Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Mwanaume ni Kama Simba Mwindaji. kama ushawahi angalia zile picha jinsi SIMBA anavyowinda utaona kama mnyama hakimbii hata SIMBA anashtuka anaogopa lkn mnyama akikimbia basi SIMBA ile inakuwa ni kitoweo halali kwake na haachi mpaka akamate atafune. Ndivyo ilivyo kwa Mwanaume, wewe ukimzungusha sana ndo unamuongezea stimu na hamu ya kutaka kukupata so HATUKATI TAMAA NG'OOOO. hahahahahah na tunaona kikimbiacho ndicho kimenona na kitamuuuuuuuuu na ukitoa mapema kinakuwa KIMEOOOOOOOO tunakimbia hahahahahaha