Wanamaanisha yupo karibu na mama zaidi, hata kama baba yupo yeye kila kitu anamwambia mama..Kabla sijaendelea kuupigia kura huu mswada:
Hivi wanavusema huyu ni "mtoto wa mama" wanamaanisha nini?
Niko kwenye maandamano huku. HIV inatishia amani ya kitandani.
Dakika zinayoyoma kamanda lakini dogo akizembea naondoka na kifaa dakika ya 90, nimekaa mkao wa fisi
Mpwa ameishakuja hadi Manzese na Tandale muulize kamanda Klorokwin..Najua huna ubavu wa kumiliki pila hilo limelelewa familia bora ya keyboard mpaka bafuni.
Khaa! kuna limoja lilikuwa linalalamika mamake kalinunulia andawea nyeupe......... khaa! mpaka rangi yanachaguaga haya matoto ya mama, sijui huwa yanafikiri kuna siku nayo yatableed?
Haya yanakuhusu wewe.mpigie aspirin
Khaa! kuna limoja lilikuwa linalalamika mamake kalinunulia andawea nyeupe......... khaa! mpaka rangi yanachaguaga haya matoto ya mama, sijui huwa yanafikiri kuna siku nayo yatableed?
Klorokwin ana toto liko Form 4 lakini bado anaenda na uji shuleni..khaaaaWanamaanisha yupo karibu na mama zaidi, hata kama baba yupo yeye kila kitu anamwambia mama..
Haya yanakuhusu wewe.
Hahaha. Afu anatoa mapovu utadhani hayajamkuta...bora mie mwenye kabinti nichangie mada kwa raha zangu lol.Klorokwin ana toto liko Form 4 lakini bado anaenda na uji shuleni..khaaaa
Simu yangu haina charge....... majibu ya mavipimo ya ukimwi peaneni hukohuko.!mpigie aspirin
Hahaha. Afu anatoa mapovu utadhani hayajamkuta...bora mie mwenye kabinti nichangie mada kwa raha zangu lol.
Basi wacha nikuulize hapa hadharani: kwanini mwanao wa kiume form four anaenda na uji shule?Dr wamenishauri nisiongee na simu, ear drum yangu imefanya crack, malizana na uporoto tu
:lol::lol:lol :behindsofa:Simu yangu haina charge....... majibu ya mavipimo ya ukimwi peaneni hukohuko.!
Mtoto wa kike shurti umdekeshe asee... Namdekeza haswa sio utani...Hako kabinti vp kanadeka sana? Unakaleaje haswaa?
Mi ntajuaje wakati mie si "mtoto wa kulelewa na mama"?Hahah kwani wanaobleed hawavai nyeupe?
Simuelewi kabisa labda kama mtoto kafuata tabia za KlorokwinHahaha. Afu anatoa mapovu utadhani hayajamkuta...bora mie mwenye kabinti nichangie mada kwa raha zangu lol.
Klorokwin ana toto liko Form 4 lakini bado anaenda na uji shuleni..khaaaa
Hahaha. Afu anatoa mapovu utadhani hayajamkuta...bora mie mwenye kabinti nichangie mada kwa raha zangu lol.
Basi wacha nikuulize hapa hadharani: kwanini mwanao wa kiume form four anaenda na uji shule?
Kafuata ndiyo, we huoni linavyodeka kama babake?Simuelewi kabisa labda kama mtoto kafuata tabia za Klorokwin