Wanaume watatu wamtuhumu Diddy kuwabaka.

Wanaume watatu wamtuhumu Diddy kuwabaka.

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
Wanaume watatu zaidi wamemshutumu Sean "Diddy" Combs kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono katika kundi la kesi mpya zinazodai mwanamuziki huyo wa rap aliwapatia dawa za kulevya na kuwanyanyasa.

Malalamiko hayo, yaliyowasilishwa kando katika Mahakama Kuu ya New York siku ya Alhamisi, yanahusisha matukio ambayo yanadaiwa kutokea kati ya mwaka 2019 hadi 2022.

Wanaume wawili kati yao wanadai kuwa walienda kwenye tafrija na Bw. Combs, ambapo "binafsi aliwapa" vinywaji vya pombe vilivyowafanya kupoteza fahamu, kabla ya kuwabaka.

Mawakili wa rapa huyo walitupilia mbali kesi hizo na kuzitaja kuwa "zimejaa uongo". Diddy anaendelea kuzuiliwa katika jela ya Brooklyn.

1734080231546.jpg
 
Ila Wa$£nge bwana,mwanaume mzima unathubutuje kusimama mbele ya hadhira ya watu kusema “fulani alinibaka”

Viumbe wa ajabu kupata kutokea.
 
Wewe ukilawitiwa inakuwa siri yako!!!?
Safi sana una roho ya mafanikio, Wewe masharti unayaweza
Kwanini mwanaume ulawitiwe?

Niambie hapa ukiishi kimaadili huli vya watu hugongi wake za watu ni kitu gani kitakufanya uliwe taco?hao waliopatwa na madhila haya it's obviously wana tamaa ilibidi wakaushe siyo kutangaza hadharani.
 
Kwanini mwanaume ulawitiwe?

Niambie hapa ukiishi kimaadili huli vya watu hugongi wake za watu ni kitu gani kitakufanya uliwe taco?hao waliopatwa na madhila haya it's obviously wana tamaa ilibidi wakaushe siyo kutangaza hadharani.
Si wanataka vilaini mterezo
Diddy tutoeee tutokeee
Diddy akawazibua marinda

Ova
 
Back
Top Bottom