Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
- Thread starter
-
- #261
Simply put, siyajui...Ndiyo yapi?
Ya midume kulia lia na kutaka kudekezwa kama mitoto inayoumwa matumbo!!
Thanks Broda NN,I see nothing wrong with that. If you are loved consider yourself fortunate. Only the dumb and stupid would consider affection as spoiling.
Basi tuyaachie hapo maana itahitaji somo la ziada kukufahamisha.
Yatosha tu kusema kudekezwa siyo kulialia wala siyo kujigalagaza.
Pia siyo kulegea kama mlenda...wanaofahamu utaona wameshafahamu.
Kwa kifupi sana DC,Kanyaga twende Tausi,
Kudeka ndo kufanyaje???
Mie nimetoa definition yangu!!
Kwa kifupi sana DC,
Kudeka tunakozungumzia hapa ni kule "kuitikia kihisia" bila kujali kuna mtu "anakuona" au "kukusikia".
Figure out for urself kaka.
Mdogo wangu Lizy,
Kwangu mimi kudeka ni kukaa hapo tu na kulia lia au kucheka cheka badala ya kuwa firm...kuwa kama mrenda mrenda!!
Kwa ufupi (in real life) sina hakika kama kuna mwanamume atafurahi kusikia unamwelezea kuwa anapenda kudeka!!!
Hehehe. . .
Well nashindwa kukubaliana na wewe kwasababu hao wanaume wanaodeka sio kama wanadeka kila mahali, kila wakati na kwa kila mtu. Wakiwa nje, kwenye shughuli zao wanafanya kazi wanayotakiwa kufanya nasio wanakaa nyuma ya dawati na kudeka.Then akirudi kwa mkewe anadeka kwasababu ni haki yake, hana haja ya kua firm na mkewe 24/7. . .unless he has control issues.
Hata wewe unaeonyesha kukataa hii hali sidhani kama unapokuaga na bibi nyumbani hua unamkoromea tu muda wote au uso umekunja kama vile unameza klorokwini.Sidhani mnapokua chumbani unamwagiza tu bila kumpa nafasi ya yeye kukufanyia atakavyo.
All in all kuna aina nyingi za kudeka.
Hata kukaa mezani na kusubiria mpaka mikono unawishwe ni kudeka kwa aina yake. Kinachotofautiana ni kiasi tu na namna.
Mzazi yeyote mwenye mapenzi ya kweli na mwanae au wanae basi atawafunza basic life skills. Mimi baba yangu ananipenda sana. Na mimi ninampenda kuliko hata ninavyojipenda mwenyewe. Mimi na yeye tunapendana sana. Amejitoa maisha yake yote kwa ajili yangu mimi. Kanifunza mengi mno kuhusu maisha. Legacy kubwa ambayo ataniachia hapa duniani siku atakapoondoka milele ni funzo la kuwa na bidii katika maisha na kufanya kila niwezalo kujitegemea mwenyewe ili kutokuwa mzigo kwa wengine.
Ila pia wakati niko mdogo alinipatia karibu kila kitu nilichohitaji na kutaka. Sasa sijui na mimi nadeka au sijui nilidekezwa. Ila kama kudekezwa ni kupendwa na mzazi au wazazi wako basi I wear it as a badge of honor. Kuna watu wengi mno ambao wanatamani walau wapendwe na mtu hata mmoja – fikiria mayatima walio na umri mdogo.
Kwa mujibu wa hii thread, wewe unaweza kuwa hauko kati ya wale ambao wale wadada wanawataka...Wanalotaka kusikia ni kwamba umelelewa na mama...I am sure, nothing else!!

Kamanda nikiwa kama pensioner, nikishaona hali inakua tete, basi ku-retire mapemaaaaaaaaaaaHilo ndilo nimelipinga muda wote,
Unawezaje kuongea statement inayokomba kila mtu bila data za kutosha...Hii ni hatari sana tena kwenye jamii ambazo uelewa watu uko chini kama zetu!
Teh teh teh....hawa nao huwa hawaeleweki. Sasa sijui wanataka wanaume wenye hulka za kiume au wanaume wenye hulka za kike. Wanajua wao wenyewe wanachokitaka...
Teh teh teh....hawa nao huwa hawaeleweki. Sasa sijui wanataka wanaume wenye hulka za kiume au wanaume wenye hulka za kike. Wanajua wao wenyewe wanachokitaka...
No one in this world anajua a woman anataka nini - "i love bad boys" remember this quote??
Mzazi yeyote mwenye mapenzi ya kweli na mwanae au wanae basi atawafunza basic life skills. Mimi baba yangu ananipenda sana. Na mimi ninampenda kuliko hata ninavyojipenda mwenyewe. Mimi na yeye tunapendana sana. Amejitoa maisha yake yote kwa ajili yangu mimi. Kanifunza mengi mno kuhusu maisha. Legacy kubwa ambayo ataniachia hapa duniani siku atakapoondoka milele ni funzo la kuwa na bidii katika maisha na kufanya kila niwezalo kujitegemea mwenyewe ili kutokuwa mzigo kwa wengine.
Ila pia wakati niko mdogo alinipatia karibu kila kitu nilichohitaji na kutaka. Sasa sijui na mimi nadeka au sijui nilidekezwa. Ila kama kudekezwa ni kupendwa na mzazi au wazazi wako basi I wear it as a badge of honor. Kuna watu wengi mno ambao wanatamani walau wapendwe na mtu hata mmoja – fikiria mayatima walio na umri mdogo.
I meant what i said.... no oneWhat do you mean "NO ONE in this world knows what women want" ???
Some women do know what they want and so are some men.