Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Uaminifu kiujumla au kwenye jambo fulani ,mfano ndoa?
Binafsi Nina IQ ndogo mno
Kumbuka tuna vichwa viwili mkuu.Kiujumla.
Sasa mtu sio mwaminifu kwa mkewe atakuwa mwaminifu kwa mtu back?
DahBinafsi Nina IQ ndogo mno
Kumbuka tuna vichwa viwili mkuu.
Sasa bro unaleta dai lako hapa bila kulithibitisha linakuwaje 'fact'?
Thibitisha
Kwahyo ulisema shemeji alikuuliza mpaka umri huo hauna gari....?
ongezea nyama kidogo
Hilo nakubali kwa sababu mtu mwenye iq kubwa huwa na uwezo wa kuepuka visababishi vya matatizo , pia anaweza kuchagua uaminifu kama njia ya kujiepusha na changamoto fulani🤔😀😀
Saikolojia ndio iko hivyo Mkuu.
Alafu IQ kubwa EQ ndogo
EQ kubwa IQ ndogo.
EQ = Emotional quotient
IQ = Intelligent quotient
Iq ipo kichwa cha juu ,cha chini pia kina iq yake mtani.Kwa maana hiyo asilimia kubwa ya wanaume wana IQ ndogo, hasty generalisation!
Hilo nakubali kwa sababu mtu mwenye iq kubwa huwa na uwezo wa kuepuka visababishi vya matatizo , pia anaweza kuchagua uaminifu kama njia ya kujiepusha na changamoto fulani🤔
Kwa maana hiyo asilimia kubwa ya wanaume wana IQ ndogo, hasty generalisation!