Wanaume, watoto wako hawawezi kukugeuka ikiwa ulishiriki malezi Yao tangu mwanzo

Watu hubadilika na mapenzi huisha..... nyakati zinabadilisha watu na mitazamo yao........

Wewe kama Baba timiza wajibu kwa kuwa wewe ndio umewaleta duniani....lakini usitazamie makubwa kutoka kwao........

Wakati unaandaa maisha ya watoto wako pia anaandaa na ya kwako......
 
Wengine hata huyo dingi hatujui kama kafa au yuko hai.

Nadhan mfumo wa maisha hasa mjini baba harakati nyingi, kutoka kumi na mbili kurudi night kali madogo washalala, wanaishia tu kujua ni baba ila time nao hana.
Ni mbaya sana sana hii kitu, baba unakua upo kama haupo vile.
Kweli ni mbaya mno, ni bora kutenga mda japo ata kwa siku moja kukaa na watoto wafurahie uwepo wako.
 
Duh! Stori za humu zinanitisha.

Mimi baba yangu alitujali sana. Anatupeleka shule na gari yake na kisha anapitia kazini kwake.

Muda wa kurudi nyumbani dereva wake anatufuata au tunarudi wenyewe. Wakati wa kula familia tunakula pamoja mezani na mzee alikuwa na tabia kama mboga (nyama) mama alikuwa anamwekea za kwake maalumu. Baba yetu alikuwa anatoa za kwake na kutugawia tena sisi watoto. Mama utamuona anamwambia sasa wewe utakula nini? baba anamwambia; waache bhana watoto hawa.

Siku ya jumamosi na jumapili muda wa jioni anakaa na watoto wake ana kaa karibia na eneo la parking kuna mahali pa kupumzika tunakaa tunapiga naye stori.

Muda wa mpira tunaangalia naye wote. Nilikuwa namtania nacheka kama yeye anavyocheka ataniangalia basi mama atacheka mpaka bhasi!

Kwenye mipango yake ya biashara alitushirikisha. Kwa ufupi alitujali sana! Yeye na mama walitujali sana na tulipokesea waliturekebisha.

Kwa sasa nina umri wa miaka 31. Baba yangu ameshatangulia mbele ya haki. Kila siku kila baada ya swala huwa namuombea kwa Mungu. Na kila baada ya wiki moja au mbili huwa nafanya dua maalumu ya kumuombea.

Nawapenda wazazi wangu wote wawili. Na huwa sipendi kabisa kusikia mama yangu ana tabu. Akiwa na changamoto yoyote chapu kwa haraka naishughulikia.
Hongera sana mkuu,hakika mzee wako alikuwa poa sana.

Binafsi nataka nitengeneze kizazi kitakachonikumbuka mimi kama muasisi wa malezi bora kwa watoto nikiwa kama baba.

Kuna kizazi kinachokuja baada yangu yaani kuanzia watoto wangu nitahakikish wananikumbuka kama anavyokumbukwa mwalimu nyerere.

Nataka watoto wa wajukuu wa wajukuu zangu waambiwe kwamba alikuwako mwana ukoo wetu aliitwa safuher huyo alikuwa ni baba bora sana.

Ikiwezekana nitawaachia hata vitabu ambavyo nimeviandika mwenyewe ili viwasaidie katika maisha yao ya kila siku.

Kwa sasa najitahidi kuwa baba bora kwa wanangu ambao impact ya malezi yangu kwa muda wa miaka mi3 tokea kuzaliwa kwao naiyona.
 
Kweli ni mbaya mno, ni bora kutenga mda japo ata kwa siku moja kukaa na watoto wafurahie uwepo wako.
Hasa satoto wa kiume lazima wa absorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba zao.

Mtoto wa kiume anapoabsorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba maana yake mtoto huyo anakuwa ni sehemu ya baba.

Hivyo mtoto huyo hatowezi kuisaliti sehemu ya yeye kitabia.

Ila shida wazazi wengi sasa hivi hawafanyi hayo,wako bize mpaka watoto wanakosa muda wa kuabsorb tabia na mafunzo ya kivitendo kutoka kwa wazazi.

Mimi mwanangu akiongea huwa anaongea kama mimi hata body language yake,anavyochezesha mikono ni mimi mtupu na ana miaka isiyozidi mi4 tu,lakini ameshaabsorb baadhi ya tabia zangu.

Na hiyo ni kwa sababu I spend a lot of time with him,na ananikubali kama baba yake,namlea kiume kwa namna ambayo simuumizi kihisia ama kimwili.
 
Duh! Stori za humu zinanitisha.

Mimi baba yangu alitujali sana. Anatupeleka shule na gari yake na kisha anapitia kazini kwake.

Muda wa kurudi nyumbani dereva wake anatufuata au tunarudi wenyewe. Wakati wa kula familia tunakula pamoja mezani na mzee alikuwa na tabia kama mboga (nyama) mama alikuwa anamwekea za kwake maalumu. Baba yetu alikuwa anatoa za kwake na kutugawia tena sisi watoto. Mama utamuona anamwambia sasa wewe utakula nini? baba anamwambia; waache bhana watoto hawa.

Siku ya jumamosi na jumapili muda wa jioni anakaa na watoto wake ana kaa karibia na eneo la parking kuna mahali pa kupumzika tunakaa tunapiga naye stori.

Muda wa mpira tunaangalia naye wote. Nilikuwa namtania nacheka kama yeye anavyocheka ataniangalia basi mama atacheka mpaka bhasi!

Kwenye mipango yake ya biashara alitushirikisha. Kwa ufupi alitujali sana! Yeye na mama walitujali sana na tulipokesea waliturekebisha.

