Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Umeonae eeeh...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanukia viungo vya pilau njia nzima dadeki
Huko kunanifaa ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonae eeeh...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanukia viungo vya pilau njia nzima dadeki
Ndicho kitengo pekee ninakimudu vyema kabisa.Hahaa!mbona wajimegea kitengo kitakatifu hivyo?
Sina mkuu nipo flatscreen nimepigwa bapaNawe si unayo?
Mkwe kwa sakayoShunie wa dar mie wa mikoani hivyo hamna shida mkwe. Sijui ndio mkwe sijui sio maana mnafanana majina.
We cheka tu aunty, si mmegoma kumchukua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti
Ndo maana nakupendaOoops
Nilisahau mume
Huko naskia ni balaa tupu unaogeshwa maji ya ilikiWanapaita tanga tanga rahaaa
Mmmmmh!! Una lako jambo wewe sio bure. Muondoe namba moja tafadhali, lasivyo huwatendei haki wanaume wa mikoani.Ana mambo makubwa ni jasiriii
Mmh acha kunijaza unidanganye na hivyo vitu kwahiyo na wewe umewowa umeshajipatia huko huko au ulitoka nae hukuKuwowaaaa lazimaaaa....au nikutafutiee kuku wa kienyejii na maharagee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pasi ndio mpango mzimaSina mkuu nipo flatscreen nimepigwa bapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shunie wa dar mie wa mikoani hivyo hamna shida mkwe. Sijui ndio mkwe sijui sio maana mnafanana majina.
Check na huyu mambo ya kwingine anayaleta humu.Mpenda kulambwa mambo!
Nisamehe mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakuchapa
Huyo wao kabisaaaa, wametusingizia wa mkoani.Haha
Hiyo list yenu bwana... Kuna watu mmewaonea aki
Natamani T akuje nijichekee mieOoops
Nilisahau mume
Sawa bwanaHapana jamani kila mtu na list yake msitujazie