Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

.hapo kwa mwanaume wa dar kwa moyo mmoja nampendeke.za beira boy aisee .....
 
Point of Correction: Sio kwamba wanaume wa mikoani wanasifika kwa nguvu bali wanaume wa mikoani wanatumia nguvu badala ya akili!

In short; bado "medulla oblongata" zao zina network ya analojia...
Asante hii ndio organ fulani inahusika na matendo yasio ya hiyari......"Naomba wa mikoani waje tulizungumze"....
 
Hebu acha kututukania waume zetu ala!!!
Ah! Basi sawa! Afu nackia na wenyewe wanata ku-bet! Acheni habari zenu bhana; nanyi mtake ku-bet halafu matikiti maji tutapata wapi?
 
Acha maneno sasa nchi imeshikwa na wanaume wa mikoani tu
Ndo maana kati ya Trilioni 400; Mzungu katoa billion 650 mkaanza kuchinja mbuzi wa sherehe kumbe mmepigwa za mbavu!

Screenshot_2018-01-15-01-23-07.png

Halafu Dinazarde nakuona kwa chini hapo unasubiria zamu yako na wewe upande kwenye "flyover"!
 
Sasa mbona unalia
Mtu bongo inachaji kidijitali; nilie kwanini! Wanaume wa mkoani ndo mnalia manake mkiona wingu; mnaanza "dah; yaani si ndo tuwalimie wakati jamaa wanashinda kucheza pool!"

Kudadadeki; kulima hatulimi; pool table na ku-bet kama Kawa! Ukituona kama mabrazameni flan hivi; chokoza uone timbwili lake!
 
Back
Top Bottom