Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

Hauelewi psychology kabisa, mbona Lumumba alikua muadilifu ila alikua anapenda malaya wa kizungu!! Tena kama hujui introverts na magenius wengi ndio wanapenda wanawake maana ndio kama strategy ya kuepuka Upweke.

Huyo hakuwa muadilifu vinginevyo hujui maana ya uadilifu.

Au ili kuweka Sawa tuweke uadilifu au uaminifu katika viwango. Kiwango cha juu, Kati na chini.

Waadilifu nafikiri hujawajua
 
Kwema Wakuu!

Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.

Hayo sio maoni bali ni fact.
kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe kwa sababu zifuatazo:-
  • mwanaume pamoja ameubwa kuwa na vichwa viwili lakini hawezi kutumia vyote kwa usahihi kwa pamoja. kwa kuwa ameubwa kufanya vizuri jambo moja vizuri kwa wakati mmoja. mfano mwanaume simu ikiita lazima asimame kwanza aipokee kisha ndo aendelee kutembea au kufanya hilo analofanya na katia ya simu na anchofanya kimoja anaweza asikifanye kwa uaminifu. tofauti na wanawake.
  • lakni mithali 6:32 inasema anayezini na mwanamke huyu hana akili kabisa hivyo kadri unavyopenda wanawake uwezo wako unapungua.
  • katika jambo ambalo halihitaji akilia kubwa ni kutongoza wanawake sasa ukiwekeza sana huku utakuwa unawaza vitu rahisi wakati wote hufikirishi ubongo kuwaza mambo makubwa na huna muda wa kukaa na wanaume wenzako wakakupa majibu mapya ya changamoto mpya muda wako mwingi unafikiria jinsi gani utaweka kisu chako katika ala.
  • muda wote unafikiria mission huna vision kwa kadri ulivyoubwa unawaza kike zaidi na wakati mwingine unaweza kujikuta unakuwa na tabia za kike ikiwemo kutokuwa mvumilivu kwa tukio fulani (huna kaba) na pia jamii haiwezi kukuamini.
 
Mkuu umefafanua vizuri Sana.

WENGI wetu IQ zetu ni kawaida au below.
 
uaminifu unaanza na wewe mwenyewe sio mahusiano tu lakini ukiwa unaendekeza tamaa .ulaji wa ovyo.hasira ni kazi za mwili hakuna mtu anayeendekeza mwili awe na iq kubwa no ..wote tukiishi kiroho lazima tutakuwa na iq kubwa
 
Screenshot_2024-12-19-16-37-03-293_com.android.chrome.jpg
 
Kwema Wakuu!

Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.

Hayo sio maoni bali ni fact.
Andiko lako halijitoshelezi, why and how? Rearch imefanyika wapi na wataalamu wapi na methods gani zimetumika? Publication iko wapi?

Although i dont support cheating or vitendo vingine kama hivyo.
IQ haina relation with cheating or no cheating, cheating ni behaviour inayokuwa influenced by enviroments and social.

Nimesoma na some of the best kunizidi, i mean chuo walikuwa wanakimbiza sana. But ni bad boys full time, ila kwenye kazi na career zao wako vizuri sana
 
Unaweza kuonyesha hilo ni wapi mleta mada ametaja hayo uliyoyasema wewe?

Ni kweli ametaja Gender wanaume ila hajaweka specific kua ni uaminifu upi hasa anaouongelea,

Ndio maana kuna comments zingine,zinauliza kua mleta mada anaongelea uaminifu kwenye nini?
 
Tafiti zinaonyesha wanaume wanaotoka na wanawake hovyohovyo ndio wenye matatizo ya nguvu za kiume.

Hizo ni tafiti.
Unaweza uliza hata wanawake hapa watakueleza
Hili ni kweli hivi uko na mke mmoja na kila siku unaiona hiyo hiyo na bado bwana mkubwA anasisima na kupiga kazi zake,hawA wenye michepsi wengi hawezi kusimamisha kwa mke aliyemzoeA muda mrefu .
 
Back
Top Bottom