Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Sifa kubwa kabisa ya mke au mume ni uchamungu sote tumeelekezwa na vitabu vitakatifu ila kwa utashi wetu wa kurahisisha mambo ndio hivyo tunaoana leo wiki ijayo tumeachana yote hii tumeacha mafundisho tuliyopewa na vitabu vyetu. Kwa sisi wanaume tunapenda mtu anayejitambua kuwa yeye ni nani na daima yeye awe ni mwenye unyenyekevu,sio mwanamke ukikosea kidogo atapayuka hadi mtaa wa 3 wanajua, kuwa na sifa za mke zinavigezo vingi kutokana na jinsi unavyoishi siku zote na kwakuwa watu huyatumia mazoea vibaya basi hushangaa siku anapoolewa ambaye wala kwenye mahusiano hakufikiriwa kama ndio mlengwa hapa mtatumika sana kama daraja la ruvu
 
Pole sana Heaven on Earth bila shaka yamekukuta. Na tigo umetoa, au umemshuhudia aliefanya ivo?
 
Last edited by a moderator:
M sioi mke ili aje anifulie, anipikie sababu najua kupika vizur tu... mke n zaid ya vyote.... na unapokaa sana na mm nakujua hata tabia zako zlizojifcha... so Usishangae nkija oa mwengne
 
Pole sana Heaven on Earth bila shaka yamekukuta. Na tigo umetoa, au umemshuhudia aliefanya ivo?
 
Last edited by a moderator:

Wengi wanajenga kiburi hapo kwenye red.

Wanaume wanasogea kimya kimya!
 
ha ha ha.., mie napendaga tu uandishi wako. Hii inatokea ila kwa asilimia chache sana ukilinganisha na wanawake kuachwa solemba na wanaume.
 

Wanawake wana hitaji kutenda kama ulivyo andika! Lakini Bahati mbaya ni wachache wanao weza Fanya uliyo yaandika!
 
Unaweza kuwa unafanya yote hayo but ukawa na vijitabia fulani ambavyo si rahisi wewe kujua kuwa hatuvitaki.Mfano binti ni mbinafsi sana sana! hapendi kuona unamsaidia yeyote kitu.Binti upendo wake unaishia kwako tu hajui kuwa hivi ulivyokukuta kuna watu walisacrifice. Unamwambia binti nimepigiwa mama hajisikii vema wala kesho moaka wiki ukimpigia anaongea mengine tu hata haulizi khali ya mama.
Binti hakushauri walau kufanya saving ili ufungue mradi yeye kila siku mazungumzo ni ya kutumia tu utamuoa wa nini?
 
Kama bado haujaolewa Utakuja fika wakati unaweza ukajikuta unabadilisha kauli yako. Yawezekana haujafika umri bado labda ndo maana wasema hivyo.

nilishaolewa na umarioo ukanishinda nikasepa, and i am living happily ever after....been 6 years kila nikikumbuka bado sina hamu!
 
Mr Rocky umegusa point zenyewe. Anaetaka kuolewa akae chini atafakari haya uliyosema hapa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mr Rocky ahsante sana kwa mchango mzuri uliojaa hekima na busara tele. Mchango huu naomba pia usomwe na ndugu yetu Mkuu Tized.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…