Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Najaribu kuwaza kwa sauti wewe mwanaume unafanya nini kwenye uzi ambao una mandhali kama salon ya kike??

Kwanini mnakuwa ivi?? Huu uzi ulipaswa kukemewa kwa nguvu na umoja wetu ufutwe maana utaleta uharibu mbeleni.

Umekaa hapa mnasukana nywele na wewe unacheka mm nakejeliwa na vi dudu hivi wewe unapita una like?? Unanijua mimi wewe???

Unajitambua kweli wewe?? chukua hatua kijana na ujitambue nafasi yako kuliko kushiriki kwenye rubbish kama hizi ni bora ungejiingiza katika mijadara mizito yenye nia ya kuleta tija.

you are an insult in gentlemens club!! Empty set kabisa
Duuuh kweli vyuma haviangalii mtu hata wewe umeshindwa kukontro akili yako

Mkuu dunia hupangiwi cha kufanya ila
Unapangiwa cha kuelewa
 
Najaribu kuwaza kwa sauti wewe mwanaume unafanya nini kwenye uzi ambao una mandhali kama salon ya kike??

Kwanini mnakuwa ivi?? Huu uzi ulipaswa kukemewa kwa nguvu na umoja wetu ufutwe maana utaleta uharibu mbeleni.

Umekaa hapa mnasukana nywele na wewe unacheka mm nakejeliwa na vi dudu hivi wewe unapita una like?? Unanijua mimi wewe???

Unajitambua kweli wewe?? chukua hatua kijana na ujitambue nafasi yako kuliko kushiriki kwenye rubbish kama hizi ni bora ungejiingiza katika mijadara mizito yenye nia ya kuleta tija.

you are an insult in gentlemens club!! Empty set kabisa
Tuliza kinyelo jombaa we mwenyewe uko hapa unapitia comets zote si ulale unahangaika nini
 
Idiot kabisa..mimi nina muda wa kufuatilia upuuzi??

Akili nukta kabisa..aina yako hii ni wale waliolelewa na dada zao..

ngoja nikuache na shoga zako wakusuke nywele..rubbish
 
Unatumia uchi wa moti au wa baridi?
 
Back
Top Bottom