Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Duuuh kweli vyuma haviangalii mtu hata wewe umeshindwa kukontro akili yakoNajaribu kuwaza kwa sauti wewe mwanaume unafanya nini kwenye uzi ambao una mandhali kama salon ya kike??
Kwanini mnakuwa ivi?? Huu uzi ulipaswa kukemewa kwa nguvu na umoja wetu ufutwe maana utaleta uharibu mbeleni.
Umekaa hapa mnasukana nywele na wewe unacheka mm nakejeliwa na vi dudu hivi wewe unapita una like?? Unanijua mimi wewe???
Unajitambua kweli wewe?? chukua hatua kijana na ujitambue nafasi yako kuliko kushiriki kwenye rubbish kama hizi ni bora ungejiingiza katika mijadara mizito yenye nia ya kuleta tija.
you are an insult in gentlemens club!! Empty set kabisa
Mkuu dunia hupangiwi cha kufanya ila
Unapangiwa cha kuelewa