Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

😀😀
Saikolojia ndio iko hivyo Mkuu.

Alafu IQ kubwa EQ ndogo
EQ kubwa IQ ndogo.

EQ = Emotional quotient
IQ = Intelligent quotient
Hilo nakubali kwa sababu mtu mwenye iq kubwa huwa na uwezo wa kuepuka visababishi vya matatizo , pia anaweza kuchagua uaminifu kama njia ya kujiepusha na changamoto fulani🤔
 
Hilo nakubali kwa sababu mtu mwenye iq kubwa huwa na uwezo wa kuepuka visababishi vya matatizo , pia anaweza kuchagua uaminifu kama njia ya kujiepusha na changamoto fulani🤔

Kichwa cha chini ni jumba la Hisia
Wakati kichwa cha juu ni jumba la AKILI.
Hivyo Majibu tunayokuwa ikiwa jumba la Hisia likiwa na nguvu automatic jumba la AKILI litakuwa dhaifu.
 
Apa tunabishana na mfagizi wa ofisi kuhusu hii mada ameishia kusema ata uwachukue maprofesa/ wanasheria ama wahandisi uwakusanye sehemu moja utakuta kuna wenye IQ ndogo sanaa ....ukilinganisha na mambo wafanyayo
 
Back
Top Bottom