Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Na kingine nilichojifunza, mwanaume akiwa karibu na mama yake na kumpenda mama yake anakuwa na respect kwa wamama wote including mkewe. Nina mifano mingi sanaaa. I love mama's boys.

Lakini kuna wanawake ambao hushikilia dhana potofu eti mwanaume akiwa anampenda mama yake na mama yake akiwa anampenda huyo mwanae basi eti huyo mwanaume ni anadeka na kudekezwa.

Ni dhana potofu sana hii. Kwani kuna ubaya gani mtu kumpenda mama yako? Na kuna ubaya gani mama kumpenda mwanae? Sasa kwa nini mapenzi ya mama na mwana wengine wayatafsiri kuwa ni madekezo? Ni ujinga (sublime ignorance) wa hali ya juu kabisa huo.
 
Kuna dada mmoja alikuwa anasema kwamba kama mume wake aking'ang'ania kushinda nyumbani (siyo jikoni) lazima atengeneze ajali amuunguze na maji ya moto!!

Ukiona ivo ujue huyo bi dada ana lake jambo tena baya la kushtua! Hao si ajabu ni wale kuutwa kuwalisha waume zao uchafu au kuwafanyia maupuuz ya kila aina lol.

Sasa huyo anayeshinda na wanawake jikoni atapata wapi muda wa kujadili mambo ya kiume na wanaume wenzake!!

Huyu ataongea ya maana zaidi na ya maendeleo na mkewe, na pia ataenda sehemu za ukweli kukutana na wanaume wa ukweli wasipotosha.Wanaume wengi hupotezana kwenye vikao hivyo mnavyoogopa kwenda na wake zenu.

habari ndio iyo
 
Kudeka hakukufanyi usiwe mwanaume. Kuna watu wanawalea watoto wao wa kiume kuwa wakatili bila kujua. Mfano utasikia "unalia wewe mwanamke" what a statement?! Cry my boy cry! Alosema wanaume hawana haki ya kuonyesha feelings zao nani?

Naomba usinielewe vibaya dada yangu...Sisemi kwamba mtoto wa kiume asilie ila ni marufuku kwa mtoto wa kiume kujiliza liza kama doll!!

Nikiona toto la namna hiyo natamani kufa mie!
 
Afu watu wengi wana conclude kuwa wanaume wanaodeka ni wabaya. Si kweli kikubwa apate partner anayejua kudekeza; kuwe na balance. Si wanawake wote wanadeka. Kama mimi ninapenda sana mwanamme anayedeka kwani napenda kudekeza. Mume wangu anadeka but I like it.

Na kudeka ndo kukoje?
 
AMINA!
Ila hapo kwenye bold....ukumbuke siyo kila mtoto ana bahatika kulelewa na baba na mama kwa sababu mbalimbali.
Kuna wanaozaliwa na mama akiwa mzazi-peke, kuna wanaokataliwa na baba zao, kuna wanaojikuta wazazi wameachana, kuna wanaofiwa na baba zao.Mradi kuna kila sababu.Yote ni majaaliwa ya mola.

Thanks TM.... unajua tunatake for granted sana hizi sweeping statement za baba au mama....

there are a million factors to make up a good man, kumbuka wanaume wengine (kama walivyo wanawake wengine) hugeuka kuwa wabaya kutokana na maumivu ya mapenzi/mahusiano/malezi

Kuna mshkaji mama ake mlevi na analiwa na kila dereva wanayemtaftia.......... unajua athari za kisaikolojia kwa huyo kijana?? usiombe, anachapa kila kiduku

I AM SOMETIMES TOUCHED BY SWEEPING/GENERALIZING STATEMENTS
 
afu watu wengi wana conclude kuwa wanaume wanaodeka ni wabaya. Si kweli kikubwa apate partner anayejua kudekeza; kuwe na balance. Si wanawake wote wanadeka. Kama mimi ninapenda sana mwanamme anayedeka kwani napenda kudekeza. Mume wangu anadeka but i like it.
hapa udekaji unaozungumziwa ni ule unaofanya mtu anakua hata kusimamia majukumu yake anashindwa

wengine huishia kuwa mabwabwa
 
Please Tausi,

Mbona package nyingine zina utata??? Sasa huyo ni mwanamume au shoga yako???

Samahani DC,
Kabla sijakujibu, naomba kwanza uniambie, mahabat ya pwani wayajua weye maana bara na pwani mambo ni tofauti sana.
Pia ulimwengu wa siku hizi umebadilika sana kwenye mapenzi.Zile aibu za wanaume kuona soo kuonyesha affection kwa wake zao ni mambo so old aisee!
 
habari ndio iyo

Unajua nini Tausi, nimstuka kuwa hapa watu tuko kwenye angle tofauti...

Kumbe wakati wengine tuna picha ya mwanamume wa Kitanzania anayeishi sehemu yote ya nchi hii, nadhani wenzangu mnaongelea wale exotic boys wanaoishi kwenye maeneo ambayo wakazi wake wamelewa na ukwasi!!

Ndio maana NK kasema kuwa wanaume wanaojua kupika ni very romantic wakati wengine tunajua wanaume romantic wanabeba magunia ya kutosha ya mkaa na kuyajaza nyumbani!!
 
