Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkimtoa mtutolee Le kokobanga twende sawaBasi tumhonge dina asiwepo kwenye list kama broker.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkimtoa mtutolee Le kokobanga twende sawaBasi tumhonge dina asiwepo kwenye list kama broker.
Sikugombanishi nae nimeuliza tu mimiUnataka kunigombanisha na abj
Ujifunze mara ngapi?[emoji1] [emoji23]
Asante kunibatiza, ngoja nianze kujifunza Lugha! [emoji3]
HahahahahahaaNi udhalilishaji kufananisha watu wa dar na wamikoani,mtu anaamka break ya kwanza kwenye banda la nguruwe,hajakaa sawa kaingia migombani,dk kadhaa baadae utamuona anaswaga ng'ombe kwenda malishoni akitoka huko no kuoga no kupiga mswaki moja kwa moja utamkuta kwa bed,hapa mnatuonea sana sisi wanaume wa jiji la maraha,wenzao wengine wako huku hawataki kurudi porini.
We mhaya na mambo hayo wapi na wapiiiNjo tukuogeshe acha uoga na kisahani na tunakukalisha kwa kigoda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haha
Kabisaaa mambo ya kukaguana chura mkoani hatuna
AhahhahahahAlafu akili yake inafanana na yule dogo wa kudharau.
Mie wa nje ya tz ...Huyo wao kabisaaaa, wametusingizia wa mkoani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nisije nikasahau kurudi kwetuNjo tukuogeshe acha uoga na kisahani na tunakukalisha kwa kigoda
HahaNatamani T akuje nijichekee mie
Woyooooooooo mambo ni darNi udhalilishaji kufananisha watu wa dar na wamikoani,mtu anaamka break ya kwanza kwenye banda la nguruwe,hajakaa sawa kaingia migombani,dk kadhaa baadae utamuona anaswaga ng'ombe kwenda malishoni akitoka huko no kuoga no kupiga mswaki moja kwa moja utamkuta kwa bed,hapa mnatuonea sana sisi wanaume wa jiji la maraha,wenzao wengine wako huku hawataki kurudi porini.
Nyie ndio watamu sanaMe najua wanaume wote mnapenda machura mkuu kumbe hata sisi tuliopigwa pasi
Unataka jibu ??Sikugombanishi nae nimeuliza tu mimi
Nifurahi tu mimi jaman mtakavyobadilisha madaUchekee nini
Basi waundiwe kundi lao maalumu ambalo halina mkoa(kundi la wasiojulikana)Hapana jaman sawa sawa mbona sisi anaongoza le kokobanga muacheni tu mzee wa chura
AiseeUnataka kunigombanisha na sakayo
WeweMwenyekit awe nanii?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anahakikisha huu uzi unafutwa haiwezekani kudhalilisha watuOntario amsaidie huyu kabla hajafanya yale yalofanwa na maro.
True lies hii movie ya Schwarzenegger naipendaa kweliMie wa nje ya tz ...
Dina naomba kwenye list ya watu wa aburodi nianze mie.... Nipo Namtumbo
Nitazoea[emoji23] [emoji23] [emoji23] na inaonyesha mambo hayo unayaweza