Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Labda anaplan kuwa lutheran, u never know
hahaha well is the pope catholic?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha well is the pope catholic?
hahaha well is the pope catholic?
Tema mate yasikupate, tena usilogwe jangwani.
Nje kuna raha kama ndani kumetulia, huko huwa kwa kujazilizia tu.
Home kama hakukaliki hakuna kutakako kalika, hata huyo msaidizi utamfukuza
Sorry Kongosho,
Uko kwenye chuo cha ngapi weye???
sijasoma kabsa, naweka sahihi kwa dole gumba
Hahahahahahahahah......
Pole Kongosho (Dada Mkuu), naona umenasa kwenye mtego wa Babu!!
Huko kwetu Tanga, kuna kitu Wadigo wanaita chuo (vyuo). Haina uhusiano wowote na shule ila lazima mwanamke apitie zaidi ya kimoja katika maisha yake yote!!
Hao wamedekezwa sana hawajui kujishughulisha mtaani tunawaita watoto wa mama wao ni kudeka deka na kuona wanaonewa kwa kila kitu
Thread imeenda mbali lakini Mbona liko wazi sana ni kweli kabisa.Hao wadada wako sahihi.
Hayo mambo ya ushoga sijui nini, lazima utegemee lisemwe,manake kwa wabongo hata mwanaume asipompiga mke wake anaweza akaambiwa ni shoga.
Ushoga ni hulka tu.Kuna wanaume mashoga wamelelewa na baba na mama na wahakuwa watii kwa wazazi.Wakipewa kazi hawataki wao ni " friji open" na kula kulala tu.Hayo siyo malezi ya mama tunayoyazungumzia.Pia kuna wasichana walilelewa na baba peke na hawajawa wasagaji! Iweje wanaume kung'ang'ania kisingizio cha ushoga pale wanapopewa malezi yaliyotia stadi za maisha? Uvivu na mawazo mgando ndio vimetawala hoja hii! Badilikeni!
Halfu kudeka nako tumeshaelezea sana lakini watu wanajifanya hawataki kuelewa somo.Wawasome NN na MMM wanaume wenzao walivyoelezea vizuri kabisa.
Kwanini isisemwe kuwa mtoto wa kiume anayelelewa na baba sana na kum-adore babake atakujwa kuwa shoga baadaye- kutokana na kupata mapenzi ya mwanamme?
Tutake ladhi Tausi,
Huwezi kusema tena kwa kujiamini kuwa ni NN na MMM ndio waliolelewa vizuri tu...Umepata wapi ujasiri huo??
DC
Hebu naomba wewe ndo unitake radhi.... hapo kwenye bold una hakika nimesema hivyo au umesoma kwa haraka na jazba? Mi ntajuaje malezi yao!?
Nimesema wao wameelezea vizuri ...
Mbona unaukimbia ufagio Tausi...Umewafagilia sana kiasi ambacho huwezi kukwepa kutupa haki yetu wengine ambao tumeelezea vibaya....By any means.....naamini hayo ndiyo ulitaka kutueleza....!!
Kwani sie wengine hatukuelezea vizuri au kwa kuwa tumekaa upande usio wako???
Babu DC!!
Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.
Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo:
Wanaume hao wanajua kupika, kulea watoto, wana huruma zaidi, wanaheshimu wanawake, wana upendo, wanajali, etc.
Hili likanifanya nifikirie na kwa kiasi nikaona lina ukweli.Nimeliona hilo kwa ndugu zangu wa kiume waliolelewa na mama zao bila kuwepo baba, au wale waliokuwa na baba lakini wakatii sana mafundisho ya mama zao.Wako independent zaidi, hawanaga makeke sana kwa wake zao, nk...
Hebu tupate mawazo zaidi kwa wale wenye uzoefu.
Babu DC,
NAKUBALI MAKOSA YAISHE......Babu umeelezea vizuri sana maswala ya "mila kongwe".....ila babu ujue tuko 21st C bana!Siku zileee zenu na bibi hukujua kupika wala nini.Bibi tu ndo apike wewe ule, hata kutoa vyombo hutoi! Wajukuu zako wanawakwepa wanaume kama wewe babu!
...inanigusa, kisha nikabahatisha mke from a single parent. Ndoa haiku work out!
Mitizamo tofauti kabisa.