Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

.
Kelsea Ukikutana na mwanaume ukamuelewa kweli...hata ujifiche vp, body language yako itakusaliti.
.
You can't hide everything, you will behave in a certain way unconsciously...its just that guys aren't that attentive to notice those little gestures.
Acha mbwembwe, karibu madafu.
 
Msichojua ndo hicho sasa
Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane
Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia mihangaiko yangu ajui kituo cha gari anakoenda ila sijajua kama kweli alikua hapajui aendapo.akaniuliza nikampeleka
Jamaa wa Arusha huyo mgeni kifupi niliona alinielewa nikawa namkatisha katisha maneno yake wakati nampwleka kumuonesha akapenda gari asichojua mimi pia nimemuelewa
So nimemuonesha akabaki kasimama ananiangalia mimi huyo nimetokomea
“Ushawahi kutana na mwanaume ukamuelewa kama ni mjamzito unatamani kuificha mimba?” Basi ndo leo
Ila mimi sio mjamzito ila ninajua kujizuia na kutetea kiapo changi cha NDOA
Hata kama utatamani nje ila unatakiwa ukumbuke ahadi uliyoitoa madhabauni na kwa mwenzako bado ndoa itakua salama
Dah wakaka wa Arusha i mis home already
Nana kama unajutia kupoteza bahati uliyopata
 
.
Kelsea Ukikutana na mwanaume ukamuelewa kweli...hata ujifiche vp, body language yako itakusaliti.
.
You can't hide everything, you will behave in a certain way unconsciously...its just that guys aren't that attentive to notice those little gestures.

Nakubali ila si kumtamkia kwamba nimemuelewa. Bora ajue mwenyewe bila kuambiwa.
 
Kutoka 20:17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Ni usimtamani mke wa jirani yako na si mume wa jirani yako....
 
Back
Top Bottom