Wanaume, watoto wako hawawezi kukugeuka ikiwa ulishiriki malezi Yao tangu mwanzo

Wanaume, watoto wako hawawezi kukugeuka ikiwa ulishiriki malezi Yao tangu mwanzo

Sina haja ya kucheki DNA kitanda hakizai haramu, kupiwa hakukwepeki, tulio enda jando wazee wetu walitufundisha ukirudi nyumbani toa taarifa...!

Hivyo ukilielewa Hilo somo utagundua kuwa mambo ya kuchapiana yalikuwepo tokea dhama za kale ila wenzetu walichapiana kwa kuheshimiana...!​
Sawa sawa mkuu. Inaonekana wewe hauna uchoyo kabisa, embu tupia namba ya shemeji uko pm basi nimsalimie.
 
Last weekend tar 6 jumamos, tulikua tunapiga stori za hapa na pale na madogo, nikaanza kuwasimulia namna ambavyo sisi tukiwa katika umrinkama wao zaman tulilelewa vipi.

Nikawa nawaambia namna tulivyokua tuna develop skills katika michezo yetu ya utotoni tofaut na wao.

Nikawaambia zaman sis wengi hatukua na uwezo wa kununuliwa toys za magari hivyo watoto wa kiume tulikua tuna uwezo wa kutengeneza magari yetu wenyewe kwa kutumia malighaf zinazotuzunguka na tunayaendesha kwa kuyakokota for kilometers.
Magari ya mbao
Magari ya waya
Magari ya bati/makopo.

Nikawafundisha kwa kuwaonyesha namna tulikua tunafanya kwa vitendo siwezi kuweka clip hapa but nikakusanya makopo yoote matupu ya maziwa for demonstration...

Dogo akasema "tengeneza Kirikuu kama hayo unayosema ni ya kweli" 😂

View attachment 3038574View attachment 3038575

Wakawa very inspired.
Ooh imekaa poa sana hii
Nafikiri uliona surazao na namna walivokuwa na furaha sio kitu kikubwa Wala hakikuhitaji pesa lakini walifurahia
Izo kumbukumbu Huwa hazifutiki maisha yote km mm Nimempoteza baba miak 15 imepita sijawah kusahau matukio yote tangu nikiwa na mdogo
 
Pia wamama waache kuwapa sumu au maneno mabaya watoto kuhusu baba zao, hii pia huchangia watoto kuwachukia au kuwatenga Baba zao waliopo mbali nao.
 
Iyo ni ngumu kweli aisee
Kunawakat wamama wanapandikiza chuki Kwa watoto au kuwafanya kitega uchumi kupata wanachotak hapa ni kusimsma tu

Ongea na mwanao mara Kwa mara Mpe anachotaka bila kupitia nyuma ya mtu
Msaidie kiakili pia kumpa nasahau mara Kwa mara ajijue yeye ni nani na aweze kujisimamia
Mtoto wa 22 years si rahisi kumbadilisha ingawa mtu umemsomesha Feza. Jambo la msingi ni kujidhatiti na maisha ili mfuko usiteteleke hata kukosa pesa ya kuchimba kaburi lako. Kikubwa akihitaji msaada unampa bila ubaguzi.

Kosa letu ni moja tu, usimwache mwanamke bali yeye akuache. Akikuacha hapo utaishi raha mstarehe ila asione umeadvance. Ukimwacha akiwa bado anakupenda. Shida hata kaburi lako analitandika fimbo.
 
Pia wamama waache kuwapa sumu au maneno mabaya watoto kuhusu baba zao, hii pia huchangia watoto kuwachukia au kuwatenga Baba zao waliopo mbali nao.
Exactly ndio hata hiyo clip wamezungumzia sumu zinakuja ukiwa unapmbna sana lkn huonyeshi kuwa upo
Ukiwepo bas uwepo wakuone wanao,
unaweza toa buku mama akaenda kumpa miatano alafu akasema nimetoa hii mwanangu katumie kumbe Haina uhalisia 😀😀
 
Haina formula hii ushiriki usishiriki ni bahati tu.
Muhimu ni ujipange ujitegemee uzeeni
Kabisa japo unaweza ukawa na Mali nyingi uzeeni ukakosa wa kukushika Kwa upendo kukutoa kuota jua
Lkn sio wote tutafika uzee Kuna tu zile Dua
Baba ulale pema peponi malaika wakuzunguke inatosha pia
 
Exactly ndio hata hiyo clip wamezungumzia sumu zinakuja ukiwa unapmbna sana lkn huonyeshi kuwa upo
Ukiwepo bas uwepo wakuone wanao,
unaweza toa buku mama akaenda kumpa miatano alafu akasema nimetoa hii mwanangu katumie kumbe Haina uhalisia 😀😀
Sahihi kabisa, mtoto anaweza kudhani Baba yake hampendi kumbe Mama ndio sababu
 
Kwanza jitahidini kuwa karibu na watoto wenu wawaone mnashiriki kikamilifu kwenye ukuaji wao kuanzia kiimani na kiakili baba jitahid kuwa rafiki Kwa mtoto kwenye nyakati zote
Juzi tu hapo kuna binti kaolewa kalelewa na Baba wa kambo miaka 25 siku ya harusi anamtambua Baba yake kwa furaha na mikogo na kumsahau Baba yake wa kambo ambae amemlea miaka 25 yote, kwa hio tusiishi kwa kukariri
 
Juzi tu hapo kuna binti kaolewa kalelewa na Baba wa kambo miaka 25 siku ya harusi anamtambua Baba yake kwa furaha na mikogo na kumsahau Baba yake wa kambo ambae amemlea miaka 25 yote, kwa hio tusiishi kwa kukariri
Hapo director ni mama hakuna mwingine
 
Pia wamama wanakuwa na chuki ambazo chanzo ni hisia za kimapenzi kwa maana ya wivu, wanasahau watoto hawapaswi kuhusishwa na hisia za mama juu ya Baba yao.
Ipo chuki ya asili kati ya mwanamke dhidi ya mwanaume sababu ya nguvu ya Lilith inayowavaa wanawake wengi.
 
