Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Tema mate yasikupate, tena usilogwe jangwani.
Nje kuna raha kama ndani kumetulia, huko huwa kwa kujazilizia tu.

Home kama hakukaliki hakuna kutakako kalika, hata huyo msaidizi utamfukuza

Sorry Kongosho,

Uko kwenye chuo cha ngapi weye???
 
sijasoma kabsa, naweka sahihi kwa dole gumba

Hahahahahahahahah......

Pole Kongosho (Dada Mkuu), naona umenasa kwenye mtego wa Babu!!

Huko kwetu Tanga, kuna kitu Wadigo wanaita chuo (vyuo). Haina uhusiano wowote na shule ila lazima mwanamke apitie zaidi ya kimoja katika maisha yake yote!!
 
Ha ha ha, ntapita Tanga siiku moja niende chuo hata kwa masaa machache

Hahahahahahahahah......

Pole Kongosho (Dada Mkuu), naona umenasa kwenye mtego wa Babu!!

Huko kwetu Tanga, kuna kitu Wadigo wanaita chuo (vyuo). Haina uhusiano wowote na shule ila lazima mwanamke apitie zaidi ya kimoja katika maisha yake yote!!
 
Hao wamedekezwa sana hawajui kujishughulisha mtaani tunawaita watoto wa mama wao ni kudeka deka na kuona wanaonewa kwa kila kitu

Alichokisema ukweli wake ni kinyume chake, atajulia wapi kupika ka muda mwingi anakuwa anadekezwa, ukilelewa na baba utajua mwnyw kupika manake kuna kipindi utaingia tu jikoni akikosekana mtu wa kukupikia
 
Thread imeenda mbali lakini Mbona liko wazi sana ni kweli kabisa.Hao wadada wako sahihi.

Hayo mambo ya ushoga sijui nini, lazima utegemee lisemwe,manake kwa wabongo hata mwanaume asipompiga mke wake anaweza akaambiwa ni shoga.
 
Ushoga ni hulka tu.Kuna wanaume mashoga wamelelewa na baba na mama na wahakuwa watii kwa wazazi.Wakipewa kazi hawataki wao ni " friji open" na kula kulala tu.Hayo siyo malezi ya mama tunayoyazungumzia.Pia kuna wasichana walilelewa na baba peke na hawajawa wasagaji! Iweje wanaume kung'ang'ania kisingizio cha ushoga pale wanapopewa malezi yaliyotia stadi za maisha? Uvivu na mawazo mgando ndio vimetawala hoja hii! Badilikeni!

Halfu kudeka nako tumeshaelezea sana lakini watu wanajifanya hawataki kuelewa somo.Wawasome NN na MMM wanaume wenzao walivyoelezea vizuri kabisa.
 
Kwanini isisemwe kuwa mtoto wa kiume anayelelewa na baba sana na kum-adore babake atakujwa kuwa shoga baadaye- kutokana na kupata mapenzi ya mwanamme?
 
Ushoga ni hulka tu.Kuna wanaume mashoga wamelelewa na baba na mama na wahakuwa watii kwa wazazi.Wakipewa kazi hawataki wao ni " friji open" na kula kulala tu.Hayo siyo malezi ya mama tunayoyazungumzia.Pia kuna wasichana walilelewa na baba peke na hawajawa wasagaji! Iweje wanaume kung'ang'ania kisingizio cha ushoga pale wanapopewa malezi yaliyotia stadi za maisha? Uvivu na mawazo mgando ndio vimetawala hoja hii! Badilikeni!

Halfu kudeka nako tumeshaelezea sana lakini watu wanajifanya hawataki kuelewa somo.
Wawasome NN na MMM wanaume wenzao walivyoelezea vizuri kabisa.

Tutake ladhi Tausi,

Huwezi kusema tena kwa kujiamini kuwa ni NN na MMM ndio waliolelewa vizuri tu...Umepata wapi ujasiri huo??
 
Kwanini isisemwe kuwa mtoto wa kiume anayelelewa na baba sana na kum-adore babake atakujwa kuwa shoga baadaye- kutokana na kupata mapenzi ya mwanamme?

Mkuu,

Tunashindwa kusema hivyo kwa sababu hatuna data zinazotupa uhalali wa kutoa kauli kama hivyo (which is a generalized statement)!! Similarly, hata hoja ya Tausi inaangukia katika kundi hilo.

Waliobahatika kuwaona 2 au 3 wenye tabia za namna hiyo wanaweza kurukia hitimisho kwa jinsi wanavyodhania. But that's totally wrong!!
 
Tutake ladhi Tausi,

Huwezi kusema tena kwa kujiamini kuwa ni NN na MMM ndio waliolelewa vizuri tu...Umepata wapi ujasiri huo??

DC
Hebu naomba wewe ndo unitake radhi.... hapo kwenye bold una hakika nimesema hivyo au umesoma kwa haraka na jazba?
Mi ntajuaje malezi yao!?
Nimesema wao wameelezea vizuri ...
 
DC
Hebu naomba wewe ndo unitake radhi.... hapo kwenye bold una hakika nimesema hivyo au umesoma kwa haraka na jazba?
Mi ntajuaje malezi yao!?
Nimesema wao wameelezea vizuri ...

Mbona unaukimbia ufagio Tausi...Umewafagilia sana kiasi ambacho huwezi kukwepa kutupa haki yetu wengine ambao tumeelezea vibaya....By any means.....naamini hayo ndiyo ulitaka kutueleza....!!

Kwani sie wengine hatukuelezea vizuri au kwa kuwa tumekaa upande usio wako???

Babu DC!!
 
Babu DC,
NAKUBALI MAKOSA YAISHE......Babu umeelezea vizuri sana maswala ya "mila kongwe".....ila babu ujue tuko 21st C bana!Siku zileee zenu na bibi hukujua kupika wala nini.Bibi tu ndo apike wewe ule, hata kutoa vyombo hutoi! Wajukuu zako wanawakwepa wanaume kama wewe babu!

Mwanaume asipojitambua hafai,kujitambua huja kutokana na malezi bora kwa 55%haijalishi ni nani amemlea mhusika japokuwa baba na mama wana nafasi kubwa,jambo la msingi ni anaelea atambue namna ya kulea!
 
Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.
Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo:
Wanaume hao wanajua kupika, kulea watoto, wana huruma zaidi, wanaheshimu wanawake, wana upendo, wanajali, etc.

Hili likanifanya nifikirie na kwa kiasi nikaona lina ukweli.Nimeliona hilo kwa ndugu zangu wa kiume waliolelewa na mama zao bila kuwepo baba, au wale waliokuwa na baba lakini wakatii sana mafundisho ya mama zao.Wako independent zaidi, hawanaga makeke sana kwa wake zao, nk...
Hebu tupate mawazo zaidi kwa wale wenye uzoefu.

...inanigusa, kisha nikabahatisha mke from a single parent. Ndoa haiku work out!
Mitizamo tofauti kabisa.
 
Babu DC,
NAKUBALI MAKOSA YAISHE......Babu umeelezea vizuri sana maswala ya "mila kongwe".....ila babu ujue tuko 21st C bana!Siku zileee zenu na bibi hukujua kupika wala nini.Bibi tu ndo apike wewe ule, hata kutoa vyombo hutoi! Wajukuu zako wanawakwepa
wanaume kama wewe babu!

Unaona Tausi,

Hatimaye umejileta nilikokuwa napasubiri....Kwa maana hiyo umeyachukua maelezo yangu yote na kunivisha uhusika????? Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!

Haya bwana, I wishi you knew...Ila kwa ajili ya huu mjadala, niliamua kujiweka (as a person) pembeni ili tuwaongelee hata wale ambao hawawezi kujisemea!!

Iwe ni karne ya 21 au ya 100, huwezi kutoa general statement kama hiyo na mwisho wake ukahitimisha kuwa ni "KWELI"!!! Hapo tutapishana hadi Yesu arudi tena!!

Hata hivyo nimeelza tena na tena kwamba within limits, hiyo kauli inayojadiliwa ya mother's boys ina ukweli fulani...but not all the times!!

...inanigusa, kisha nikabahatisha mke from a single parent. Ndoa haiku work out!
Mitizamo tofauti kabisa.

Mbu tumaelezo twako tufupi tufupi hua tunanibamba kweli. Hua natamani kujua zaidi , sijui ndio UMBEA huo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
mie nimelelewa na dingi na ma bro
najua kupika ile mbaya
nina penda sana kumpa mpenzi wangu "double love', as 4 mum and her, coz mum alivuta nkiwa mdogo sana
ila ni mbabe wa kutupwa demu anapoleta mapozi ya nyau
 
Back
Top Bottom