Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

Eti unasema wanaume wasiowaaminifu wana IQ ndogo? Ina maana walishindwa hata hesabu rahisi ya Mke 1 + uaminifu = amani


Wakaamua kufanya hesabu ngumu ya Mke 1 + mpango wa kando - amani ÷ ugomvi x stress!


Hapo kweli akili ni "0" kabisa.

😂
Hivi mke mmoja + nyeto sio uaminifu?
 
Utafiti wa Profesa Satoshi Kanazawa anayetambulika kama muasisi wa nadharia hii uko hapa:


Kimsingi hii ni nadharia (theory) tu na premise yake ya msingi, mbali na mambo mengine, imejikita katika Evolution. Kwamba tangu mwanzo instinct ya mwanaume ilikuwa ni kufanya ngono na wanawake wengi kwa kadri inavyowezekana ili kupata watoto wengi zaidi na hivyo kujihakikishia kwamba DNA yake itaendelea kuwepo hata baada ya yeye kuondoka. Na kwa vile sasa mambo yameshabadilika, mwanaume anayeendelea kuongozwa na instincts zile zile za ku-cheat ni wazi kuwa hajabadilika sawasawa (evolutionary) na hivyo pengine ana low IQ.

Nadharia hii haizingatii sababu zingine za nje kama amali za kijamii husika, nafsi na utashi wa wahusika; na hata nguvu za kiuchumi kwa wahusika. Na tafiti zingine zimetoa majibu yanayopingana.
 
Uaminifu katika nini mkuu?
Kama ni katika ngono hamna kipimo sahihi kinachoonganisha Iq na uume unaotumiwa na wengi dhidi ya ule usio na matumizi.
 
Sasa 2anakuwaje wana iq ndogo wakati wanasasambua mbususu nyingi? Kuwafanya wanawake wakuvulie chupi lazima uwe na akili mingi mzeya
 
Mke mmoja + punyeto? Mmmh!!

Hii hesabu inakaa kama mchezaji wa akiba anayejipanga mwenyewe uwanjani. Sasa sijui referee (mke) atakubali au ataonyesha kadi nyekundu!

Hii hesabu ni ile mitihani tuliyokua tunajisahishia wenyewe! 😂
Hakuna mtihani mzuri kama wakujisahishia mwenyewe ,unachagua tu ujipe alama ngap na umalize kwa mda gani ,hata kama ni dakika mbili tu unamaliza mtihani bila malalamiko wala maswali .
 
Hakuna mtihani mzuri kama wakujisahishia mwenyewe ,unachagua tu ujipe alama ngap na umalize kwa mda gani ,hata kama ni dakika mbili tu unamaliza mtihani bila malalamiko wala maswali .
Kweli kabisa! Huo ni mtihani wa utulivu—hakuna stress, hakuna maswali, na mtu unafaulu hata bila kutoa jasho!
 
Tupe reference, ni utafiti gani wa mwaka gani?

Suala la kuwa mwaminifu ni Emotional, halihusiani na IQ.
Mkuu wote tunaweza kubali kuwa mtu mwenye iq kubwa anauwezo mkubwa wa kutatua changamoto, hauoni kuwa pia kuwa mwaminifu ni njia ya kutatua changamoto fulani ?🤔
 
Kwema Wakuu!

Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.

Hayo sio maoni bali ni fact.
Sidhani kama uko sawa kwenye hili maana mtu anaweza kuwa na wanawake 10 wote kawapanga na kila mmoja ana muda wake then mtu huyo awe na IQ ndogo! Au unasemaje ndugu yangu Zero IQ
 
Back
Top Bottom