Thanks TM.... unajua tunatake for granted sana hizi sweeping statement za baba au mama....

there are a million factors to make up a good man, kumbuka wanaume wengine (kama walivyo wanawake wengine) hugeuka kuwa wabaya kutokana na maumivu ya mapenzi/mahusiano/malezi

Kuna mshkaji mama ake mlevi na analiwa na kila dereva wanayemtaftia.......... unajua athari za kisaikolojia kwa huyo kijana?? usiombe, anachapa kila kiduku

I AM SOMETIMES TOUCHED BY SWEEPING/GENERALIZING STATEMENTS

Broda MTM,
Hatuzungumzii deviants hapa.Tunazungumzia responsible mamas and papas.
Tukisema tulete kila flava hapa patakuwa hapatoshi aisee.

Pia kutokana na hizi discussions tutapata mambo mengi ( factors) zinazojenga na kubomoa.Hiki ulichokitaja ni negative side of the equation.
 
Thanks TM.... unajua tunatake for granted sana hizi sweeping statement za baba au mama....

there are a million factors to make up a good man, kumbuka wanaume wengine (kama walivyo wanawake wengine) hugeuka kuwa wabaya kutokana na maumivu ya mapenzi/mahusiano/malezi

Kuna mshkaji mama ake mlevi na analiwa na kila dereva wanayemtaftia.......... unajua athari za kisaikolojia kwa huyo kijana?? usiombe, anachapa kila kiduku

I AM SOMETIMES TOUCHED BY SWEEPING/GENERALIZING STATEMENTS

Hilo ndilo nimelipinga muda wote,

Unawezaje kuongea statement inayokomba kila mtu bila data za kutosha...Hii ni hatari sana tena kwenye jamii ambazo uelewa watu uko chini kama zetu!
 
Kweli kabisa....Angalia sana usije kuharibu watoto wako???

Sipate picha dume linalodeka linakuwaje....

No, no please....Mwanaume wa kweli sharti awe kidume 24/7...!!!

Kwani babu DC wewe unadefine vipi kudeka mpaka maelezo yako yaonyeshe kwamba kudeka kunamvua mwanaume uanaume wake?
 
Samahani DC,
Kabla sijakujibu, naomba kwanza uniambie, mahabat ya pwani wayajua weye maana bara na pwani mambo ni tofauti sana.
Pia ulimwengu wa siku hizi umebadilika sana kwenye mapenzi.Zile aibu za wanaume kuona soo kuonyesha affection kwa wake zao ni mambo so old aisee!

Simply put, siyajui...Ndiyo yapi?

Ya midume kulia lia na kutaka kudekezwa kama mitoto inayoumwa matumbo!!
 
Unajua nini Tausi, nimstuka kuwa hapa watu tuko kwenye angle tofauti...

Kumbe wakati wengine tuna picha ya mwanamume wa Kitanzania anayeishi sehemu yote ya nchi hii, nadhani wenzangu mnaongelea wale exotic boys wanaoishi kwenye maeneo ambayo wakazi wake wamelewa na ukwasi!!

Ndio maana NK kasema kuwa wanaume wanaojua kupika ni very romantic wakati wengine tunajua wanaume romantic wanabeba magunia ya kutosha ya mkaa na kuyajaza nyumbani!!

Hapo ndo Utaona watu wanatoka nduki hapa! Wanadhani Ni zile dizaini Za kutumia Gesi na Rice cooker Za umeme? Kitu cha Kuuwasha tu Mkaa Mwanaume Unakuwa ushashiba! Mi naelekea tu kwenye NOAH kama mbwai Mbwai tu
 
Unajua nini Tausi, nimstuka kuwa hapa watu tuko kwenye angle tofauti...

Kumbe wakati wengine tuna picha ya mwanamume wa Kitanzania anayeishi sehemu yote ya nchi hii, nadhani wenzangu mnaongelea wale exotic boys wanaoishi kwenye maeneo ambayo wakazi wake wamelewa na ukwasi!!

Ndio maana NK kasema kuwa wanaume wanaojua kupika ni very romantic wakati wengine tunajua wanaume romantic wanabeba magunia ya kutosha ya mkaa na kuyajaza nyumbani!!

Umenena vema sana DC,
Exotic or not...dunia is a rainbow planet.Huwezi kuzungumzia kila situation wewe mtu mmoja maana life experience zetu ni tofauti sana.Mwingine atakuambia mwanaume mzuri ni yule anayeload the washing machine au anayetoa garbage nje lol...sasa uswazi hii hai apply!
Mwingine atakuambia mwanaume mzuri kwake, ni yule anayebeba magunia na kulima ekari saba kwa siku - wapi na wapi.Kila mtu anaishi kivyake.

All in all, bado siyo ishu kwa sababu kubeba hayo magunia ua kutoa garbage nje mtu hafanyi kama hakulelewa kufanya hayo. Vijijini kazi nyingi hufanywa na nani? Kulima ni wakina mama zaidi..tafiti zinaonesha hivyo.
 
Attention seekers, wanaopenda kuonyeshwa kuwa wanapendwa sana otherwise wanalalamika. tough but soft hearted.

I see nothing wrong with that. If you are loved consider yourself fortunate. Only the dumb and stupid would consider affection as spoiling.
 
Kwani babu DC wewe unadefine vipi kudeka mpaka maelezo yako yaonyeshe kwamba kudeka kunamvua mwanaume uanaume wake?

Mdogo wangu Lizy,

Kwangu mimi kudeka ni kukaa hapo tu na kulia lia au kucheka cheka badala ya kuwa firm...kuwa kama mrenda mrenda!!

Kwa ufupi (in real life) sina hakika kama kuna mwanamume atafurahi kusikia unamwelezea kuwa anapenda kudeka!!!
 
Back
Top Bottom