KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kweli ni mbaya mno, ni bora kutenga mda japo ata kwa siku moja kukaa na watoto wafurahie uwepo wako.Wengine hata huyo dingi hatujui kama kafa au yuko hai.
Nadhan mfumo wa maisha hasa mjini baba harakati nyingi, kutoka kumi na mbili kurudi night kali madogo washalala, wanaishia tu kujua ni baba ila time nao hana.
Ni mbaya sana sana hii kitu, baba unakua upo kama haupo vile.
Hongera sana mkuu,hakika mzee wako alikuwa poa sana.Duh! Stori za humu zinanitisha.
Mimi baba yangu alitujali sana. Anatupeleka shule na gari yake na kisha anapitia kazini kwake.
Muda wa kurudi nyumbani dereva wake anatufuata au tunarudi wenyewe. Wakati wa kula familia tunakula pamoja mezani na mzee alikuwa na tabia kama mboga (nyama) mama alikuwa anamwekea za kwake maalumu. Baba yetu alikuwa anatoa za kwake na kutugawia tena sisi watoto. Mama utamuona anamwambia sasa wewe utakula nini? baba anamwambia; waache bhana watoto hawa.
Siku ya jumamosi na jumapili muda wa jioni anakaa na watoto wake ana kaa karibia na eneo la parking kuna mahali pa kupumzika tunakaa tunapiga naye stori.
Muda wa mpira tunaangalia naye wote. Nilikuwa namtania nacheka kama yeye anavyocheka ataniangalia basi mama atacheka mpaka bhasi!
Kwenye mipango yake ya biashara alitushirikisha. Kwa ufupi alitujali sana! Yeye na mama walitujali sana na tulipokesea waliturekebisha.
Kwa sasa nina umri wa miaka 31. Baba yangu ameshatangulia mbele ya haki. Kila siku kila baada ya swala huwa namuombea kwa Mungu. Na kila baada ya wiki moja au mbili huwa nafanya dua maalumu ya kumuombea.
Nawapenda wazazi wangu wote wawili. Na huwa sipendi kabisa kusikia mama yangu ana tabu. Akiwa na changamoto yoyote chapu kwa haraka naishughulikia.
Hasa satoto wa kiume lazima wa absorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba zao.Kweli ni mbaya mno, ni bora kutenga mda japo ata kwa siku moja kukaa na watoto wafurahie uwepo wako.
Kiukweli ni Raha kuwa na baba anaejaliDuh! Stori za humu zinanitisha.
Mimi baba yangu alitujali sana. Anatupeleka shule na gari yake na kisha anapitia kazini kwake.
Muda wa kurudi nyumbani dereva wake anatufuata au tunarudi wenyewe. Wakati wa kula familia tunakula pamoja mezani na mzee alikuwa na tabia kama mboga (nyama) mama alikuwa anamwekea za kwake maalumu. Baba yetu alikuwa anatoa za kwake na kutugawia tena sisi watoto. Mama utamuona anamwambia sasa wewe utakula nini? baba anamwambia; waache bhana watoto hawa.
Siku ya jumamosi na jumapili muda wa jioni anakaa na watoto wake ana kaa karibia na eneo la parking kuna mahali pa kupumzika tunakaa tunapiga naye stori.
Muda wa mpira tunaangalia naye wote. Nilikuwa namtania nacheka kama yeye anavyocheka ataniangalia basi mama atacheka mpaka bhasi!
Kwenye mipango yake ya biashara alitushirikisha. Kwa ufupi alitujali sana! Yeye na mama walitujali sana na tulipokesea waliturekebisha.
Kwa sasa nina umri wa miaka 31. Baba yangu ameshatangulia mbele ya haki. Kila siku kila baada ya swala huwa namuombea kwa Mungu. Na kila baada ya wiki moja au mbili huwa nafanya dua maalumu ya kumuombea.
Nawapenda wazazi wangu wote wawili. Na huwa sipendi kabisa kusikia mama yangu ana tabu. Akiwa na changamoto yoyote chapu kwa haraka naishughulikia.
Kiukweli ni kumbukumbu nzuri sanaDuh! Stori za humu zinanitisha.

ExactlyHasa satoto wa kiume lazima wa absorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba zao.
Mtoto wa kiume anapoabsorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba maana yake mtoto huyo anakuwa ni sehemu ya baba.
