barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
wanaume hawatabiriki....utasikia anasema anapenda vi-potabo, lakini shangaa historia yake ni ma-michelin.
kama anakuja kwangu awe na kazi yake, na usafiri wake na hela yake mwenyewe. siyo atake kupanda gari alonunua kidume mwenzio aku babu! hiyo ya kupiga deki na kusukuma chapati hadi mikono iote sugu atafuta mfanyakazi, utiifu itategemea na matunzo anayonipa....
Kama bado haujaolewa Utakuja fika wakati unaweza ukajikuta unabadilisha kauli yako. Yawezekana haujafika umri bado labda ndo maana wasema hivyo.