Wanaume wasiishi bila mweza, inapunguza unyanyasaji wa kingono kwa watoto

hamza mahundu

Member
Joined
Dec 20, 2018
Posts
58
Reaction score
116
Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile.

Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri.

Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona mwanaume unaishi peke yako tu bila mwenza.
 
Waambie hao vijana wa hovyo wa kataa ndoa na wapiga nyeto.... ndio wanaongoza kuharibu watoto
 

Viongozi wa dini, walimu nk kwenye hili jambo hujawasikia kuwa vinara?
 
Tuweke CCTV camera kila kaya kisha tuone nani mbwa wenye hizo tabia chafu
 
Hili halina ukwel wenye ndoa wengi ndio wenye hizo tabia kwa sababu ya kunyimwa unyumba chunguza.
Nakazia
imagine unalala na mwanamke na unaupwir na anakukazia kukupa show
Unaamka sumu imejaa kichwani na hamna pa kuitolea nini kinafuata
 
Nakazia
imagine unalala na mwanamke na unaupwir na anakukazia kukupa show
Anaamka sumu imejaa kichwani na hamna pa kuitolea nini kinafuata
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…