kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Nitafanya mpango...[emoji12] [emoji12]Juzi.
Btw happy birthday...
Better late than never
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafanya mpango...[emoji12] [emoji12]Juzi.
Wewe mimi wa Mkoani brother..nitake radhiWanaume wa dar muongeze joseverest
Ohooo fain tena ɓasi jmos ntakuwa free tutaenɗaHukunistua una faini kubwaa
[emoji23] [emoji23]Umependaaa
Kaka heri ya mwaka mpya.Usimtenge mwenzio bhana
wamkoani nimekuja japo nimechelewaKaa kimyaa raia watachagua
Taja wengine wa mikoani nijaze nafasi
Mtemi Deo Nalimi Kisandu itapendeza sanaSawaa karibu pendekezaaa nani anafaa
Usijali njoo ƙwenƴe pm kwanzaSawaa karibu pendekezaaa nani anafaa
Wapi mbn hujanitagKu a sehemu nimekusoma hutaki nikuambie kuwa nakupe da
Asante hii ndio organ fulani inahusika na matendo yasio ya hiyari......"Naomba wa mikoani waje tulizungumze"....Point of Correction: Sio kwamba wanaume wa mikoani wanasifika kwa nguvu bali wanaume wa mikoani wanatumia nguvu badala ya akili!
In short; bado "medulla oblongata" zao zina network ya analojia...
Ah! Basi sawa! Afu nackia na wenyewe wanata ku-bet! Acheni habari zenu bhana; nanyi mtake ku-bet halafu matikiti maji tutapata wapi?Hebu acha kututukania waume zetu ala!!!
Ndo maana kati ya Trilioni 400; Mzungu katoa billion 650 mkaanza kuchinja mbuzi wa sherehe kumbe mmepigwa za mbavu!Acha maneno sasa nchi imeshikwa na wanaume wa mikoani tu
Mtu bongo inachaji kidijitali; nilie kwanini! Wanaume wa mkoani ndo mnalia manake mkiona wingu; mnaanza "dah; yaani si ndo tuwalimie wakati jamaa wanashinda kucheza pool!"Sasa mbona unalia