Sawa
Natumain mna afya njema
Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia code

Kiukweli mm ni miongoni mwa watu ambao huwezi kuniambia chochote kibaya kuhus babaangu nikakuelewa Kwa sabbu nimekuwa katika hali ambayo namuona akiwa anahangaika kwaajili ya yangu na familia yetu

Ngoja niwape mambo hapa machache

Kwanza jitahidini kuwa karibu na watoto wenu wawaone mnashiriki kikamilifu kwenye ukuaji wao kuanzia kiimani na kiakili baba jitahid kuwa rafiki Kwa mtoto kwenye nyakati zote

Watoto wakiwa wadogo hujifunza sana Kwa kuona kilakitu kutoka Kwa wazazi
Akikua akiwa hakuoni na uko hai ni mbaya hata kwenye ukuaji hawezi kuelewa hata kama ulipambana huko nyuma ya pazia onyesh upendo wa wazi nae ataishi hivo hivo ukubwani

Kuna kutofautiana Kwa wale ambao wako mbali na watoto acha kumtumia mama kufikisha ujumbe Kwa mwanao Kila mara labda kama ni mdogosana
hakikisha unawasliana na anakuwa uhuru kusema kinachomsumbua aone wewe ndio babayake halisi hata uwe umbali mara elf 5 inaongeza upendo Kwa mtoto

Shiriki matukio ya furaha na wanao tenga muda wa kuwa nao pamoja hata mara chache kuongea nao na kufurahi

KWANGU

Kila kitu kilikuwa wazi tunajua nani ni kichwa Cha familia,akosi chochote Cha kishiriki na watoto kama ana nafas atakuita hata mbrash viatu vyake
bond Ilikuwa Bora sana

Hakutaka kumtumia mama aseme chochote Zaid tulikuwa tunawasiliana moja kw moja hafanyi chochote Hadi neno litoke kwangu direct na atanipa majibu mwenyew pia

Hakuna anaweza kuniyumbisha kuhus kumpenda Wala siwez mkubaliana mtu akisema alikuwa mbaya hata mama siwez muelewa
Jitahid kuwa karibu na kishiriki malezi acheni kuona nyie sio wahusika kwenye kuwajenga watoto wenu

Nimeongezea na kavideo hapo chiniView attachment 3038392
 
Moja; usiongee neno haiwezekani...
Mbili: Kukugeuka ni nini ? Huenda kuna watu wanataka vitu zaidi sababu tu by proxy fulani ni baba yake.., kwahio kama alifanya wajibu wake hata kuhakikisha tu unapata chakula and roof over your head without extras kama una kitu between your ears inabidi ushukuru (mfano huwezi kusema mama yangu alikuwa mkali na hanipendi wakati angeweza kutoa mimba au kukutupa ukiwa mdogo na hakufanya hivyo)
Tatu: damu nzito kuliko maji binafsi hata kama mzazi alikuwa mkali na mtukutu lakini bado tampa nafasi ya mzazi haijalishi sababu hakunipa extras au angeweza kunipa extra na hakufanya hivyo...

Mwisho kabisa nakuacha na hii story ya jinsi mtoto alivyomzira baba yake sababu kwenye birthday yake alimpa zawadi ya bible na sio Ferrari (might be a made up story lakini ni plausible)

A young man was getting ready to graduate from college. For many months he had admired a beautiful sports car in a dealer’s showroom, and knowing that his father could well afford it, he told him that was all he wanted.

As Graduation Day approached the young man awaited signs that his father had purchased the car for him. Finally on the day he was to graduate his father called him into his private study, told him how proud he was to have such a fine son and how much he loved him. He then handed him a beautifully wrapped gift box.

Curious, but somewhat disappointed the young man opened the box and found a lovely leather bound Bible with his name embossed on it in gold. He was angry so he raised his voice to his father and said, “With all of your money you give me a Bible rather than the sports car I wanted.” He then stormed out of the house leaving the Bible behind.

Many years passed and the young man was very successful in the business he went in. He had a beautiful home and a wonderful family but realized when he thought about his father that he was very old. He then decided that perhaps he should go to see him because he had not seen him since that graduation day.

However, before he could make arrangements to go he received a phone call from a funeral home director telling him that his father had passed away and had willed all of his possessions to him. He was told that he needed to come home immediately and take care of things.

When the son arrived at his father’s house sadness and regret filled his heart. He began to search through his father’s important documents and saw the Bible his father had given him for graduation. The Bible looked new just as it was years ago when he was given it.

With tears in his eyes he opened the Bible and began to turn through the pages. His father had carefully underlined a verse which was Matthew 7:11 which reads, “And if ye being evil know how to give good gifts to your children how much more shall your Heavenly Father which is in Heaven give to those who ask Him.”

As the son read those words a car key dropped from the back of the Bible. It had a tag on it with the car dealer’s name, the same dealer who had the sports car that he wanted so badly for his college graduation. On the tag was the date of his graduation and the words written in large print “PAID IN FULL.”
 
Back
Top Bottom