Kwa sasa nina umri wa miaka 31. Baba yangu ameshatangulia mbele ya haki. Kila siku kila baada ya swala huwa namuombea kwa Mungu. Na kila baada ya wiki moja au mbili huwa nafanya dua maalumu ya kumuombea.

Nawapenda wazazi wangu wote wawili. Na huwa sipendi kabisa kusikia mama yangu ana tabu. Akiwa na changamoto yoyote chapu kwa haraka naishughulikia.
Kiukweli ni Raha kuwa na baba anaejali
Kuna wachache wenye bahat km hizo
Kiukweli mm pia nampenda Sana na huw

Kiukweli ni kumbukumbu nzuri sana
Umenikumbusha nilikuwa napenda nyama balaa 😀😀mzee alikuwa anapenda supu ya kongoro

akaona isiwe tabu akawa anachagua weekend moja moja anakuja na nyama nying na makongoro mabichi alafu tunakaa jikoni na mm ndo mamboyngu😀😀 anasema tafuna had meno yakuume wakat huo namsaidia kuandaa supu yake tutachoma tutachemsha supu Yani hekaheka zote had ikifika jioni hoi 😀😀😀

Nilikuwaga na pensilangu la kazi nikilivaa ujue ni mambo ya nyama 😃😃
 
Hasa satoto wa kiume lazima wa absorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba zao.

Mtoto wa kiume anapoabsorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba maana yake mtoto huyo anakuwa ni sehemu ya baba.

Hivyo mtoto huyo hatowezi kuisaliti sehemu ya yeye kitabia.

Ila shida wazazi wengi sasa hivi hawafanyi hayo,wako bize mpaka watoto wanakosa muda wa kuabsorb tabia na mafunzo ya kivitendo kutoka kwa wazazi.

Mimi mwanangu akiongea huwa anaongea kama mimi hata body language yake,anavyochezesha mikono ni mimi mtupu na ana miaka isiyozidi mi4 tu,lakini ameshaabsorb baadhi ya tabia zangu.

Na hiyo ni kwa sababu I spend a lot of time with him,na ananikubali kama baba yake,namlea kiume kwa namna ambayo simuumizi kihisia ama kimwili.
Exactly
 
Jambo zuri sana hilo 👏Wewe ni mfano wa baba bora.
 
bond niliyonayo na mwanangu hata mama yake huwa anaona wivu maana dogo ananikubali sana cha ajabu ni wa kiume lakini ana bond kali sana na mimi kuliko mama yake.

Ila upande wa mzee wangu kiukweli tulikuwa mbali mbali, alijali sana kazi kuliko familia yake hii kitu iliniumiza sana hata kipindi nakuwa mtu mzima unashindwa uanzie wapi kuweka bond na mzee.
 
Unataka kusema atanimind,,,nadhan inategemea na malezi ya mama yao,lakini mama yao yupo smart sana na anajali makuzi ya wanae,,,wamama wabaya ni wale ambao wanapandikiza chuki kwamba baba yenu mbaya na mambo kama hayo
Hiyo sawa! Naamini mlipoachana hakuwa na kinyongo. Angekuwa na kinyongo, au bado anakupenda, hata uzikili uchi, atahakikisha hamwelewani na mtoto wa kiume. Na ukute ni mmoja ru kama wangu na kila siku anadai alitaka watoto wawili lakini si baba tofauti.
 
Kiukweli tumeachana kwa roho safi sana,,yaani wazazi ambao hatakurudiana tena inawezekana

Na nikiri kabisa yupo vizur sana kwenye malezi kuliko mimi
 
Wewe lea tu na kuwapa upendo kama jukumu lako la kuwaleta duniani. Unaweza kushangazwa sana huku mbeleni. Binadamu ni viumbe hawatabiriki.
 
Wanangu mmmh,juzi kati nilikuwa bush mwezi 1 kurudi kesi shemeji yangu wa kiume analeta kibesi kwa wanangu nimempiga biti ya hatari na nimemwambia hapa nimeoa Dada yako tu sijaoa ukoo na hata nikiwa mbali baba kwa familia hii ni Mimi tu ole wako nije nisikie mtoto wangu unamkolomea na dada mtu nimemwambia wakome nitawafukuza wote kwa siku 1,uzuri majembe yangu 4 yote ndume yanajitambua hayataki upuuzi
 
Mwanaume, whether umeshiriki malezi vizuri au hujashiriki, watoto watakugeuka tu. Timiza wajibu wako kama mzazi wa mtoto bila kutegemea chochote kutoka kwa watoto wako.

Watunze, wasomeshe, walishe, wavishe etc kwa kuwa ni watoto wako na wewe ndio umewaleta duniani lakini rest assured kwamba at the end of the day wataside na mama yao.

Jiandalie maisha yako ya uzeeni kwa kuhakikisha kwa kiasi, cash flow yako inaendelea ili usiwe tegemezi wa kiuchumi na yabakie mambo kama ya magonjwa ya uzeeni na kadhalika.​
 
Ukweli mchungu huu
 
Watu hubadilika na mapenzi huisha..... nyakati zinabadilisha watu na mitazamo yao........

Wewe kama Baba timiza wajibu kwa kuwa wewe ndio umewaleta duniani....lakini usitazamie makubwa kutoka kwao........

Wakati unaandaa maisha ya watoto wako pia anaandaa na ya kwako......
Huo ndio ukweli. Usiweke mayarajio makubwa kwa binadamu, hawatabiriki. Tumeona watu wanatelekezwa na watoto wao sio kwamba hawakuwalea vizuri la, wanakengeuka tu ukubwani.
 
Back
Top Bottom