hamza mahundu
Member
- Dec 20, 2018
- 58
- 116
Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile.
Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri.
Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona mwanaume unaishi peke yako tu bila mwenza.