Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
marahaba mdogo wangu.....Dada mkubwa habari yako
naona umelianzisha......
wasome sana hao kaka zako, utafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
marahaba mdogo wangu.....Dada mkubwa habari yako
mi nadhani kama ndoa nimpango wa mungu endapo unampango wa kuoa au kuolewa muombe mungu akusaidia sio kumpa penzi,motto,tigo. pia vijana wengi haliziki Na mwanamke/Mme mmoja hivo wengi hawatimizi malengo yao ndoa tupunguze Tamaa jamaniWasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.
umejuaje aise..mwanamke awe na maini banaWanapenda SANA MAKALIO MAKUBWA, kama ndugu yangu huna hiyo mijikalio basi piga kimya usubiri majaaliwa yako
Utabiri unaonesha utaolewa mda si mrefu!.....wanaume hawatabiriki....utasikia anasema anapenda vi-potabo, lakini shangaa historia yake ni ma-michelin.
kama anakuja kwangu awe na kazi yake, na usafiri wake na hela yake mwenyewe. siyo atake kupanda gari alonunua kidume mwenzio aku babu! hiyo ya kupiga deki na kusukuma chapati hadi mikono iote sugu atafuta mfanyakazi, utiifu itategemea na matunzo anayonipa....
wanaume hawatabiriki....utasikia anasema anapenda vi-potabo, lakini shangaa historia yake ni ma-michelin.

Unaweza ukafanya yote hayo,..lakini mimi naangalia yafuatayoWasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.
Yaani yule asiyeshabikia mambo ya Beijing wallah anaolewa haraka sana...Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.
Vajovilaa valeka pamlomo...marahaba mdogo wangu.....
naona umelianzisha......
wasome sana hao kaka zako, utafika
ha haaaa, mlongo wangu wadala wa magono haga pamlomo wayovalili, yati vileka heVajovilaa valeka pamlomo...
wanaume hawatabiriki....utasikia anasema anapenda vi-potabo, lakini shangaa historia yake ni ma-michelin.
kama anakuja kwangu awe na kazi yake, na usafiri wake na hela yake mwenyewe. siyo atake kupanda gari alonunua kidume mwenzio aku babu! hiyo ya kupiga deki na kusukuma chapati hadi mikono iote sugu atafuta mfanyakazi, utiifu itategemea na matunzo anayonipa....
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.
Heaven on Earth wife material wanaweza kusema hivyo. Naweza kukaa nawewe na ukafanya yote yale ambayo kwako unayaona yanakufanya uwe mke ila bado vigezo vyangu vikawa havijatimia kwako.
Mke ni zaidi ya vile vitu unavyofanya kama kufua au kupika au kufanya usafi wa ndani ila bado ukawa huna vile vigezo vyangu. Mke mwenye ucha Mungu, heshima, mwenye mawazo ya mustakabali wetu, nikuone kama mama wa mtoto ambaye atawalea watoto wangu na sio uzuri wa nje au wa mwili wako. Mwenye utii na heshima kwangu na kwa ndugu zangu na hata marafiki zangu. Anayejali uwepo wao na kuuheshimu na sio siku nimekuja na marafiki zangu ukaanza kukunja sura. Kuweza kuhimili hali zote za maisha nikiwa nazo na nikiwa sina sio nimeishiwa siku moja unanikunjia ndita. Mwenye uelewa wa nini maana ya maisha na sio kila siku club na wewe na wewe na club au kila boutique mpya inayofunguliwa mjini wewe unaijua au club mpya au kiwanja kipya na wewe umo
Mke ni zaidi ya sura nzuri na zaidi ya urembo au utendaji wa kazi
(mawazo yangu usinipige mawe Heaven on Earth)
Kama una uhair na ndembendembe nidipu.
Phlegmatic wewee una mambo sana!