Hivyo mtoto huyo hatowezi kuisaliti sehemu ya yeye kitabia.
Ila shida wazazi wengi sasa hivi hawafanyi hayo,wako bize mpaka watoto wanakosa muda wa kuabsorb tabia na mafunzo ya kivitendo kutoka kwa wazazi.
Mimi mwanangu akiongea huwa anaongea kama mimi hata body language yake,anavyochezesha mikono ni mimi mtupu na ana miaka isiyozidi mi4 tu,lakini ameshaabsorb baadhi ya tabia zangu.
Na hiyo ni kwa sababu I spend a lot of time with him,na ananikubali kama baba yake,namlea kiume kwa namna ambayo simuumizi kihisia ama kimwili.
Jambo zuri sana hilo 👏Wewe ni mfano wa baba bora.Hasa satoto wa kiume lazima wa absorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba zao.
Mtoto wa kiume anapoabsorb baadhi ya tabia kutoka kwa baba maana yake mtoto huyo anakuwa ni sehemu ya baba.
Hivyo mtoto huyo hatowezi kuisaliti sehemu ya yeye kitabia.
Ila shida wazazi wengi sasa hivi hawafanyi hayo,wako bize mpaka watoto wanakosa muda wa kuabsorb tabia na mafunzo ya kivitendo kutoka kwa wazazi.
Mimi mwanangu akiongea huwa anaongea kama mimi hata body language yake,anavyochezesha mikono ni mimi mtupu na ana miaka isiyozidi mi4 tu,lakini ameshaabsorb baadhi ya tabia zangu.
Na hiyo ni kwa sababu I spend a lot of time with him,na ananikubali kama baba yake,namlea kiume kwa namna ambayo simuumizi kihisia ama kimwili.
Hiyo yote ni sababu ya pesa 😃😃😃😃 kwa ulimwengu wa sasa pesa ni kila kitu hakuna wa kukukataa.
Hiyo sawa! Naamini mlipoachana hakuwa na kinyongo. Angekuwa na kinyongo, au bado anakupenda, hata uzikili uchi, atahakikisha hamwelewani na mtoto wa kiume. Na ukute ni mmoja ru kama wangu na kila siku anadai alitaka watoto wawili lakini si baba tofauti.Unataka kusema atanimind,,,nadhan inategemea na malezi ya mama yao,lakini mama yao yupo smart sana na anajali makuzi ya wanae,,,wamama wabaya ni wale ambao wanapandikiza chuki kwamba baba yenu mbaya na mambo kama hayo
Kiukweli tumeachana kwa roho safi sana,,yaani wazazi ambao hatakurudiana tena inawezekanaHiyo sawa! Naamini mlipoachana hakuwa na kinyongo. Angekuwa na kinyongo, au bado anakupenda, hata uzikili uchi, atahakikisha hamwelewani na mtoto wa kiume. Na ukute ni mmoja ru kama wangu na kila siku anadai alitaka watoto wawili lakini si baba tofauti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anavoniamini na kunikubaliii mzee!! Hatareeee.Kma nakuona unavodekaga [emoji2][emoji2]
Ukweli mchungu huuMwanaume, whether umeshiriki malezi vizuri au hujashiriki, watoto watakugeuka tu. Timiza wajibu wako kama mzazi wa mtoto bila kutegemea chochote kutoka kwa watoto wako.
Watunze, wasomeshe, walishe, wavishe etc kwa kuwa ni watoto wako na wewe ndio umewaleta duniani lakini rest assured kwamba at the end of the day wataside na mama yao.
Jiandalie maisha yako ya uzeeni kwa kuhakikisha kwa kiasi, cash flow yako inaendelea ili usiwe tegemezi wa kiuchumi na yabakie mambo kama ya magonjwa ya uzeeni na kadhalika.
Huo ndio ukweli. Usiweke mayarajio makubwa kwa binadamu, hawatabiriki. Tumeona watu wanatelekezwa na watoto wao sio kwamba hawakuwalea vizuri la, wanakengeuka tu ukubwani.Watu hubadilika na mapenzi huisha..... nyakati zinabadilisha watu na mitazamo yao........
Wewe kama Baba timiza wajibu kwa kuwa wewe ndio umewaleta duniani....lakini usitazamie makubwa kutoka kwao........
Wakati unaandaa maisha ya watoto wako pia anaandaa na ya kwako......