Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume punguzeni kudanganya wanawake
we acha tu tuko kwenye mchakato wa kutafuta dawa yenu
wanawake punguzeni kutapeli wanaume
ndo walewale tu hakuna jipya unasema ukweli wapi baba yenu mmoja nyie
Tatizo la mwanaumme ni matarajio ya mwanamke....................na hapo ili muelewane lazima akupige changa la macho na ukizubaa imetoka vile..........................................Jiulize ni kwa nini iko hivyo jibu lipo kwa akina dada wajirekebishe kudandia bembea za bwereree..........hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
Welcome aboard my dear!!! Ni hivi,,,,,Wanaume ni viumbe wa ajabu sana hawana huruma hawa watu acha kabisa. No wonder wanawake wengi siku hizi wameona bora kuishi peke kuliko kulizwa na kubembeleza day and night na hawa viumbe wanaitwa wanaume.
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
Welcome aboard my dear!!! Ni hivi,,,,,Wanaume ni viumbe wa ajabu sana hawana huruma hawa watu acha kabisa. No wonder wanawake wengi siku hizi wameona bora kuishi peke kuliko kulizwa na kubembeleza day and night na hawa viumbe wanaitwa wanaume.
Pakawa my darling, hao wanaume unaozungumzia hapo, nami umeniweka mumohumo?
ndo zinawaangaisha nyie au?
Kwani wewe ni mwanamke sasa? Samaki mmoja akiozaaaaaaaaaa?????
Afu wewe una kesi ya kujibu. Inakuwaje nakupigia afu hupokei simu?
Umeamkaje rafiki yangu mpya?
hapo kwenye pink unajua kabisa kwamba husemi ukweli au naongopa? mbona basi tunatafutwa sana kama sie ni wabaya kiivo. WangineWelcome aboard my dear!!! Ni hivi,,,,,Wanaume ni viumbe wa ajabu sana hawana huruma hawa watu acha kabisa. No wonder wanawake wengi siku hizi wameona bora kuishi peke kuliko kulizwa na kubembeleza day and night na hawa viumbe wanaitwa wanaume.
Nilikuwa nakunywa chai nipigie tena basi
hapo kwenye pink unajua kabisa kwamba husemi ukweli au naongopa? mbona basi tunatafutwa sana kama sie ni wabaya kiivo. Wangine
wanatukwiba kwa wake zetu, bado sie ndio wabaya tuuu!