Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Kabla sijaendelea kuupigia kura huu mswada:

Hivi wanavusema huyu ni "mtoto wa mama" wanamaanisha nini?

Niko kwenye maandamano huku. HIV inatishia amani ya kitandani.
Wanamaanisha yupo karibu na mama zaidi, hata kama baba yupo yeye kila kitu anamwambia mama..
 
Khaa! kuna limoja lilikuwa linalalamika mamake kalinunulia andawea nyeupe......... khaa! mpaka rangi yanachaguaga haya matoto ya mama, sijui huwa yanafikiri kuna siku nayo yatableed?

Hahah kwani wanaobleed hawavai nyeupe?
 
Khaa! kuna limoja lilikuwa linalalamika mamake kalinunulia andawea nyeupe......... khaa! mpaka rangi yanachaguaga haya matoto ya mama, sijui huwa yanafikiri kuna siku nayo yatableed?

Kuna moja niliwahi kuishi nalo, yeye mkijadili maisha linauchuna kama halipo, mkikosea stepu mkasema Irene Uwoya kaachwa tu basi zembe la kiume linashika microphone yeye, hapo litafafanua mpaka saizi ya bra ya Uwoya. balaa
 
Mmesikia lakini siku hizi kuna boxers maalum zinazotengenezwa na material kama za boxers za wale watu wanaokwenda anga za juu?

Hivi zinazuwia kuvuja kwa harufu mbali mbali nje ya mwili. Zipo pia maalum kwa wale wasioweza kujizuwia kujamba ovyo

Tafadhali mpatie mtoto wako wa kiume haraka .....hahahah
 
Back
Top Bottom