndicho kimenona na kitamuuuuuuuuu na ukitoa mapema kinakuwa KIMEOOOOOOOO tunakimbia hahahahahaha
 
hahahahahahahaha!
BATAAAA NI BATAAAAAAAAAAAAA
TUNATAAKAA BATAAAAAAAAAAAA
BATAA WA KIMAMBOOOOOOOOO
TUNATAKA BATAAAAAAAAAAAAAAA

BATAAA NI BATAAAAAAAAAAAAAAA
TUNAKULA BATAAAAAAAAAAAAAAA

Ha ha ha ha ha ha haaaa Mzee TEAMO at work!
 

mh hatari kweli kweli
 
mh hatari kweli kweli

na bado leo utajua mengi kuliko hayo c mmechokoza wenyewe na DA arudi jamvini mchakato uendelee.........stim stim..............panda..........stim................pandapanda...............................
 
Kwa hiyo hapa bado mnadiskasi wanaume au matiti?
 
we jana si nilikwambia leo twende wote kwenye lunch, lakini naona umenikaushia?nimekula peke yangu!

Mie nimefika hapo nakupigia hupokei halafu sikuoni nikaondoka zangu tupange kesho basi saa sita na nusu on the dot uwe pale sasa. Ndo umeamua kuzima simu kulikoni? Ushaenda GH na yule nanihiii!!!!!
 
na bado leo utajua mengi kuliko hayo c mmechokoza wenyewe na DA arudi jamvini mchakato uendelee.........stim stim..............panda..........stim................pandapanda...............................

bora tulivyochokoza mmetupa mbinu zenu za kivita kumbe ndivyo mnavofanya eee
 
wamenitongoza wengi tu
nimewakubalia wachache
kubwagwa kati ya wote ni mmoja tu aliefanikiwa wengine huwa nawawahi
sina anaetegemea kunimwaga cause wengi wanaokuja sasa ni wanaonekana kabisa ni tamaa ya kimwili inayowaleta na c mapenzi
usijihalalishe.. kuna watu wanakuja na technique tofautitofauti.. lilipo mwombe mungu upate mwaminifu!!
 
Aisifuye mvua..................??????

 

Mwasu,

Pole mtoto - Uaweza kuhamia mitaa ya tegeta/bunju/boko ::: Wanaume wengi huku wameoa kwahiyo akikutongoza fahamu kuwa anataka kuvunja amri ya sita tu! Lakini hiyo mitaa yako ya Sinza wengi ndiyo kwanza wamemaliza Tumaini University na wanaishi na wazazi wao, kwahiyo chances za ku-play as double agent ni kubwa sana!

Pole, anyways ndivyo maisha yalivyo

Note: Baba_E enzi za ujana wake hakumbuki alishawah kuwa na ma-GF wangapi! Alikuwa anaishi Sinza Mori
 
Jamani mbonahaya ni mambo ya kawaida tu katika maisha? Kwani wanawake wanapotaka kukutoa upepo huwa wanaonekanaje?
Lakini hata katika nyanja nyingine za maisha haya mambo yapo. Watu tofauti wanaweza kuja kwako wakitaka mkopo wa fedha, na wote wakaonyesha aina fulani ya kudhamilia kulipa pindi waki wakitimiza hitaji lao. Unadhani wote kweli watalipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…