mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 242
Binti yangu Heaven on the Earth.. msichana anaweza akawa na vyote hivyo lakini kuna vitu hakakosa vikamfanya asiolewe mfano
1.Kutopenda ndugu zako
2.Kuwa na tamaa za kijinga
3.Kuwa cheap mbele ya wanaume
4.Sio mbunifu ktk masuala ya familia
5.Kupenda sana starehe
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
1.Kutopenda ndugu zako
2.Kuwa na tamaa za kijinga
3.Kuwa cheap mbele ya wanaume
4.Sio mbunifu ktk masuala ya familia
5.Kupenda sana starehe
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Last edited by a moderator: