Said Shabani Kondo
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 312
- 196
Usijipe MoyoMwanaume kupata ukimwi ni mpaka uchubuke sasa kama uke ni mlaini una majimaji yanateleza vizuri unachubukaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijipe MoyoMwanaume kupata ukimwi ni mpaka uchubuke sasa kama uke ni mlaini una majimaji yanateleza vizuri unachubukaje?
Hawa kusengenyi wana kunyanyapaaMnatusengenya eee
Iko hivi, sperms hazina virusi na ndo maana hata Kama wazazi wote watakuwa waathirika wa VVU bado Kuna uhakika wa kuzaa mtoto asiyekuwa na VVU,lakini pia katika utungaji mimba pamoja na makuzi yake Kuna kitu kinaitwa placenta barrier,hii kazi yake Ni kuzui mtoto asipate magonjwa yoyote awapo tumboni mwa mama yake ikiwemo UKIMWI,na ndio maana wataalamu wakaja na utafiti wa kutaka kujua kwenye hiyo placenta barrier Kuna nini,hii ilikuwa Ni mbinu ya kutafuta tiba ya VVU.Nimeshangaa pia, maana kuna watoto huzaliwa wakiwa negative hali ya kuwa wazazi wote wawili ni positive, kama shahawa zingekua zinaambukiza basi hiyo isinge wezekana.
Shukrani sana mkuu kwa elimu hii [emoji120][emoji120] ..Iko hivi, sperms hazina virusi na ndo maana hata Kama wazazi wote watakuwa waathirika wa VVU bado Kuna uhakika wa kuzaa mtoto asiyekuwa na VVU,lakini pia katika utungaji mimba pamoja na makuzi yake Kuna kitu kinaitwa placenta barrier,hii kazi yake Ni kuzui mtoto asipate magonjwa yoyote awapo tumboni mwa mama yake ikiwemo UKIMWI,na ndio maana wataalamu wakaja na utafiti wa kutaka kujua kwenye hiyo placenta barrier Kuna nini,hii ilikuwa Ni mbinu ya kutafuta tiba ya VVU.
Hivyo katika mfumo mzima wa wa shahawa, semens tu(Maji maji ya shahawa) ndo Yana VVU,lakini pia kwa mwanamke, maji yale yote ya uke (Virgina fluids) yote Yana asilimia kubwa ya virusi vya ukimwi.
Hivyo mtoa mada asijipe moyo na kupotosha kuwa mwanamme kupata UKIMWI Ni kazi ngumu la hasha,Bali katika mwili wa biniadamu Kuna cell ambazo Mara baada ya virusi kuingia mwilini huenda kuzaliana huko ili kuongeza idadi yao,sasa kwanini wengine wapate ukimwi na wengine wasipate ili Hali wanaishi na wenza wenye maambukizi ya VVU?
Jibu Ni kwamba Kuna baadhi ya watu wachache ambao Wana ulemavu wa cell(cell malformation) ambalo ni eneo la virusi kujizalisha na kujitanua ,sasa kutokana na huo ulemavu wa cell zao baada ya kirusi kuingia mwilini mwao hukosa eneo la kwenda kuzaliana ili kuongezeka ,matokeo yake kirusi wa UKIMWI hufa.
NB. Mtu asijidanganye kuwa yeye ni blood group A au O hivyo hawezi kupata UKIMWI,la hasha ! Ukimwi unawapata watu wa makundi yote ya damu,Ila wanaoshindwa kuambukizwa Ni wale tu ambao Wana matatizo katika cell zao ambazo ni eneo la virusi kuzaliana
Naunga mkono hoja nmepita sehem kibao peku ambazo adi wengine tushazika ila mm bado nadunda huwa nahisi Mungu ananiweka ili nije nigundue ni upumbav gan nlikuwa nafanyaNi jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
Ahaah ngoma ndaniMnatusengenya eee
Hapa umetupeleka chaka mkuu.Ni jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
Iko hivi, sperms hazina virusi na ndo maana hata Kama wazazi wote watakuwa waathirika wa VVU bado Kuna uhakika wa kuzaa mtoto asiyekuwa na VVU,lakini pia katika utungaji mimba pamoja na makuzi yake Kuna kitu kinaitwa placenta barrier,hii kazi yake Ni kuzui mtoto asipate magonjwa yoyote awapo tumboni mwa mama yake ikiwemo UKIMWI,na ndio maana wataalamu wakaja na utafiti wa kutaka kujua kwenye hiyo placenta barrier Kuna nini,hii ilikuwa Ni mbinu ya kutafuta tiba ya VVU.
Hivyo katika mfumo mzima wa wa shahawa, semens tu(Maji maji ya shahawa) ndo Yana VVU,lakini pia kwa mwanamke, maji yale yote ya uke (Virgina fluids) yote Yana asilimia kubwa ya virusi vya ukimwi.
Hivyo mtoa mada asijipe moyo na kupotosha kuwa mwanamme kupata UKIMWI Ni kazi ngumu la hasha,Bali katika mwili wa biniadamu Kuna cell ambazo Mara baada ya virusi kuingia mwilini huenda kuzaliana huko ili kuongeza idadi yao,sasa kwanini wengine wapate ukimwi na wengine wasipate ili Hali wanaishi na wenza wenye maambukizi ya VVU?
Jibu Ni kwamba Kuna baadhi ya watu wachache ambao Wana ulemavu wa cell(cell malformation) ambalo ni eneo la virusi kujizalisha na kujitanua ,sasa kutokana na huo ulemavu wa cell zao baada ya kirusi kuingia mwilini mwao hukosa eneo la kwenda kuzaliana ili kuongezeka ,matokeo yake kirusi wa UKIMWI hufa.
NB. Mtu asijidanganye kuwa yeye ni blood group A au O hivyo hawezi kupata UKIMWI,la hasha ! Ukimwi unawapata watu wa makundi yote ya damu,Ila wanaoshindwa kuambukizwa Ni wale tu ambao Wana matatizo katika cell zao ambazo ni eneo la virusi kuzaliana
Kapime kwanza ndo utajua hujuiNaunga mkono hoja nmepita sehem kibao peku ambazo adi wengine tushazika ila mm bado nadunda huwa nahisi Mungu ananiweka ili nije nigundue ni upumbav gan nlikuwa nafanya
Hata hofu ya kugongewa nako kunatuongezea stress1. Tunawazidi umri. Wewe una miaka 30 unaoa mwanamke mwenye 25 kawaida hapo wewe utaanza kufa mapema.
2. Tunawaza mambo mengi sana, namna ya kitafuta pesa, kazi, uwaze watoto mkeo n.k
3. Kazi zetu hizi, umeenda mkoa wa mbali unapambana jua lako na mvua. Mwanamke yupo ndani anaamka asubuhi anakunywa chai.
4. Hatupati muda wa kupumzika wa kutosha. Kuna jamaa hapa huwa anatoka saa 11 asubuhi anarudi saa 5 usiku kila siku. Mwanamke ana muda mwingi wa kupumzik
6. Kupiga nyau. Kula sambusa moja au andazi na kikombe kimoja cha chai kisha ukapige nyau. Kama haujazimia kwenye kifua cha mwanamke lkn mwanamke anakula andazi moja na chai na mzigo anatoa fresh tu.
🙏🙏Iko hivi, sperms hazina virusi na ndo maana hata Kama wazazi wote watakuwa waathirika wa VVU bado Kuna uhakika wa kuzaa mtoto asiyekuwa na VVU,lakini pia katika utungaji mimba pamoja na makuzi yake Kuna kitu kinaitwa placenta barrier,hii kazi yake Ni kuzui mtoto asipate magonjwa yoyote awapo tumboni mwa mama yake ikiwemo UKIMWI,na ndio maana wataalamu wakaja na utafiti wa kutaka kujua kwenye hiyo placenta barrier Kuna nini,hii ilikuwa Ni mbinu ya kutafuta tiba ya VVU.
Hivyo katika mfumo mzima wa wa shahawa, semens tu(Maji maji ya shahawa) ndo Yana VVU,lakini pia kwa mwanamke, maji yale yote ya uke (Virgina fluids) yote Yana asilimia kubwa ya virusi vya ukimwi.
Hivyo mtoa mada asijipe moyo na kupotosha kuwa mwanamme kupata UKIMWI Ni kazi ngumu la hasha,Bali katika mwili wa biniadamu Kuna cell ambazo Mara baada ya virusi kuingia mwilini huenda kuzaliana huko ili kuongeza idadi yao,sasa kwanini wengine wapate ukimwi na wengine wasipate ili Hali wanaishi na wenza wenye maambukizi ya VVU?
Jibu Ni kwamba Kuna baadhi ya watu wachache ambao Wana ulemavu wa cell(cell malformation) ambalo ni eneo la virusi kujizalisha na kujitanua ,sasa kutokana na huo ulemavu wa cell zao baada ya kirusi kuingia mwilini mwao hukosa eneo la kwenda kuzaliana ili kuongezeka ,matokeo yake kirusi wa UKIMWI hufa.
NB. Mtu asijidanganye kuwa yeye ni blood group A au O hivyo hawezi kupata UKIMWI,la hasha ! Ukimwi unawapata watu wa makundi yote ya damu,Ila wanaoshindwa kuambukizwa Ni wale tu ambao Wana matatizo katika cell zao ambazo ni eneo la virusi kuzaliana
We hujui kama shahawa ina damu tena ya kutosha tuMkuu aliekwambia Shahawa zinaambukiza Ukimwi Nani siwanasema damu sindo inambukizaga Ukimwi au tunapigwa
Sio damu per-say.. ila ina majimaji ya plasma ambayo ndio hayo hayo yapo kwenye damu piaWe hujui kama shahawa ina damu tena ya kutosha tu