Wanaume waoga kumtetea Lissu ila wanawake wanaweza

Wanaume waoga kumtetea Lissu ila wanawake wanaweza

Masweeter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
235
Reaction score
669
Wanaume mtu anafikishwaje mahakamani mnasimama Kupiga picha tu na kusokota nywele?

Lissu wanawake wana uwezo wa kuzuia kila kitu na akaachiwa
 
Wanaume mtu anafikishwaje mahakamani mnasimama Kupiga picha tu na kusokota nywele?

Lissu wanawake wana uwezo wa kuzuia kila kitu na akaachiwa
Wanaume waoga ni wale wanaobeba mabunduki makubwa makubwa kumlinda mtu ambaye hawezi kukimbia hata akiambiwa aende nyumbani halafu awe anakuja mwenyewe mahakamani.
 
Back
Top Bottom