Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Na kingine nilichojifunza, mwanaume akiwa karibu na mama yake na kumpenda mama yake anakuwa na respect kwa wamama wote including mkewe. Nina mifano mingi sanaaa. I love mama's boys.
Kuna dada mmoja alikuwa anasema kwamba kama mume wake aking'ang'ania kushinda nyumbani (siyo jikoni) lazima atengeneze ajali amuunguze na maji ya moto!!
Ukiona ivo ujue huyo bi dada ana lake jambo tena baya la kushtua! Hao si ajabu ni wale kuutwa kuwalisha waume zao uchafu au kuwafanyia maupuuz ya kila aina lol.
Sasa huyo anayeshinda na wanawake jikoni atapata wapi muda wa kujadili mambo ya kiume na wanaume wenzake!!
Huyu ataongea ya maana zaidi na ya maendeleo na mkewe, na pia ataenda sehemu za ukweli kukutana na wanaume wa ukweli wasipotosha.Wanaume wengi hupotezana kwenye vikao hivyo mnavyoogopa kwenda na wake zenu.
Kudeka hakukufanyi usiwe mwanaume. Kuna watu wanawalea watoto wao wa kiume kuwa wakatili bila kujua. Mfano utasikia "unalia wewe mwanamke" what a statement?! Cry my boy cry! Alosema wanaume hawana haki ya kuonyesha feelings zao nani?
Afu watu wengi wana conclude kuwa wanaume wanaodeka ni wabaya. Si kweli kikubwa apate partner anayejua kudekeza; kuwe na balance. Si wanawake wote wanadeka. Kama mimi ninapenda sana mwanamme anayedeka kwani napenda kudekeza. Mume wangu anadeka but I like it.
Asikwambie mtu mwanaume anayejua kupika anakuwa more romantic kuliko asojua. Kuna wakati anakwambia darling tulia leo mi ndo sterling hapa jikoni. Mungu akupe nini donda ndugu???
We love you too NKNa kingine nilichojifunza, mwanaume akiwa karibu na mama yake na kumpenda mama yake anakuwa na respect kwa wamama wote including mkewe. Nina mifano mingi sanaaa. I love mama's boys.
Please Tausi,
Mbona package nyingine zina utata??? Sasa huyo ni mwanamume au shoga yako???
AMINA!
Ila hapo kwenye bold....ukumbuke siyo kila mtoto ana bahatika kulelewa na baba na mama kwa sababu mbalimbali.
Kuna wanaozaliwa na mama akiwa mzazi-peke, kuna wanaokataliwa na baba zao, kuna wanaojikuta wazazi wameachana, kuna wanaofiwa na baba zao.Mradi kuna kila sababu.Yote ni majaaliwa ya mola.
hapa udekaji unaozungumziwa ni ule unaofanya mtu anakua hata kusimamia majukumu yake anashindwaafu watu wengi wana conclude kuwa wanaume wanaodeka ni wabaya. Si kweli kikubwa apate partner anayejua kudekeza; kuwe na balance. Si wanawake wote wanadeka. Kama mimi ninapenda sana mwanamme anayedeka kwani napenda kudekeza. Mume wangu anadeka but i like it.
Please Tausi,
Mbona package nyingine zina utata??? Sasa huyo ni mwanamume au shoga yako???
habari ndio iyo
Na kudeka ndo kukoje?
Thanks TM.... unajua tunatake for granted sana hizi sweeping statement za baba au mama....
there are a million factors to make up a good man, kumbuka wanaume wengine (kama walivyo wanawake wengine) hugeuka kuwa wabaya kutokana na maumivu ya mapenzi/mahusiano/malezi
Kuna mshkaji mama ake mlevi na analiwa na kila dereva wanayemtaftia.......... unajua athari za kisaikolojia kwa huyo kijana?? usiombe, anachapa kila kiduku
I AM SOMETIMES TOUCHED BY SWEEPING/GENERALIZING STATEMENTS

Kweli kabisa....Angalia sana usije kuharibu watoto wako???
Sipate picha dume linalodeka linakuwaje....
No, no please....Mwanaume wa kweli sharti awe kidume 24/7...!!!
Samahani DC,
Kabla sijakujibu, naomba kwanza uniambie, mahabat ya pwani wayajua weye maana bara na pwani mambo ni tofauti sana.
Pia ulimwengu wa siku hizi umebadilika sana kwenye mapenzi.Zile aibu za wanaume kuona soo kuonyesha affection kwa wake zao ni mambo so old aisee!
Unajua nini Tausi, nimstuka kuwa hapa watu tuko kwenye angle tofauti...
Kumbe wakati wengine tuna picha ya mwanamume wa Kitanzania anayeishi sehemu yote ya nchi hii, nadhani wenzangu mnaongelea wale exotic boys wanaoishi kwenye maeneo ambayo wakazi wake wamelewa na ukwasi!!
Ndio maana NK kasema kuwa wanaume wanaojua kupika ni very romantic wakati wengine tunajua wanaume romantic wanabeba magunia ya kutosha ya mkaa na kuyajaza nyumbani!!

Attention seekers, wanaopenda kuonyeshwa kuwa wanapendwa sana otherwise wanalalamika. tough but soft hearted.
Kwani babu DC wewe unadefine vipi kudeka mpaka maelezo yako yaonyeshe kwamba kudeka kunamvua mwanaume uanaume wake?