Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

Tupe reference, ni utafiti gani wa mwaka gani?

Suala la kuwa mwaminifu ni Emotional, halihusiani na IQ.
 
Naona wachangiaji wengi wamelenga kujadili kwenye uaminifu wa uchepukaji tu/ngono,

Kuna uaminifu wa aina nyingi,
Mfano;

Kutimiza majukumu yako ipasavyo bila kusimamiwa na mtu,kutokuiba,kua ontime unapokua na miadi na mtu,kuongoza kwa haki bila kumuonea mtu au kumpendelea mtu yeyote,na mengineyo,

So,mtu mwenye IQ kubwa hawezi kufanya hayo coz atakua anatoka kwenye misingi yake ya maisha.
 
ziweke hapa

case studies sio ushahidi, ni kuokota visa tu
 
Naona wachangiaji wengi wamelenga kujadili kwenye uaminifu wa uchepukaji tu/ngono,

Kuna uaminifu wa aina nyingi,
Mfano;

Kutimiza majukumu yako ipasavyo bila kusimamiwa na mtu,kutokuiba,kua ontime unapokua na miadi na mtu,kuongoza kwa haki bila kumuonea mtu au kumpendelea mtu yeyote,na mengineyo,

So,mtu mwenye IQ kubwa hawezi kufanya hayo coz atakua anatoka kwenye misingi yake ya maisha.
Siyo kweli. Utafiti unaojadiliwa kwenye hii mada umejikita kwenye suala la mahusiano/ngono tu; na siyo huko unakotaka kuelekea.
 
Hawezi au hufanya hayo ili kuwa kwenye misingi yake?
 
Siyo kweli. Utafiti unaojadiliwa kwenye hii mada umejikita kwenye suala la mahusiano/ngono tu; na siyo huko unakotaka kuelekea.
Unaweza kuonyesha hilo ni wapi mleta mada ametaja hayo uliyoyasema wewe?

Ni kweli ametaja Gender wanaume ila hajaweka specific kua ni uaminifu upi hasa anaouongelea,

Ndio maana kuna comments zingine,zinauliza kua mleta mada anaongelea uaminifu kwenye nini?
 
Lakini wanaume waaminifu ni watumwa wa ndoa na hivyo kuishi pasipo furaha ukilinganisha na wenye michepuko pamoja na wake wengi.Swali kwa mleta mada:IQ ubwa inayokufanya uishi pasipo furaha kisa akili yako wataka kuifananisha na ya mwanamke ina faida gani kwako?

Kuwa na IQ kubwa sio kuvumilia mateso ya uaminifu bali ni kuchagua na kutumia Njia sahihi y kutatua matatizo yanayokuzunguka ikiwepo ndoa
 
Spiritually, Mwanaume wasio Mwaminifu kwenye Ndoa zao Ndio walitumiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Yamkini IQ ya Wanaume wenye michepuko ni Kubwa Mno kuliko wale Wenye Mke 1.

Hakuna mwanaume hata Mmoja asiyemwaminifu ambaye Mungu alimtumia.
Unaweza ukataja hao wanaume wasiowaaminifu waliotumiwa na Mungu
 
Mtu Mwaminifu lazima awe na sifa za

Ukweli
Kutimiza ahadi
Na kujitolea .

Ebu tumlete mtu mwenye iq kubwa ambae sio mkweli , hatimizi ahadi wala hajitolei kwa lolote 🤔
 
Back
Top Bottom